Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
It’s about national interest and favourable loan terms. Serikali ya Tanzania can’t afford to discriminate on the source of its income.Unataka awa attract wachina we boya nn Sera za wachina zilikwenda na mwenda zake
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Kipindi cha jiwe huyo kabudi alitusaidiaje kupenetrate kwenye hizo international market zaidi ya kwenda Madagascar na kutuletea ule urojo na kutuaminisha ni dawa ya covid. PatheticRaisi ni taasisi sio mtu mmoja, raisi kama kiongozi wa taasisi anatakiwa kuwa na agenda yake ambayo wasaidizi wanatakiwa kumwelekeza njia sahihi ya kutimiza agenda zake kwa njia sahihi...
Mama ana mda mchache ofisini embu acha chuki zako za kike wewe kama huna hoja kachambue tembeleWhat has she done?
Ebu elezea her achievement for Tanzania whilst holding the post...
Huyu mulamula ana CV kubwa Ila hata kusoma hotuba ilikuwa Ina mshinda pamoja na pronunciation zisizoelewekaNakubaliana na mchambuzi 100% kwa Bashiru, but what has Mulamula done?
Just another hopeless human being winnning public support based on her qualifications but useless professional..
Well at least he wasn’t called a seasoned diplomat as you want us to call Mulamula she is just average.Kipindi cha jiwe huyo kabudi alitusaidiaje kupenetrate kwenye hizo international market zaidi ya kwenda Madagascar na kutuletea ule urojo na kutuaminisha ni dawa ya covid. Pathetic
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
I agree with you ili ndio tatizo letu tunapenda kukuza watu sana based on their academic achievements wakati hatujui hata grades zao and so forth; wakati watu wenyewe ukiwasikiliza au ukiwafanyia performance appraisal hakuna results.Huyu mulamula ana CV kubwa Ila hata kusoma hotuba ilikuwa Ina mshinda pamoja na pronunciation zisizoeleweka
Mpe muda mama mulamula ameanza vizuri sana atleast wageni Na wawekezaji wengi wameanza kumiminika Tz kuja kuwekezaWell at least he wasn’t called a seasoned diplomat as you want us to call Mulamula she is just average.
Mheshimiwa PascalMtu ni unajijua mwenyewe ukoje from deep inside yourself na sio watu wanakuonaje!. Mimi ndio Pasco mwenyewe, ninakuambia hapa, sijabadilika, mimi ni yule yule, juzi, jana na leo, ila be free to assume anything.
P
Bashiru ni dikteta ambaye amejificha kwenye kivuli Cha ujamaa, asiyeamin kwenye mfumo wa siasa huru aliongoza juhudi za kununua wabunge wa upinzani na uharamia mbaya wa uchaguzi 2020 mbao haujawahi tokeaHii ni yesterdays news!
PUbunge wa Bashiru Ali, wachambuzi wanasemaje? – DW – 01.04.2021
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania alifanya mabadiliko ya kiutendaji ikiwa ni pamoja na kumuondoa aliyekuwa Katibu Mkuu kiongozi Dokta Bashiru Ali na kumteua kuwa mbunge. Je, wachambuzi wanazungumzia vipi hatua hii? Msikilize mchambuzi wa siasa za Tanzania, Pascal Mayalla akichambua kwa kina...p.dw.com
I’ll leave with that note.Mpe muda mama mulamula ameanza vizuri sana atleast wageni Na wawekezaji wengi wameanza kumiminika Tz kuja kuwekeza
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
So, for ur opinion China is the best?It’s about national interest and favourable loan terms. Serikali ya Tanzania can’t afford to discriminate on the source of its income.
Haya kapumzikeI’ll leave with that note.
Asubuhi njema [emoji112]
Kuna Kinyonga na kuna Pascal ogopa hawa viumbeSijabadilika popote wala chochote, Pasco ni yule yule, juzi, jana na leo.
P
Ugonjwa WA tumbo njaa ni mbaya zaidi Julio covid 19Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania alifanya mabadiliko ya kiutendaji ikiwa ni pamoja na kumuondoa aliyekuwa Katibu Mkuu kiongozi Dokta Bashiru Ali na kumteua kuwa mbunge.
Je, wachambuzi wanazungumzia vipi hatua hii?
Msikilize mchambuzi wa siasa za Tanzania, Pascal Mayalla akichambua kwa kina kuhusiana na kile kinachoonekana kama anguko la msomi huyo.
View attachment 1817783
Kwahio leo imebadilika ? Yaani hajengi mifumo tena ?Hii ni yesterdays news!
PUbunge wa Bashiru Ali, wachambuzi wanasemaje? – DW – 01.04.2021
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania alifanya mabadiliko ya kiutendaji ikiwa ni pamoja na kumuondoa aliyekuwa Katibu Mkuu kiongozi Dokta Bashiru Ali na kumteua kuwa mbunge. Je, wachambuzi wanazungumzia vipi hatua hii? Msikilize mchambuzi wa siasa za Tanzania, Pascal Mayalla akichambua kwa kina...p.dw.com
Siyo kweli. Unaandikaje ujumbe ambao hata wewe mwenyewe mwandishi unajishuhudia kuwa siyo kweli?Sijabadilika popote wala chochote, Pasco ni yule yule, juzi, jana na leo.
P
Mtu ni unajijua mwenyewe ukoje from deep inside yourself na sio watu wanakuonaje! Mimi ndio Pasco mwenyewe, ninakuambia hapa, sijabadilika, mimi ni yule yule, juzi, jana na leo, ila be free to assume anything.
P
una uwezo wa kujijua lakini si kujiona waliokuzunguka ndo wanakuona kuwa usoni una tongotongoMtu ni unajijua mwenyewe ukoje from deep inside yourself na sio watu wanakuonaje! Mimi ndio Pasco mwenyewe, ninakuambia hapa, sijabadilika, mimi ni yule yule, juzi, jana na leo, ila be free to assume anything.
P