CDF, IGP NA TISS wakiamua anaweza kuwa hakuna wa kuwazuia. Watanzania hawana mamlaka ya kuchagua viongozi wawatakao huchaguliwa na ccm na vyombo vya dola.Kwa taarifa za uhakika ni kwamba mwandishi nguli wa habari Paschal Mayala amenasa kwenye kundi la ccm mtandao ambalo kazi yao ni moja tu kubagaza na kubananga rasilimali za watanzania.
Paschal Mayala amepewa kazi maalum ya kumnadi na kumsafishia njia Ridhiwan Kikwete ili apate taswira nzuri mbele ya macho ya watanzania ili kwenye uchaguzi mkuu wa 2030 achaguliwe kuwa Rais wa awamu ya 7 ya jamhuri ya muungano wa Tanzania hivyo kufuata nyayo za baba yake Jakaya Kikwete.
Kwa sisi wapenda maendeleo na wazalendo wa nchi yetu Tanzania tunamuonya Paschal Mayala kuwa Ridhiwan Kikwete hana hadhi wala maadili ya kuwa Rais wa nchi yetu, madudu na machafu aliyoyafanya baba yake yanatosha kabisa kumwondolea sifa ya kuchaguliwa kwani hataenda kufanya kazi za Watanzania badala yake ataenda kulinda biashara na masilahi ya baba yake.
Pascal Mayalla ya kweli aya ?
labda kajua kinachoendelea.Angalia tu post za Mayala kwa hivi karibuni
Eti sisi wazalendo wa Tanzania ,kweli wewe bado ni yuleyule chawa wa Magufuli.Kwa taarifa za uhakika ni kwamba mwandishi nguli wa habari Paschal Mayala amenasa kwenye kundi la ccm mtandao ambalo kazi yao ni moja tu kubagaza na kubananga rasilimali za watanzania.
Paschal Mayala amepewa kazi maalum ya kumnadi na kumsafishia njia Ridhiwan Kikwete ili apate taswira nzuri mbele ya macho ya watanzania ili kwenye uchaguzi mkuu wa 2030 achaguliwe kuwa Rais wa awamu ya 7 ya jamhuri ya muungano wa Tanzania hivyo kufuata nyayo za baba yake Jakaya Kikwete.
Kwa sisi wapenda maendeleo na wazalendo wa nchi yetu Tanzania tunamuonya Paschal Mayala kuwa Ridhiwan Kikwete hana hadhi wala maadili ya kuwa Rais wa nchi yetu, madudu na machafu aliyoyafanya baba yake yanatosha kabisa kumwondolea sifa ya kuchaguliwa kwani hataenda kufanya kazi za Watanzania badala yake ataenda kulinda biashara na masilahi ya baba yake.
nonsense 🐒Kwa taarifa za uhakika ni kwamba mwandishi nguli wa habari Paschal Mayala amenasa kwenye kundi la ccm mtandao ambalo kazi yao ni moja tu kubagaza na kubananga rasilimali za watanzania.
Paschal Mayala amepewa kazi maalum ya kumnadi na kumsafishia njia Ridhiwan Kikwete ili apate taswira nzuri mbele ya macho ya watanzania ili kwenye uchaguzi mkuu wa 2030 achaguliwe kuwa Rais wa awamu ya 7 ya jamhuri ya muungano wa Tanzania hivyo kufuata nyayo za baba yake Jakaya Kikwete.
Kwa sisi wapenda maendeleo na wazalendo wa nchi yetu Tanzania tunamuonya Paschal Mayala kuwa Ridhiwan Kikwete hana hadhi wala maadili ya kuwa Rais wa nchi yetu, madudu na machafu aliyoyafanya baba yake yanatosha kabisa kumwondolea sifa ya kuchaguliwa kwani hataenda kufanya kazi za Watanzania badala yake ataenda kulinda biashara na masilahi ya baba yake.
Kama wao wenye Nchi wamemuona anafaa Mimi ni Nani nipinge? Vitu vingine hakuna haja ya kutumia nguvuKwa taarifa za uhakika ni kwamba mwandishi nguli wa habari Paschal Mayala amenasa kwenye kundi la ccm mtandao ambalo kazi yao ni moja tu kubagaza na kubananga rasilimali za watanzania.
