Paschal Mayala acha kutumika na Ridhiwan Kikwete maji yamekorogeka

JK kulazimisha Samia kuwa mgombea wa CCM ile January 2025 ni katika harakati na maandalizi ya kuja kumsimika Ridhiwan kuwa Rais 2030 hivyo huyu Pascal amepewa kandarasi hiyo kuanza kumsafishia njia.
FB_IMG_1765768878021.jpg
 
Kwa taarifa za uhakika ni kwamba mwandishi nguli wa habari Paschal Mayala amenasa kwenye kundi la ccm mtandao ambalo kazi yao ni moja tu kubagaza na kubananga rasilimali za watanzania.

Paschal Mayala amepewa kazi maalum ya kumnadi na kumsafishia njia Ridhiwan Kikwete ili apate taswira nzuri mbele ya macho ya watanzania ili kwenye uchaguzi mkuu wa 2030 achaguliwe kuwa Rais wa awamu ya 7 ya jamhuri ya muungano wa Tanzania hivyo kufuata nyayo za baba yake Jakaya Kikwete.

Kwa sisi wapenda maendeleo na wazalendo wa nchi yetu Tanzania tunamuonya Paschal Mayala kuwa Ridhiwan Kikwete hana hadhi wala maadili ya kuwa Rais wa nchi yetu, madudu na machafu aliyoyafanya baba yake yanatosha kabisa kumwondolea sifa ya kuchaguliwa kwani hataenda kufanya kazi za Watanzania badala yake ataenda kulinda biashara na masilahi ya baba yake.
Unajua maana ya nguli hadi unamuona Mayala kuwa nguli? Kwa vigezo vipi? Au unasema mwandishi wa zamani?
 
Eti sisi wazalendo wa Tanzania ,kweli wewe bado ni yuleyule chawa wa Magufuli.

Safari hii hakuna mgombea was ccm atapita kwenda ikulu na kama wasukuma wenzako mnaamini kuwa tutawachagua tena mwakani basi muendelezo kupiga ramri pale Gambosh

kuna hao unaowaita wasukuma wengi tena sana tu wanapigia kura chadema, sehemu kubwa ya mauaji ya 10/29 yalifanywa huko kwa mwanza, sasa unapoamua kuwatenga wote as a group hapo hapo unaongelea kuhusu uchaguzi wakati uchaguzi ni namba you are not helping man, kama nchi tunahitaji kuungana wote against evil na hiyo ndiyo kazi yetu kubwa ...
 
kuna hao unaowaita wasukuma wengi tena sana tu wanapigia kura chadema, sehemu kubwa ya mauaji ya 10/29 yalifanywa huko kwa mwanza, sasa unapoamua kuwatenga wote as a group wakati ambapo kama nchi tunahitaji kuungana wote against evil, you are not helping ...
Mkuu nakubaliana na wewe kwa asilimia kubwa sana,lkn niliye mjibu anajua nini nimemaanisha na amenielewa na kwa taarifa yako hata mimi mwenyewe ni msukuma wa Nyamadoke usagara
 
Kwa taarifa za uhakika ni kwamba mwandishi nguli wa habari Paschal Mayala amenasa kwenye kundi la ccm mtandao ambalo kazi yao ni moja tu kubagaza na kubananga rasilimali za watanzania.

Paschal Mayala amepewa kazi maalum ya kumnadi na kumsafishia njia Ridhiwan Kikwete ili apate taswira nzuri mbele ya macho ya watanzania ili kwenye uchaguzi mkuu wa 2030 achaguliwe kuwa Rais wa awamu ya 7 ya jamhuri ya muungano wa Tanzania hivyo kufuata nyayo za baba yake Jakaya Kikwete.

