Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola

Sikuwa nikifahamu kuwa polisi hutoa press conference ya uongo kwa makusudi na kwamba watu ambao huwa inatatumbulisha wamewatia hatiani kwa tuhuma mbalimbali huwa ni uongo wa makusudi na tusiwe tunawaamini, ref post yako hii niliyo'quote kwako mjuvi wa mambo nyeti kama ulivyojitanabaisha.
Kwa uongo wa aina hiyo na polisi hufanya kazi hand in hand na mahakama, basi hata kuziamini mahakama pia itakuwa ni upumbavu uliopitiza.
 
JINSI HUYU KUBENDERA ANAVYOANDIKA KATIKA HILO GAZETI LAKE ,NANI ANAWEZA KUVUMILIA HILI 👇 👇


Lakini katika yote haya, lililokamata sana macho yangu ni hili la kusema kwamba Raisi Magufuli ni FOOLISH. Wamesema hivi " The President has been foolish in Economics matters too" wakimaanisha kwamba Raisi wetu ni mjinga kwenye mambo ya kisiasa waliyoyazungumzia lakini pamoja na yale ya kiuchumi.

Wamezungumzia suala la Gazeti la The Citizen kufungiwa na wakasema kuna mpango wa kuliuza kwa mtu mwenye asili ya Mashariki ya Kati ambaye ni rafiki wa Raisi Magufuli.

Mwisho kabisa wamezungumzia jinsi ambavyo Raisi wetu amegeukia Mashariki ya Kati na Uchina kuomba msaada baada ya kugombana na mataifa ya Magharibi.

. Maana neno A Fool kwenye Cambridge Dictionary linasema hivi " A person who behaves in silly way without thinking" na neno Foolish ni "Unwise, stupid or not showing good judgement"
 
Mleta mada ana matatizo....naamini mawazo kama haya yana mwelekeo wa 'ugaidi'
Hahaha kupakaziana unaweza msababishia mtu matatizo bila kujua. Maana hata bila ushahidi kuna watu humu wanashabikia na kuungana na mleta mada kwamba ni kweli.
Anaweza kuwa kweli au isiwe kweli, lakini sisi hatuna ushahidi wa hili kwanini tushabikie?!
 
Mie binafsi simuhamini Pascal Mayalla sana sana kwenye utawala huu japo kuwa naheshimu maoni yake na pia nimekulia kusoma habari zake na kupenda kazi zake.

I just feel he is a two sided sword; can cut either way.

I am sorry Pascal Mayalla, I respect you but I don't trust you bro.
 
Kama kayaandika haya aadhibiwe bila kupindisha maaamuzi. Aadhibiwe ipasavyo
 
Je katika makala zake aliweza kuthibitisha hicho alichokiandika?
 
Natoa rai kwa Serikali ya Jamhuri kumwachia huru Kabendera. Tusipomdai kwa kiswahili tutawataka kwa kilugha, na hapo ndipo tutakapozuia kiongozi yeyote kuingia mkoa wa Kagera mpaka "omwana weitu mumutaishure.""
Wanyarwanda mna tabu sana
Kama una matatizo na mayalla kuwa muwazi,huyo kibendera anavuna alichopanda
 
Na yeye huyu anatumia haki hiyo hiyo kukosoa!Nawe pia umetumia haki yako kukosoa,iko hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…