Paschal Mayala amepewa kazi maalum ya kumnadi na kumsafishia njia Ridhiwan Kikwete ili apate taswira nzuri mbele ya macho ya watanzania ili kwenye uchaguzi mkuu wa 2030 achaguliwe kuwa Rais wa awamu ya 7 ya jamhuri ya muungano wa Tanzania hivyo kufuata nyayo za baba yake Jakaya Kikwete.
Kwa sisi wapenda maendeleo na wazalendo wa nchi yetu Tanzania tunamuonya Paschal Mayala kuwa Ridhiwan Kikwete hana hadhi wala maadili ya kuwa Rais wa nchi yetu, madudu na machafu aliyoyafanya baba yake yanatosha kabisa kumwondolea sifa ya kuchaguliwa kwani hataenda kufanya kazi za Watanzania badala yake ataenda kulinda biashara na masilahi ya baba yake.
HahahaSema Mzee Mayalla huwa ananifurahisha sana kwani hata umtukane lazima akupe LIKE. Hanaga baya.
Daaah 🤣 lkn naona Kuwa mwanasiasa kunahitaji roho ya kigaidi... Acha sisi tushabikie Diamond Platnumzkwani hata umtukane lazima akupe LIKE. Hanaga baya.
Naunga mkono hoja kwa makofi mengi kwa meza,inchi sii ya koo ama jamii chache ndani ya taifa letu!Kwa taarifa za uhakika ni kwamba mwandishi nguli wa habari Paschal Mayala amenasa kwenye kundi la ccm mtandao ambalo kazi yao ni moja tu kubagaza na kubananga rasilimali za watanzania.
Paschal Mayala amepewa kazi maalum ya kumnadi na kumsafishia njia Ridhiwan Kikwete ili apate taswira nzuri mbele ya macho ya watanzania ili kwenye uchaguzi mkuu wa 2030 achaguliwe kuwa Rais wa awamu ya 7 ya jamhuri ya muungano wa Tanzania hivyo kufuata nyayo za baba yake Jakaya Kikwete.
Kwa sisi wapenda maendeleo na wazalendo wa nchi yetu Tanzania tunamuonya Paschal Mayala kuwa Ridhiwan Kikwete hana hadhi wala maadili ya kuwa Rais wa nchi yetu, madudu na machafu aliyoyafanya baba yake yanatosha kabisa kumwondolea sifa ya kuchaguliwa kwani hataenda kufanya kazi za Watanzania badala yake ataenda kulinda biashara na masilahi ya baba yake.
Hizi sio taarifa za kweli ridhwani mimi naheshimiana nae sana,kwa taarifa za uhakika kabisa hana mpango wa kugombea urais,unadanganywaKwa taarifa za uhakika ni kwamba mwandishi nguli wa habari Paschal Mayala amenasa kwenye kundi la ccm mtandao ambalo kazi yao ni moja tu kubagaza na kubananga rasilimali za watanzania.
Paschal Mayala amepewa kazi maalum ya kumnadi na kumsafishia njia Ridhiwan Kikwete ili apate taswira nzuri mbele ya macho ya watanzania ili kwenye uchaguzi mkuu wa 2030 achaguliwe kuwa Rais wa awamu ya 7 ya jamhuri ya muungano wa Tanzania hivyo kufuata nyayo za baba yake Jakaya Kikwete.
Kwa sisi wapenda maendeleo na wazalendo wa nchi yetu Tanzania tunamuonya Paschal Mayala kuwa Ridhiwan Kikwete hana hadhi wala maadili ya kuwa Rais wa nchi yetu, madudu na machafu aliyoyafanya baba yake yanatosha kabisa kumwondolea sifa ya kuchaguliwa kwani hataenda kufanya kazi za Watanzania badala yake ataenda kulinda biashara na masilahi ya baba yake.
Mpishi yule,anajua kinachopikwaSema Mzee Mayalla huwa ananifurahisha sana kwani hata umtukane lazima akupe LIKE. Hanaga baya.