Paschal Mayala acha kutumika na Ridhiwan Kikwete maji yamekorogeka

Paschal Mayala acha kutumika na Ridhiwan Kikwete maji yamekorogeka

Lete ya kwako inayotosha
Mimi sijasema awe au asiwe Rais Mkuu.
Nazungumzia hoja yako naona haijatosha.
Kwamba wewe ukizaliwa na Baba mshenzi watu wakuhukumu kwa matendo ya Baba yako?
Au ukizaliwa na Baba Mtakatifu watu wakupongeze na kukusifu kwa matendo ya Baba yako?
E
Na huu ndio ukweli wenyewe kabisa.
Kazi ni kipimo cha utu
Dawa yao inachemka
 
Kwa kweli hili jambo huwa linanisikitisha sana , nchi yetu ni ya Kidemokrasia lakini tumezidiwa maarifa mpaka na wanyama wa kufugwa nazungumzia ( Ng'ombe, Kondoo na Mbuzi)

Ng"ombe wakitaka kumpata kiongozi wao madume hupigana kweli kweli watavunjana pembe, watatoana mpaka damu anayeshinda huonekana.

Kondoo hupigana vichwa kweli kweli anayesikia kizunguzungu huwa ameshindwa uongozi

Mbuzi pamoja na kuwa na akili mbovu huwa mabeberu wanapigana mpaka wanatoana damu na kuvunjana mapembe.

Inakuwaje sisi Watanzania tumekuwa na akili za hovyo kama huna uadilifu kaa pembeni sio hizi mambo za kutumia watu kujusafisha au kutumia majolica na vyombo vya ulinzi na usalama kwa manufaa yako.

Hii ni mbaya kupita ubaya wenyewe.
SASA NDUGU kwetu upigane na nani? mwenyye nguvu mpishe tu
 
Nilikuwa nnafatilia comments za uzi huu lakini sijaona comment ya bwanah aliyepewa tuhuma hizo Bali nimeona akipita na ku-like baadhi ya comments imenipa wasi wasi

Ametumia falsafa gani? Au amekubali hizi tuhuma au ametumia ule msemo aliyetumiwa baba wa mtoto aliyepewa tuhuma hizo

Kuwa" siyo kama siwezi kusema!!!!!

Au ndio ukimya ni jibu ila kwa upeo wangu mdogo ilibidi aje? Atoe ufafanuzi kama jambo hili kweli au aelezee kidogo na mtoa tuhuma aseme kitu gani? Kimemfanya ahisi hivyo au ana uhakika gani? Mpaka kambebesha thuhuma hizo nzito na kama Kuna uzi ameanzisha kufafanua hilo jambo niunganishwe niupitie
 
Tuna kila aina ya ushahidi ndio maana amekaa kimya
 
Kwa taarifa za uhakika ni kwamba mwandishi nguli wa habari Paschal Mayala amenasa kwenye kundi la ccm mtandao ambalo kazi yao ni moja tu kubagaza na kubananga rasilimali za watanzania.

Paschal Mayala amepewa kazi maalum ya kumnadi na kumsafishia njia Ridhiwan Kikwete ili apate taswira nzuri mbele ya macho ya watanzania ili kwenye uchaguzi mkuu wa 2030 achaguliwe kuwa Rais wa awamu ya 7 ya jamhuri ya muungano wa Tanzania hivyo kufuata nyayo za baba yake Jakaya Kikwete.

Kwa sisi wapenda maendeleo na wazalendo wa nchi yetu Tanzania tunamuonya Paschal Mayala kuwa Ridhiwan Kikwete hana hadhi wala maadili ya kuwa Rais wa nchi yetu, madudu na machafu aliyoyafanya baba yake yanatosha kabisa kumwondolea sifa ya kuchaguliwa kwani hataenda kufanya kazi za Watanzania badala yake ataenda kulinda biashara na masilahi ya baba yake.
Biblia inakataa mtoto kupewa dhambi za baba yake

USSR
 
Eti sisi wazalendo wa Tanzania ,kweli wewe bado ni yuleyule chawa wa Magufuli.

Safari hii hakuna mgombea was ccm atapita kwenda ikulu na kama wasukuma wenzako mnaamini kuwa tutawachagua tena mwakani basi muendelezo kupiga ramri pale Gambosh
Wauzaji wa rasilimali za nchi mko na furaha sana
 
Mimi sijasema awe au asiwe Rais Mkuu.
Nazungumzia hoja yako naona haijatosha.
Kwamba wewe ukizaliwa na Baba mshenzi watu wakuhukumu kwa matendo ya Baba yako?
Au ukizaliwa na Baba Mtakatifu watu wakupongeze na kukusifu kwa matendo ya Baba yako?
Like father like Son unatetea nini hapa upumbavu mtupu Kunguru hawezi kuzaa njiwa au njiwa kuzaa Kunguru
 
Biblia inakataa mtoto kupewa dhambi za baba yake

USSR
Ile inayosema kuwa " kizazi chako kitapata laana vizazi vinne, najua nimekosea kuelezea ila ni andiko linalotoa laana Kwa vizazi vinne kama wazazi wakikosea au wakitenda dhambi
 
Wanavyofanya kampeni wanakuwepo wapambe,wanakufuata,kama wewe ni mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM.

Wanakwambia ukimpigia kura Ridhiwani utapata 100,000,000 sh fedha taslimu."
Halafu atakuja mwingine atakwambia,"Mpigie kura January,utapata sh.100,000,000."

Sasa kwa vile hizi kampeni ni hela zinashindana na hela, isitokee sasa mtu akaja kunidhuru ili nisimharibie kampeni yake ya 2030.

Now, people are going out of their way to poison my food. Really I don't know what it's all about. Hawa watu wanasumbuliwa.na nini?

Just this morning this person was growling and snarling at me.
Nimepuuzia hivyo vitisho ama sivyo sasa hivi ningekuwa ndani ya basi naelekea Butiama.

Nawaambia daktari amesema nisile vyakula vilivyowekwa limau kwa sababu nina vidonda vya tumbo , wanasema huyo daktari aliyesema una ulcers,huyo daktari labda amefoji vyeti. Yaani huyo ni daktari feki.
 
Back
Top Bottom