CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Manjaa (mengi)Mayalla maana yake Njaa- Dkt Magufuli
Unajua maana ya nguli hadi unamuona Mayala kuwa nguli? Kwa vigezo vipi? Au unasema mwandishi wa zamani?Kwa taarifa za uhakika ni kwamba mwandishi nguli wa habari Paschal Mayala amenasa kwenye kundi la ccm mtandao ambalo kazi yao ni moja tu kubagaza na kubananga rasilimali za watanzania.
Paschal Mayala amepewa kazi maalum ya kumnadi na kumsafishia njia Ridhiwan Kikwete ili apate taswira nzuri mbele ya macho ya watanzania ili kwenye uchaguzi mkuu wa 2030 achaguliwe kuwa Rais wa awamu ya 7 ya jamhuri ya muungano wa Tanzania hivyo kufuata nyayo za baba yake Jakaya Kikwete.
Kwa sisi wapenda maendeleo na wazalendo wa nchi yetu Tanzania tunamuonya Paschal Mayala kuwa Ridhiwan Kikwete hana hadhi wala maadili ya kuwa Rais wa nchi yetu, madudu na machafu aliyoyafanya baba yake yanatosha kabisa kumwondolea sifa ya kuchaguliwa kwani hataenda kufanya kazi za Watanzania badala yake ataenda kulinda biashara na masilahi ya baba yake.
Eti sisi wazalendo wa Tanzania ,kweli wewe bado ni yuleyule chawa wa Magufuli.
Safari hii hakuna mgombea was ccm atapita kwenda ikulu na kama wasukuma wenzako mnaamini kuwa tutawachagua tena mwakani basi muendelezo kupiga ramri pale Gambosh
Mkuu nakubaliana na wewe kwa asilimia kubwa sana,lkn niliye mjibu anajua nini nimemaanisha na amenielewa na kwa taarifa yako hata mimi mwenyewe ni msukuma wa Nyamadoke usagarakuna hao unaowaita wasukuma wengi tena sana tu wanapigia kura chadema, sehemu kubwa ya mauaji ya 10/29 yalifanywa huko kwa mwanza, sasa unapoamua kuwatenga wote as a group wakati ambapo kama nchi tunahitaji kuungana wote against evil, you are not helping ...
Mjane wa lile Shetani lenu la Chato umebaki kulialia tu humu.Kwa taarifa za uhakika ni kwamba mwandishi nguli wa habari Paschal Mayala amenasa kwenye kundi la ccm mtandao ambalo kazi yao ni moja tu kubagaza na kubananga rasilimali za watanzania.
Paschal Mayala amepewa kazi maalum ya kumnadi na kumsafishia njia Ridhiwan Kikwete ili apate taswira nzuri mbele ya macho ya watanzania ili kwenye uchaguzi mkuu wa 2030 achaguliwe kuwa Rais wa awamu ya 7 ya jamhuri ya muungano wa Tanzania hivyo kufuata nyayo za baba yake Jakaya Kikwete.
Kwa sisi wapenda maendeleo na wazalendo wa nchi yetu Tanzania tunamuonya Paschal Mayala kuwa Ridhiwan Kikwete hana hadhi wala maadili ya kuwa Rais wa nchi yetu, madudu na machafu aliyoyafanya baba yake yanatosha kabisa kumwondolea sifa ya kuchaguliwa kwani hataenda kufanya kazi za Watanzania badala yake ataenda kulinda biashara na masilahi ya baba yake.
Kama kweli ilikuwa madrasa kuna shida gani kiongozi 😀duh yaani huyo jamaa awe raisi? underperfoming islamist anayesma kila siku kwamba ikulu yetu ilikuwa madrasa ndiyo awe raisi wa nchi yetu?
dont limit God ...
Waswahili wa mwambao walisema, tumikia kafiri upate mradi wako!!Kwa taarifa za uhakika ni kwamba mwandishi nguli wa habari Paschal Mayala amenasa kwenye kundi la ccm mtandao ambalo kazi yao ni moja tu kubagaza na kubananga rasilimali za watanzania.
Paschal Mayala amepewa kazi maalum ya kumnadi na kumsafishia njia Ridhiwan Kikwete ili apate taswira nzuri mbele ya macho ya watanzania ili kwenye uchaguzi mkuu wa 2030 achaguliwe kuwa Rais wa awamu ya 7 ya jamhuri ya muungano wa Tanzania hivyo kufuata nyayo za baba yake Jakaya Kikwete.
Kwa sisi wapenda maendeleo na wazalendo wa nchi yetu Tanzania tunamuonya Paschal Mayala kuwa Ridhiwan Kikwete hana hadhi wala maadili ya kuwa Rais wa nchi yetu, madudu na machafu aliyoyafanya baba yake yanatosha kabisa kumwondolea sifa ya kuchaguliwa kwani hataenda kufanya kazi za Watanzania badala yake ataenda kulinda biashara na masilahi ya baba yake.
