Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mambo si ya kila mtu kuelewa; bali wachache wataelewa. Iwe press conference ya polisi au mtu awaye yote, inakuwa sio kesi mpaka imesajiliwa katika masjala ya mahakama. Na kesi hainaga press conference. Ndo maana nakueleza kesi ni iliyosajiliwa mahakamani hizi nyingine ni kesi zenu za twitter,fb, jf, insta, n.k
HahahahahWho's Fredrick Kabendera ?
Hii attention mnayotoa kwa Paschal, sitashangaa Paschal akila shavu
400Unajua kuna aina ngapi za usomaji?
Hahaha mimi kama Mungu sina dini. Dini ya nini sasa hivi ndugu yangu, hangaika na maisha u survive.Hv we din gan tuanzie hapo
Hahaha kupakaziana unaweza msababishia mtu matatizo bila kujua. Maana hata bila ushahidi kuna watu humu wanashabikia na kuungana na mleta mada kwamba ni kweli.Mleta mada ana matatizo....naamini mawazo kama haya yana mwelekeo wa 'ugaidi'
here am maadam.
Mayalla ni njaaaInawezekana ni mmoja Wa wale jamaa hua simuelewi pascal
Kama kayaandika haya aadhibiwe bila kupindisha maaamuzi. Aadhibiwe ipasavyoJINSI HUYU KUBENDERA ANAVYOANDIKA KATIKA HILO GAZETI LAKE ,NANI ANAWEZA KUVUMILIA HILI 👇 👇
Lakini katika yote haya, lililokamata sana macho yangu ni hili la kusema kwamba Raisi Magufuli ni FOOLISH. Wamesema hivi " The President has been foolish in Economics matters too" wakimaanisha kwamba Raisi wetu ni mjinga kwenye mambo ya kisiasa waliyoyazungumzia lakini pamoja na yale ya kiuchumi.
Wamezungumzia suala la Gazeti la The Citizen kufungiwa na wakasema kuna mpango wa kuliuza kwa mtu mwenye asili ya Mashariki ya Kati ambaye ni rafiki wa Raisi Magufuli.
Mwisho kabisa wamezungumzia jinsi ambavyo Raisi wetu amegeukia Mashariki ya Kati na Uchina kuomba msaada baada ya kugombana na mataifa ya Magharibi.
. Maana neno A Fool kwenye Cambridge Dictionary linasema hivi " A person who behaves in silly way without thinking" na neno Foolish ni "Unwise, stupid or not showing good judgement"
Je katika makala zake aliweza kuthibitisha hicho alichokiandika?JINSI HUYU KUBENDERA ANAVYOANDIKA KATIKA HILO GAZETI LAKE ,NANI ANAWEZA KUVUMILIA HILI 👇 👇
Lakini katika yote haya, lililokamata sana macho yangu ni hili la kusema kwamba Raisi Magufuli ni FOOLISH. Wamesema hivi " The President has been foolish in Economics matters too" wakimaanisha kwamba Raisi wetu ni mjinga kwenye mambo ya kisiasa waliyoyazungumzia lakini pamoja na yale ya kiuchumi.
Wamezungumzia suala la Gazeti la The Citizen kufungiwa na wakasema kuna mpango wa kuliuza kwa mtu mwenye asili ya Mashariki ya Kati ambaye ni rafiki wa Raisi Magufuli.
Mwisho kabisa wamezungumzia jinsi ambavyo Raisi wetu amegeukia Mashariki ya Kati na Uchina kuomba msaada baada ya kugombana na mataifa ya Magharibi.
. Maana neno A Fool kwenye Cambridge Dictionary linasema hivi " A person who behaves in silly way without thinking" na neno Foolish ni "Unwise, stupid or not showing good judgement"
Wanyarwanda mna tabu sanaNatoa rai kwa Serikali ya Jamhuri kumwachia huru Kabendera. Tusipomdai kwa kiswahili tutawataka kwa kilugha, na hapo ndipo tutakapozuia kiongozi yeyote kuingia mkoa wa Kagera mpaka "omwana weitu mumutaishure.""
Na yeye huyu anatumia haki hiyo hiyo kukosoa!Nawe pia umetumia haki yako kukosoa,iko hivyo!Kwahiyo mkosoaji hakutakiwa kukosolewa? Hizi akili gani? Mayalla alitumia utashi wake kukosoa Magu na huyo Bendera. Na wewe leo unatumia utashi wako kumkosoa Mayalla na Magu. Lakini Kibendera asipingwe? Kila mtu apambane na hali yake, kwani hakujua ana wanaomtegemea wakati anafanya maamuzi aliyokuwa anafanya?
Kumbe kabambikiziwa kesi kisa makala alizoandika hazikumpemdeza bwana mkubwa!Wanyarwanda mna tabu sana
Kama una matatizo na mayalla kuwa muwazi,huyo kibendera anavuna alichopanda