Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola

Huwezi elewa kwani hujataka kuelewa...tumzike mama mayala ama njaa Kali kafaidika na alichotaka
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Hufi Leo, nashauri lile jibu langu liunganishe kwenye thread yako as update maana...
P
 
Go
Goood
 
Weka hapa hayo mabandiko Mjahidina wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Tahadhari na "Name calling".

Soma aliambiwa nini...

Hapa naona km unatoa taarifa kwa vyombo vya usalama vimfanyie kazi visimdharau.

Aliambiwa hayo June 2019 muda kabla ya haya. Pitia uzi huohuo utakuta nilimueleza nini. Na hata kabla ya uzi huo nilishamgutukia zamani kuwa ni fataani.

Huwa sikisii. Kumbuka hilo.
 
Asante Bibi, ingawa msamiati "Ufataani" umewaacha wengi ila umeongea vyema kama kawaida yako
 
Basi yanayotokea Pascal Mayalla roho yake inafurahi sana.

Nampa hii zawadi yake, ammegee na anayejiita Mzee Mwanakijiji ...

 
Binafsi hata mimi siamini kama umemchoma erick je na tito magoti nani kamchoma?
 
Mkuu Hufi Leo, nashauri lile jibu langu liunganishe kwenye thread yako as update maana...
P
There is no way Pascal Mayalla can distance himself from this tragedy that has befallen the late Mama Eric Kabendera. Zile makala ulizipania mno, nia ovu tayari ulikwisha ipanda kwenye moyo wako. Ndiyo maana kila Economist wakitoa makala inveatigative kuhusu Tanzania wewe ulikuwa mtu wa kwanza kuzileta humu na kutumia uwezo wako wa ushawishi kuzipinga.

Wakati wewe nia yako ni kupata uteuzi kwa kupitia zile mada, hapa umesababisha Mama Eric amekufa kwa kukosa huduma ya matibabu kwa kuwa mwanaye yuko incarcerated.

Mwamuzi ni Mungu, lakini hii damu ya Mama Eric itakudai na kukulilia mpaka siku na wewe utakapo itwa mbele ya Muumba.
 

Partly naelewa! Siwezi kusema chochote maana sijui chochote, But I respect your opinion Pengine in future we will be speaking the same language!
 
Sina mengi ila P alijuaje watu wa idara nyeti walianza kulifuatilia jarida lile.! Na hao ni akina nani? Japokuwa nilijaribu kusoma baadhi ya makala kwa kweli zilikuwa hazijakaa vizuri.
 
Kwani ukiwa mwandishi wa habari huwezi kujihusisha na makosa yoyote ya jinai?

Kabendera anashitakiwa mahakamani kabla mahakama haijatoa hukumu tayari watz tumetoa hukumu kuwa ameonewa!! Hivi ukiwa mwandishi wa habarii huwezi kutenda kosa la jinai hususan ni anayokabiliwa nayo Errik Kabendera!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…