amtoni mwaihesya
Member
- May 31, 2019
- 86
- 86
Hii ni baada ya majibu ya suala alouliza ikulu
Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.
Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.
Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na amemtaka mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe zamu yake ikifika aende bila kuweka masharti yoyote.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Duh...!. Mkuu Behaviourist, kwanza asante kuchangia uzi wangu, pili asante sana kwa mchango wako.Pascal Mayalla ni beberu la kiafrika!Mabeberu siyo wazungu tu.Yaani mahakama na bunge zimewekwa mfukoni halafu anataka kutuaminisha kuwa zipo huru?!
Mkuu Sonza Wileme, kwanza asante kuchangia bandiko langu, pili asante kwa maoni yako, ubarikiwe sana.Pascal ni takataka -Kujipendejeza
Mkuu Bubu Ataka Kusema, BAK, kwanza asante kuchangia uzi wangu, pili asante sana kwa mchango wako. Ubarikiwe sana.Huyo jamaa Pascal Mayalla ni anajikomba kwa dikteta hadi Credibility na reputation yake kama mwandishi wa habari imekuwa ZERO. Hana tofauti kabisa na ZERO BRAIN.
Napigilia msumari hivii!!!Mi nakataa mahakama na NEC siyo taasisi huru kwa sababu kuna mkono wa Rais kwenye teuzi. Fullstop
Mkuu Sole Piropirieta, kumwaga likes ndio zangu.Nimeona Paskali kalaiki komenti zote, haya nyanyasa! [emoji849]
Kwanza Ili tume iwe huru ni lzima iweze kushitakiwa kwa makosa yake ya kiutendaji katika chaguzi.ibara 74(7) ya Katiba ya JMT ina inasema tume itakuwa huru na itafanya kazi kwa kufuata sheria.
Hata mke na watoto wa Mayalla, mama zake wakubwa kwa wadogo, wajomba zae, kaka na dada zake na ukoo wake mzima wa Paschal Mayala, wanajua Bunge, Mahakama, Majeshi yote, Tume zote ambazo wakurugenzi wake wanachaguliwa na Rais haziko huru.Pascal Mayalla anatafuta u DC siwezi kumshangaa
Hivi kukutana na viongozi wa vyama pinzani ni jambo la kikatiba?Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.
Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.
Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na amemtaka mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe zamu yake ikifika aende bila kuweka masharti yoyote.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu Bubu Ataka Kusema, BAK, kwanza asante kuchangia uzi wangu, pili asante sana kwa mchango wako. Ubarikiwe sana.
Uwe na siku njema.
P
Hoja ipi Kama mtu Kama Pascal hajui maana ya tume huru utamsaidiajeHahahaaaaaa........ Mpingeni Pascal kwa hoja makamanda!
Mkuu Yohane Mbatizaji, natumaini kwa sasa umeisha anza kukubaliana na mimi, kwa jinsi NEC inavyoshughulikia uchaguzi huu, inathibitisha bila kuwa shaka, NEC sio tuu ni Tume Huru, bali ni Tume Huru yenye Utu, ambayo licha ya mapungufu kadhaa, bado fomu za wagombea wote wa urais zimepokelewa na karibu wote wamepitishwa!.Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.
Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.
Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na amemtaka mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe zamu yake ikifika aende bila kuweka masharti yoyote.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Hakika mkuu!Mkuu Yohane Mbatizaji, natumaini kwa sasa umeisha anza kukubaliana na mimi, kwa jinsi NEC inavyoshughulikia uchaguzi huu, inathibitisha bila kuwa NEC sio tuu ni Tume Huru, bali ni Tume Huru yenye Utu, ambayo licha ya mapungufu kadhaa, bado fomu za wagombea wote wa urais zimepokelewa na karibu wote wamepitishwa!.
P
Too far from huruMkuu Yohane Mbatizaji, natumaini kwa sasa umeisha anza kukubaliana na mimi, kwa jinsi NEC inavyoshughulikia uchaguzi huu, inathibitisha bila kuwa NEC sio tuu ni Tume Huru, bali ni Tume Huru yenye Utu, ambayo licha ya mapungufu kadhaa, bado fomu za wagombea wote wa urais zimepokelewa na karibu wote wamepitishwa!.
P