Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola

Based on Kifo cha Akwilina, ainisha kosa la kina Mbowe na usafi wa polisi waliopiga risasi juu ikakata kona ikajikuta imeua abiria kwenye gari then tuje tumalizie na la Mayalla!

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani sheria inasema ushahidi uwe direct, yaani shahidi ameushuhudia kwe sensory organs zake.Mfano kuona au kusikia.sasa wewe hiyo risasi ilivyofatuliwa uliona na ilipokata kona uliona?
 
Mimi nafikiri angeshitakiwa kwa makosa mabayo yapo kwenye Media Services Act,2006. Hili kuhujumu uchumi na katatisha rupia! Labda wenye mamlaka wanajua alihujumu vipi
 
Acha uongo nenda kamsaidie huyo msaliti mwenzio mahakamani. Eti utatuzuia kuingia Kagera sasa sisi tukitaka hata huko Kagera hutafika. Pia kumbuka ni sisi ngosha ndiyo tuliowasaidia kumtoa nduli IDD Amin alikuwa ameshaanza kuwafanya mbaya mpaka akawaachia ugonjwa wa Slim (UKIMWI). Baada ya kusumbuka na Pascal Mayalla mlitakiwa kuhangaika na huyo msaliti Erick aache usaliti la sivyo atanyooshwa.
 
Mimi nafikiri angeshitakiwa kwa makosa mabayo yapo kwenye Media Services Act,2006. Hili kuhujumu uchumi na katatisha rupia! Labda wenye mamlaka wanajua alihujumu vipi
Alikuwa anapokea pesa toka kwa mabwana zake na kuzigawa kwa wasaliti wenzie ili kuitukana serikali na Rais wake. Mbaya zaidi alikuwa anakwepa kulipa kodi kutokana na mapato yake hayo kumbuka kukwepa kulipa kodi ni predicate offence ya Money Laundering, this is according to Anti-Money Laundering Act. Nafikiri ndiyo maana ameshitakiwa na ML mkuu!
 
Aiseee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Paschal Mayala ndiye Kabander aliyemfungulia kesi ya utakatishaji.

Najua Paschal ni mbumbumbu katika sekta nyingi na huwa namkabili humu lakini siyo kama unavyotaka tuamini katika hili.

Cc:
Pascal Mayalla
Huyu ni P ?
 

Attachments

Mbona sijaona ulichoandika hapo kumtuhumu huyo pascal?
What if walidukua mawasiliano ya Kabendera?
Lakini pia kumbuka kashtakiwa kwa uhujumu uchumi na utakatishaji fedha. Wacha due process of law iamue.
Aliposema habari za TISS kutesa watu kule kigoto Mwanza na kuomba ifumuliwe mbona hamkulaumu! Alikopi na kupaste habari za gazeti la Economist. Kisha kwa uzalendo akasema hili gazeti lina mtukana mtanzania imekuwa kosa!
 
Lakini vipi kuhusu kabendera maana Kuna bandiko himu limewahi kukuhusisha na kumchongea kabendera hujawahi kukanusha kwa ufasaha. # binadamu wote ni ndugu zangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu
P
 
Watanzania wengne ni vimbelembele sana sijui tunahitaji vyeo!!!! Hata wakat mwngne cjui tu hata mm nakubaliana na andiko hili ndg #paschal Kuna mazingira huwa Kama naona ananyenyekea na kupiga magoti serikali kana kwamba there is something in needy....anyway ndio hivo jamaa yupo ndani na anasota
My regards to all ....
Kumnyang'anya tonge mtu sio kazi nzuri kabsa acheni aongoze muda wake utaisha tu
 
Alipoitwa bungeni ndg bwana Paschal Kama ukifuatilia kwa undani Kuna speed ya kuikosoa serikali na bunge kiujumla ilpungua kutoka kwa huyu ndg...hapo huwa nahisi pengne alitishiwa au la Basi aliahidiwa nafasi sio bure Paschal na najua hawezi sema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…