Kwa sisi wapenda maendeleo na wazalendo wa nchi yetu Tanzania tunamuonya Paschal Mayala kuwa Ridhiwan Kikwete hana hadhi wala maadili ya kuwa Rais wa nchi yetu, madudu na machafu aliyoyafanya baba yake yanatosha kabisa kumwondolea sifa ya kuchaguliwa kwani hataenda kufanya kazi za Watanzania badala yake ataenda kulinda biashara na masilahi ya baba yake.
Mjane wa lile Shetani lenu la Chato umebaki kulialia tu humu.
Kwani wewe ulipokuwa ukitumikishwa na lile Shetani lenu la Chato hukujua kwamba ipo siku litakufa?
Kama vipi mfate Chato
 
Kwa taarifa za uhakika ni kwamba mwandishi nguli wa habari Paschal Mayala amenasa kwenye kundi la ccm mtandao ambalo kazi yao ni moja tu kubagaza na kubananga rasilimali za watanzania.

Paschal Mayala amepewa kazi maalum ya kumnadi na kumsafishia njia Ridhiwan Kikwete ili apate taswira nzuri mbele ya macho ya watanzania ili kwenye uchaguzi mkuu wa 2030 achaguliwe kuwa Rais wa awamu ya 7 ya jamhuri ya muungano wa Tanzania hivyo kufuata nyayo za baba yake Jakaya Kikwete.

Kwa sisi wapenda maendeleo na wazalendo wa nchi yetu Tanzania tunamuonya Paschal Mayala kuwa Ridhiwan Kikwete hana hadhi wala maadili ya kuwa Rais wa nchi yetu, madudu na machafu aliyoyafanya baba yake yanatosha kabisa kumwondolea sifa ya kuchaguliwa kwani hataenda kufanya kazi za Watanzania badala yake ataenda kulinda biashara na masilahi ya baba yake.
Waswahili wa mwambao walisema, tumikia kafiri upate mradi wako!!
 
Kwa hiyo siku hizi watoto huadhibiwa kwa Makosa ya Wazazi wao?

Hoja yako ingetakiwa kuonyesha madhaifu na ukosefu wa uadilifu wa Ridhiwani Kikwete. Hapa ungekuwa na hoja na sisi wafuata haki na ukweli tungeona sababu ya kukubaliana na wewe.

Lakini kumuadhibu mtoto kwa makosa ya wazazi wake kihaki haijakaa sawa
 
Paschal Njaa apuuzwe mahala popote atakapoonekana
 
Kwa hiyo siku hizi watoto huadhibiwa kwa Makosa ya Wazazi wao?

Hoja yako ingetakiwa kuonyesha madhaifu na ukosefu wa uadilifu wa Ridhiwani Kikwete. Hapa ungekuwa na hoja na sisi wafuata haki na ukweli tungeona sababu ya kukubaliana na wewe.

Lakini kumuadhibu mtoto kwa makosa ya wazazi wake kihaki haijakaa sawa
Tuonyeshe usafi wa Ridhiwan Kikwete
 
Kwa taarifa za uhakika ni kwamba mwandishi nguli wa habari Paschal Mayala amenasa kwenye kundi la ccm mtandao ambalo kazi yao ni moja tu kubagaza na kubananga rasilimali za watanzania.

Paschal Mayala amepewa kazi maalum ya kumnadi na kumsafishia njia Ridhiwan Kikwete ili apate taswira nzuri mbele ya macho ya watanzania ili kwenye uchaguzi mkuu wa 2030 achaguliwe kuwa Rais wa awamu ya 7 ya jamhuri ya muungano wa Tanzania hivyo kufuata nyayo za baba yake Jakaya Kikwete.

Kwa sisi wapenda maendeleo na wazalendo wa nchi yetu Tanzania tunamuonya Paschal Mayala kuwa Ridhiwan Kikwete hana hadhi wala maadili ya kuwa Rais wa nchi yetu, madudu na machafu aliyoyafanya baba yake yanatosha kabisa kumwondolea sifa ya kuchaguliwa kwani hataenda kufanya kazi za Watanzania badala yake ataenda kulinda biashara na masilahi ya baba yake.
Ni Mtanzania lakini huyo Ridhiwani! Hawezi kabeba dhambi za babaye,Kila mtu abebe mzigo wake!
 
Back
Top Bottom