Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola



looser
 
hivi ww kahaba wa ccm umezaa kweli ww?[emoji57][emoji57]
Control maneno mabaya tafadhali, binadamu wote hamuwezi fanana mitizamo hata kidogo...kutofautiana ideology sometimes ni changamoto positive kujipima ufahamu na umahiri wa kiintelijensia...
Mshambulie kwa hoja, not good maneno makali.....
 
Natamani wafuasi wa vyama wakuelewe vema..
Wao kutofautiana itikadi ni dhambi kwao, wao MTU wa upande Fulani hapaswi kutoa maoni yake ataambulia matusi na kudhalilishwa kwa kila aina, wao demokrasia ni kusifia vyama vyao na viongozi wao na ukiwa kinyume chao utapata kadhia kuliko mtuhumiwa...
Sijajua mwisho wa hii attitude..
 
Mleta mada uko sahihi

Ni Paschal Mayala kila mara alikuwa analeta mada humu za "Gazeti la Economist lamtukana Rais Magufuli", kila mara kila wakati hizo ndo zilikuwa mada zake za kichonganishi.
Sikutegemea kama uko low this much!!!
Huelewi kabisa kipi mayala huandika?
By the way uhuru wa habari na demokrasia unamruhusu mtu kuandika lolote juu ya hisia zake japo kwa sasa kuna wanaolazimisha hisia zao ziwe za wote...
Aliimba Afande Sele, ikiiondoka yanga simba itapata nani mtani wa jadi?...tafakari
 
Je wanaowateka, kuwatesa, kuwamiminia risasi na hata kuwapoteza/kuwaua wenye mawazo tofauti unawaweka kundi gani?
 
Mbona sijaona ulichoandika hapo kumtuhumu huyo pascal?
What if walidukua mawasiliano ya Kabendera?
Lakini pia kumbuka kashtakiwa kwa uhujumu uchumi na utakatishaji fedha. Wacha due process of law iamue.
Ukitafakari vizuri unagundua jamaa anaonewa, kabambikiwa tuhuma na zitamuweka jele kiukweli.
Swali jepesi la kujiuliza, "walikuwa wapi muda woote kumfatilia hadi baada ya matoleo ya zile makala za the economist?"
Kwa kazi ile moja kwa moja ni internatinal corresponder wa hilo gazeti na hata stahiki zake analipwa fedha za kigeni na ili azitumia lazima abadili na hapo ndo imefanyika faulo.
 
Control maneno mabaya tafadhali, binadamu wote hamuwezi fanana mitizamo hata kidogo...kutofautiana ideology sometimes ni changamoto positive kujipima ufahamu na umahiri wa kiintelijensia...
Mshambulie kwa hoja, not good maneno makali.....

Hapo nimejikontrol...! ulitaka niandike upendavyo ww au?
 
Kuna kaukweli Hapa wewe paschal mayalla sisi wasukuma asilia hatunaga umbea umbea hususani wanaume wewe msukuma gani au watokea gamboshi nawewe?
 
Kuna ushahidi gani kwamba kabendera ndiye mwandishi wa makala ZILE?

Au huu uzi ndio ushahidi.
Ninaumia Sana ninapoona mateso wanayopitia wasema kweli ninaamini Kabendera atatoka salama
Mungu ibariki Tanzania
 
Kumbe wasukuma wote NI NDUGU ...
Kosa kubwa alilofanya Pascal ni kujitambulisha kuwa ni msukuma na akajulikana kuwa ni msukuma, atajuta kwa kipindi chote cha uongozi wa ndugu yake, hata aje na uzi gani huu atahusishwa na ukabila, too bad.
 
Bado hujajibiwa na mleta mada.

Badala yake umetukanwa na wachangiaji wanaodhani mleta mada anamaanisha ERICK.

WANAJADILI MTU TOFAUTI NA ALIYETAMKWA NA MLETA MADA.
Ndo maana nimeuliza. Nasahihisha vipi wakati ndani ya text yote anatajwa Fredrick? What if mwandishi anamaanisha Fredrick Kabendera kweli? KUULIZA SI UJINGA. NILITAKA KUJUA FREDRICK NI YUPI HUYO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…