Du...bubu leo kaongea!!!Kama kweli ilikuwa madrasa kuna shida gani kiongozi 😀
Kwa taarifa za uhakika ni kwamba mwandishi nguli wa habari Paschal Mayala amenasa kwenye kundi la ccm mtandao ambalo kazi yao ni moja tu kubagaza na kubananga rasilimali za watanzania.
Paschal Mayala amepewa kazi maalum ya kumnadi na kumsafishia njia Ridhiwan Kikwete ili apate taswira nzuri mbele ya macho ya watanzania ili kwenye uchaguzi mkuu wa 2030 achaguliwe kuwa Rais wa awamu ya 7 ya jamhuri ya muungano wa Tanzania hivyo kufuata nyayo za baba yake Jakaya Kikwete.
Kwa sisi wapenda maendeleo na wazalendo wa nchi yetu Tanzania tunamuonya Paschal Mayala kuwa Ridhiwan Kikwete hana hadhi wala maadili ya kuwa Rais wa nchi yetu, madudu na machafu aliyoyafanya baba yake yanatosha kabisa kumwondolea sifa ya kuchaguliwa kwani hataenda kufanya kazi za Watanzania badala yake ataenda kulinda biashara na masilahi ya baba yake.
Paschal Njaa apuuzwe mahala popote atakapoonekanaKwa taarifa za uhakika ni kwamba mwandishi nguli wa habari Paschal Mayala amenasa kwenye kundi la ccm mtandao ambalo kazi yao ni moja tu kubagaza na kubananga rasilimali za watanzania.
Paschal Mayala amepewa kazi maalum ya kumnadi na kumsafishia njia Ridhiwan Kikwete ili apate taswira nzuri mbele ya macho ya watanzania ili kwenye uchaguzi mkuu wa 2030 achaguliwe kuwa Rais wa awamu ya 7 ya jamhuri ya muungano wa Tanzania hivyo kufuata nyayo za baba yake Jakaya Kikwete.
Kwa sisi wapenda maendeleo na wazalendo wa nchi yetu Tanzania tunamuonya Paschal Mayala kuwa Ridhiwan Kikwete hana hadhi wala maadili ya kuwa Rais wa nchi yetu, madudu na machafu aliyoyafanya baba yake yanatosha kabisa kumwondolea sifa ya kuchaguliwa kwani hataenda kufanya kazi za Watanzania badala yake ataenda kulinda biashara na masilahi ya baba yake.
Hivi sasa sii njaa tena wanamwita tajiri wa Katoro.P popote ulipo waweza thibitisha hili.Mayalla maana yake Njaa- Dkt Magufuli
Tuonyeshe usafi wa Ridhiwan KikweteKwa hiyo siku hizi watoto huadhibiwa kwa Makosa ya Wazazi wao?
Hoja yako ingetakiwa kuonyesha madhaifu na ukosefu wa uadilifu wa Ridhiwani Kikwete. Hapa ungekuwa na hoja na sisi wafuata haki na ukweli tungeona sababu ya kukubaliana na wewe.
Lakini kumuadhibu mtoto kwa makosa ya wazazi wake kihaki haijakaa sawa
Ni Mtanzania lakini huyo Ridhiwani! Hawezi kabeba dhambi za babaye,Kila mtu abebe mzigo wake!Kwa taarifa za uhakika ni kwamba mwandishi nguli wa habari Paschal Mayala amenasa kwenye kundi la ccm mtandao ambalo kazi yao ni moja tu kubagaza na kubananga rasilimali za watanzania.
Paschal Mayala amepewa kazi maalum ya kumnadi na kumsafishia njia Ridhiwan Kikwete ili apate taswira nzuri mbele ya macho ya watanzania ili kwenye uchaguzi mkuu wa 2030 achaguliwe kuwa Rais wa awamu ya 7 ya jamhuri ya muungano wa Tanzania hivyo kufuata nyayo za baba yake Jakaya Kikwete.
Kwa sisi wapenda maendeleo na wazalendo wa nchi yetu Tanzania tunamuonya Paschal Mayala kuwa Ridhiwan Kikwete hana hadhi wala maadili ya kuwa Rais wa nchi yetu, madudu na machafu aliyoyafanya baba yake yanatosha kabisa kumwondolea sifa ya kuchaguliwa kwani hataenda kufanya kazi za Watanzania badala yake ataenda kulinda biashara na masilahi ya baba yake.
Hata ikija katiba mpya?CDF, IGP NA TISS wakiamua anaweza kuwa hakuna wa kuwazuia. Watanzania hawana mamlaka ya kuchagua viongozi wawatakao huchaguliwa na ccm na vyombo vya dola.