Pascal Mayalla wa 'Masai Studio' akikutana na Pascal wa JamiiForums kutatokea Vita Kuu ya Tatu ya Dunia

"Mayalla kwetu kule ni Njaaaaaa" hii kauli ilimharibu sana kisaikolijia Mzee mayalla tangu alipobamizwa hayo maneno na JPM na hajawahi kupona Hadi Leo anaweweseka akilala😀😀ila JPM🙌
 
Mie kitambo sana na nazungumzia miaka ya 2007/2008 na kuendelea nilimpa jina la “Pascal the Comedian”.

Lakini niliona kitu ambacho yeye anacho kuwa ni uwezo mkubwa wa kufanya spinning and manipulation.
 
Mie kitambo sana na nazungumzia miaka ya 2007/2008 na kuendelea nilimpa jina la “Pascal the Comedian”.

Lakini niliona kitu ambacho yeye anacho kuwa ni uwezo mkubwa wa kufanya spinning and manipulation.
Hata kwenye hiyo so called spinning hana ushawishi wowote ule.

Hana good written communication skills.

Muda mwingi huwa anajirudia rudia tu.

Pia, anapenda sana kuchanganya lugha na akifanya hivyo huwa anakosea sana kwenye lugha ya Kiingereza.

I was a double major in college. One of my majors was communication arts with emphasis on electronic media [kiufupi, hata mimi ni trained journalist mwenye college degree].

I wrote for the college newspaper.

I had my own weekend radio show on the college’s radio station.

I shot and produced my own tv reports for the college’s tv station.

I interned at a major tv network when they still had their global headquarters in Atlanta.

When it comes to this communication business, I’m qualified to be a critic.

Jamaa hana ustadi wowote kwenye mawasiliano.
 
Kwa kigeo hiki mzee Paschal is waaaay ahead of you
 
Utu uzima dawa
 
Umeeleweka mkuu ila kwa Pasco ninavyomuona uandishi ni passion yake uko kwenye damu,na Sheria keake analazimisha tu sio fani yake.nakumbuka mwaka 2005 niliishi nae mabibo hostel akisoma Sheria, ghafla nikasikia alidisco,ilimchukua miaka zaidi ya kumi kuja kupata shahada yake ya sheria.najua elimu yetu Ina mauzauza mengi ila mzee wetu hawezi kuacha kuandika,ni kitu Kiko damuni,huku kwenye Sheria nikutengeneza CV tu
 
Huyu wa sasa anajiita P.

🤣🤣🤣. TUKUMBUKE NA YALIYO MSIBU JIMBO LA KAWE. Ana mengi mnooo mnooo yanayomsibuu
 
Wabongo ukiwa na maneno mengi hata kama hamna points wanakuona muelewa. We wazungushe, wapeleke, warudishe, define hiki na kile basi.
 
Mfano mzuri ni wa Professor wa kuokotwa jalalani na yule Prof Kiti, Dr Bash.
 
Bado ni Paschal yule yule japo wa sasa anashangaza kidogo akiamua kumsifia mtu kama Makonda anakuwa kama chawa hivi .....ni nani asiyemjua Makonda ?
 
Wabongo ukiwa na maneno mengi hata kama hamna points wanakuona muelewa. We wazungushe, wapeleke, warudishe, define hiki na kile basi.

Nilitaka kuwa nimemaliza, nisiendelee kumchana rafiki yangu, ila unanirudisha tena mkuu.

Na hapo unaposema ndipo watu wanaoangalia logical consistency vs contradiction, substance vs fluff, core principles vs flight off the pants fancies, wanapoweza kutofautisha chuya na mchele.

We are so unnecessarily verbose, and we mistake verbosity for depth. Wakati mara nyingi muandishi anayeweza kuwasilisha mawazo yake kwa ufupi, ndiye muandishi mzuri.

Mtu akishaanza tu na "Voices from Within" unamwambia hizi hapa ni hadithi njoo, uongo njoo, utamu kolea, worse than za Alfu Lela U Lela.

Namwambia you are not even wrong, you are less than wrong, becauae to be at least wrong you have to operate on a falsifiable framework. How could we falsify "Voices From Within" ? That is insanely bad Vogon poetry diaguised as social commentary.

Voices from within hata kichaa anazo.

Wewe Pascal muandishi wa habari, wa siku nyingi, mwanasheria, tupe kitu kilichonyooka kwa facts, logic, sources.

Si hadithi hadithi, hadithi njoo, tena meandering like the Irrawaddy in the monsoon season.

Lakini kashawajulia wabongo wengi ukiwapa stories za kuungaunga, ukaji brand una access na nyeti fulani unazitoa kwa code za uongo na kweli, kuwa na unnecessary irony ya kijanjajanja tu, kuna watu wanajifanya wanafuatilia episode kwa episode.

Si unajua tena tunavyojali who you are, rather than what do you bring go the table?

The more mysterious and self contradicting you are, the more they want to hear these stories. We are a culture that love stories. Not even history, just stories.

Yani muandishi anadanganya kuandika a deeply performative -that is what it really is- gratuitously longwinded wishy washy shitting on the fence article ambalo wasomaji hawasomi lote, na wasomaji nao wanadanganya kama wamesoma a long ass boring undisciplined stream of consciousness piece.

Unajiuliza, hawa wazembe wa kusoma wa JF kweli wamesoma this worse than "Mein Kampf" soliloquy of chaos?

Na pengine hawaelewi, the pieces are mostly a string of self contradictions , ila mashabiki hawatakubali kuwa hawajaelewa, au hapa kuna contradiction. Kukubali kuwa hujaelewa inaonekana kukubali wewe mjinga, so wata invent all kinds of conspiracy theories and Fibonacci codes kujiridhisha tu kuwa kuna maana kubwa hapo imeandikwa na kama hujaelewa basi wewe hujui code 😂😂

Ukiuliza watu kumi tofauti, huyu hapa kasema nini? Utapata stories kumi tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…