Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola

Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola

Ha ha ha ha ha, Pascall Mayalla Mungu anakuona eti. Wakati bwana Erick Kafrag akipambana kutoa shombo zake kupitia gazeti la Mabeberu wewe ulikuwa busy kuzipandisha shombo zake kwa mbwembwe na nakishi za kutosha humu jamvini. Ona sasa mwenzako yuko nyavuni. Mungu anakuona bro.
Yeye alikubali kuwa kibaraka ili kudhoofisha jitihada za maendeleo kwa maslahi ya nani?????
 
Pamoja na madhaifu yote alionayo Pascal Mayalla.... Lakini kwa hili naona wazi jinsi mleta mada ulivyo na chuki ya wazi juu ya unae mtuhumu.
Kimsingi alicho kifanya Pascal Mayalla ni kupinga kwa hoja gazeti la mabeberu. Na lengo lake kubwa haikua kumuumiza Erick Kabendera, bali lengo lake kubwa lilikuwa ni kujenga hoja kwa mtazamo tofauti kwa uwezo wake wa uelewa.
Hao wanaompinga mayalla so ndo wale wale vibaraka, kila mtz mwenye nia njema na Tz hawezi ku-expose mambo ya ndani kwa maadui. Jeshini hao huwa hawana uhai
 
Na mabeberu wana marafiki????
Hao Unaosema Mabeberu Nao walitawaliwa vile vile

Australia, India, Singapore, New Zealand, South Korea nk
Na almost same years tulipata uhuru wote
Singapore got independence 1965

Angalia walipo Sasa na Angalia Tulipo Sisi.
 
Baada ya kutokea huu msiba wa mama yale Eric,
Leo ndio najibu hoja za bandiko hili
P

Huna lolote

Regime lip service giver!
 
Hao Unaosema Mabeberu Nao walitawaliwa vile vile

Australia, India, Singapore, New Zealand, South Korea nk
Na almost same years tulipata uhuru wote
Singapore got independence 1965

Angalia walipo Sasa na Angalia Tulipo Sisi
Mind you !#
Walifika pale kwa kuthubutu na kujikita kwenye ajenda za maendeleo kama tunachokifanya sasa, sasa vibaraka hawa wanafikiri mzungu anataka tz one day tujetufanane na Australia, India n.k????? Hakuna adui anaependa maendeleo ya opponent wake. Never
 
Baada ya kutokea huu msiba wa mama yale Eric,
Leo ndio najibu hoja za bandiko hili
P
Umekua mtu wa hovyo sana paskali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekua mtu wa hovyo sana paskali

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwann lawama kwa Pascal???? Yeye alijaribu kueleza na kutafsiri report, waliyotafuta aliyenyuma ya hiyo report ndiyo labda muwalaumu japo na wao wametimiza yao. Tufike mahali sisi kama wanahabari tusizitumie karamu zetu kuleta machafuko kwa nchi zetu hasa AFRICA
 
Binafsi niwape pole familia ya Mama yetu, Erick Kabendera pole sana mwaka huu umekuwa na machungu sana kwako lakini tujue kuwa Mungu huwa anaruhusu maovu yatendeke kwa wakati fulani ili mapenzi yake yatimie, Mungu aliruhusu yesu apate mateso ili watu wengi wapate kibali cha kuwa wana wa Mungu kwahiyo nikutie Moyo tu kuwa na subira wakati wakili wetu Mungu atakapotoa hukumu iliyosawa.

Niseme wazi kuwa mimi binafsi si vema tukampa paschal lawana tukasahau mtesi wetu wakati anachambuwa makala ile alichambua makala kama makala sijaona mahali aliposhambulia Erick au kumchongea Erick na niliona alifanya hivyo kwa maoni yake na style yake ya uandishi wengi wanajua si ngeni hapa jamvini namna yake ya uandishi naamini kama Paschal angejua haya yangelitokea basi asingeandika kwa wakati huu nachojua aliandika akiwa na nianjema kabisa.

Lakini pia sisi ni binadamu kila mtu anaweza kuwa na mtazamo na hisia zake huwezi zuia hilo, Sikumbuki kama kuna mahali Paschal uliandika au koonyesha kwamba hukupendezwa kwa yaliyompata ndugu yetu Kabendera kutokufanya hivyo huenda haikuwa lazima kwako lakini huenda ndiyo inapelekea watu kukushutumu kwa hilo wanaona hukuwajibika kama mmoja wanatasnia baada ya Kabendra kukamatwa mwisho unakuja kujitokeza mwisho kwenye kifo cha mama so ni haki ya watu pia kuwa na hisia kwa maana ya huwezi zuia watu kufikiri kwa angle zao.
 
Kwann lawama kwa Pascal???? Yeye alijaribu kueleza na kutafsiri report, waliyotafuta aliyenyuma ya hiyo report ndiyo labda muwalaumu japo na wao wametimiza yao. Tufike mahali sisi kama wanahabari tusizitumie karamu zetu kuleta machafuko kwa nchi zetu hasa AFRICA
Amekua mtu wa hovyo sana paskali

Ajitafakari siongelei ishu ya kabendera
 
Kabendera simuonei huruma. Kama aliyafanya haya, alijua na consequences zake. Hivyo, azikabili. Julian Assange mpaka leo kajificha kwenye Ubalozi wa Honduras nchini Uingereza. Snowden hawezi kurudi kwao Marekani. Sitaki kumzungumzia Kashoggi.
 
As
kwa kufanya hivyo, unadhani utakuwa umempunguzia nini labda...tuanzie hapo kwanza.
Asipo soma inamaana kaiogopa nondo za nayalla. We mayala wachane tu! Huyu mnaweza kumlaum lakini hata kama nikweli huwezi jua kaliokoa taifa ktk mambo muhim kuliko kabendera kuwa gerezani, kumbukeni magenge km haya yalisababisha tupoteze vijana wetu wa police kule kibiti, ndg na jamaa pia waliuawa sasa hoja ya kumteteakabendera mgeiacha hamjui serikari imetumia garama gani kumnasa.
 
Kwamfano tujiulize! Wale wanachadema waliokamatwa mahina ! Je walikuwa wanafanya nini mahina?

Kati ya mitaa ktk jiji la mwanza ambayo haina sifa nzr nipamoja na mahina. Police inabidi walifikilie sana jamno hili pamoja nakwamba waliwaachia viongozi wale wachadema, Kunatetesi chadema wameanza kuunda makundi ya vijana waharifu kwaajiri yakuleta vurugu mwaka huu mapema kabla ya kuanza kampeni! Myika anatakiwa ale virungu vyakutosha. Police wekeni vijana ktk maeneo yte nchi nzm chadema wanahiyo ajenda yakuleta vurugu.
 
Pascal Mayalla ufataani anao kweli kweli, kwa hilo siwezi mkatalia au mtetea. Tena ni nyoka haswa mwenye vichwa viwili, kimoja mbele kimoja nyuma, kikikukosa cha mbele cha nyuma kinakungoja.

Binafsi nimeshamueleza mara nyingi sana humuhumu JF kuwa yu fataani.

Nnawashangaa sana kuwa ndiyo kwanza mnayajuwa hayo, nikizipata posts nilizowahi kumwambia kuwa yu fataani nitawawekea humu muone kuwa nililiona hilo zamani sana.


Na fataani mwengine na ndumila kuwili ni anaejiita Mzee Mwanakijiji.
 
Back
Top Bottom