Lini Mayalla alienda Law School? Lini mayala amekuwa Advocate?Shukrani kwa kupotosha umma kiongozi. Pascal Mayalla ni Wakili na ameapishwa rasmi. Naomba nikusaidie kufahamu maana ya maneno haya mawili:
- Mwanasheria: Ni mtu yeyote aliyesoma na kuhitimu Shahada ya Sheria (LL.B). Pascal alihitimu shahada hii Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).
- Wakili: Ni mwanasheria aliyepitia ngazi ya mafunzo ya vitendo (Law School of Tanzania), akafaulu, na kisha kuapishwa rasmi na Jaji Mkuu wa Tanzania kuwa Afisa wa Mahakama mwenye haki ya kusimama na kutetea wateja mahakamani.
Bichwa kome kumbe ni pisi kali sanaView attachment 3701049
Naam our beutiful JF BigMama ππ
Lini Mayalla alienda Law School? Lini mayala amekuwa Advocate?
Aliandika historia yake humu itafute,yes alisoma law(LLB)university of Dar es SalaamLini Mayalla alienda Law School? Lini mayala amekuwa Advocate?
kakimbilia kujibu bila kufanya utafiti. https://www.jamiiforums.com/threads...wakili-je-nitakuwa-kama-lakha-part-1.2000717/Aliandika historia yake humu itafute,yes alisoma law(LLB)university of Dar es Salaam
Boss kusoma LLB kunakufanya uwe mwanasheria tu! And yes i know ni mwanasheria ila sio wakiliAliandika historia yake humu itafute,yes alisoma law(LLB)university of Dar es Salaam
sasa wewe unakataa andiko lake hilo nililokupatia hapo juu? hiyo ni makala yake. Na unamjua Lakha?Boss kusoma LLB kunakufanya uwe mwanasheria tu! And yes i know ni mwanasheria ila sio wakili
Au hujui tofauti ya mwanasheria na wakili?
Sikuwa najua ndio maana niliulizakakimbilia kujibu bila kufanya utafiti. https://www.jamiiforums.com/threads...wakili-je-nitakuwa-kama-lakha-part-1.2000717/
Hapo kwenye andiko ulini quote mimi au matawi ya juu wewe?sasa wewe unakataa andiko lake hilo nililokupatia hapo juu? hiyo ni makala yake. Na unamjua Lakha?
Kwa Maslahi ya Taifa", mimi mwandishi wenu Pascal Mayalla, ni miongoni mwa mawakili wapya 335 walioapishwa wiki iliyopita na Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma, hivyo hii ni makala ya shukrani kwa Jaji Mkuu na uongozi wote na wanyakazi wa Mhimili wa mahakama wakiwemo wa kitengo cha mawakili, Asanteni sanaBoss kusoma LLB kunakufanya uwe mwanasheria tu! And yes i know ni mwanasheria ila sio wakili
Au hujui tofauti ya mwanasheria na wakili?
Hapa hatubishani ili kushinda, tatizo lako ulikua unabisha kitu ambacho siyo cha kweli ukakifanya kama cha kweli sasa angalia vizuri hata hapa unachanganya matawi ya juu alijua nilichokua nabisha na wewe akakujibu na mimi nikakazia hapo, ila kwako niliweka screenshot yenye picha ya Mayalla ππHapo kwenye andiko ulini quote mimi au matawi ya juu wewe?
View attachment 3701147
nilikuwekea mtego unase sikutaka kuweka huu ushahidi mapema nilijua ungefanya utafiti kabla ya kujibu kwanini nimekujibu vile
Siyo kweli kama ulikua unauliza kwasababu ulikuja na hili jibu ππππSikuwa najua ndio maana niliuliza
Jinsi ulivyojibu hapa ulikua na uhakika kabisa Mayalla siyo wakili pamoja na mimi kukupatia screenshot ya makala yake na pia kukuwekea link ya chapisho lake la jamiiforumsBoss kusoma LLB kunakufanya uwe mwanasheria tu! And yes i know ni mwanasheria ila sio wakili
Au hujui tofauti ya mwanasheria na wakili?
Mkuu Nyani Ngabu, umepiga teke la uso bila urembo na kwa kweli inabidi ninyoshe mikono juu; huenda kweli tuligeuzwa mazuzu (fooled) na tukaingizwa chaka zama doomed hizo.Pascal is just a long winded babbling idiot who overrates himself and sometimes overrated by others who donβt know any better.
Bado sijamwona akijibu chochote kwenye uzi huu.
Ila akija kujibu, atakuja na maandishi mengi yasiyo na maana huku akiweka ma links kibao ya mada zake zingine zisizo na kichwa wala miguu.
Iβve never rated him.
Mkuu kina kirefu, naomba unifafanulie vizuri unamaanisha nini hasa unaposema huoni utofauti wa matamshi kati yangu na mzee Pascal Mayalla. Ikiwa unadhani kuwa mimi niliyeanzisha uzi huu ni akaunti mbadala (ID fake) ya mzee Pascal Mayalla anayejiandika mwenyewe hapa, basi ninalazimika kukujibu kuwa unahitaji kutathminiwa upya uwezo wako wa kiutambuzi na kiuchambuzi.nawasiwasi sana huu uzi mleta uzi huwezi fanana kiasi hicho matamshi ya mzee pasco kiasi hicho kwenye uzi harafu useme unamwandika
Gunner...Bandiko zuri sana, uandishi wa hili bandiko ni top notch
πHapa hatubishani ili kushinda, tatizo lako ulikua unabisha kitu ambacho siyo cha kweli ukakifanya kama cha kweli sasa angalia vizuri hata hapa unachanganya matawi ya juu alijua nilichokua nabisha na wewe akakujibu na mimi nikakazia hapo, ila kwako niliweka screenshot yenye picha ya Mayalla ππ
Kusoma LLB hakukufanyi uwe wakili na hiyo ndo ilikuwa hoja yangu na iko hivyo uiname au ulaleSiyo kweli kama ulikua unauliza kwasababu ulikuja na hili jibu ππππ
Jinsi ulivyojibu hapa ulikua na uhakika kabisa Mayalla siyo wakili pamoja na mimi kukupatia screenshot ya makala yake na pia kukuwekea link ya chapisho lake la jamiiforums
Ni wakili pia na tumeshakuonyesha, anything else..π
Kusoma LLB hakukufanyi uwe wakili na hiyo ndo ilikuwa hoja yangu na iko hivyo uiname au ulale