Paskali Mayala, mbona huleti "analysis" ni nini zitakuwa athari kisiasa za uamuzi wowote kesi ya Mbowe?

Kwa kweli kaka yangu ninakuaminia sana kwa kufanya uchambuzi. Hata hivyo ukimya wako kuhusu kufanya uchambuzi na utabiri wa nini itakuwa athari kisiasa kuhusu uamuzi wowote utakaohusisha kesi ya Mbowe.
1644588506309.png
 
Kwa mfano kwa sasa tunasubiri iwapo Mahakama itaamua Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu na ikafikia hadi hatua ya utetezi athari zake zitakuwa ni zipi?

Hayo ni mawazo yangu - Je, ndugu yangu Paskali Mayala wewe unalichambuaje suala hili?
Mkuu NewPage, asante sana kwa kuniuliza na kwa maoni yako, hili la hii kesi ya Ugaidi ya Mbowe, kwanza sikupenda kuijadili kesi ikiwa mahakamani kwenye commital proceedings ili tusiingilie uhuru wa mahakama kwa kufanya contept of the court.
Ila mimi kama mwandishi, nimeisha andikia makala, nyingi za kusaidia upatikanaji wa haki. Karibu pande hizi
Kwa hii stage kesi ilipofikia, hearing imemalizika sasa ni wakati wa mahakama kuamua kama Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu au la, kwa vile na mimi nilifuta tongotongo za Sheria pale UDSM, hivyo kabatini kwangu kuna LL.B (hons) ya UDSM imelala tuu, hivyo baadhi ya hoja za maoni yangu, zinaweza kusaidia.
1. Nimeshauri Mbowe asamehewe tuu bila masharti yoyote, kwa DPP kufuta hii kesi kwa nolle.
2. Kitendo cha rais Samia alipohojiwa na Salim Kikeke, lile jibu la rais kuhusu kesi hii, lilitosha kuimaliza there and then.
3. Mbowe kuomba msamaha hawezi itakuwa ni kama kukiri kosa la ugaidi, kuliko kukiri kosa anaona bora kesi iendelee ili mahakama ndio itamke ama ana hatia, ama hana hatia.
3. Katika usikilizaji wa upande wa mashitaka, umeonyesha hoja nyingi zenye makosa ya kisheria justify hii kesi kuwa dismissed.
4. Hata ikikutikana Mbowe hana hatia, mahakama kumtamka hawana kesi ya kujibu, au baada ya kusikiliza utetezi wao, mahakama kuwatamka not guilty, ni changamoto!. This is an embarrassment for the government hivyo kutamfanya Mbowe shujaa na kiukweli akiachiwa, sio tuu kutamfanya Mbowe shujaa, bali Mbowe na Chadema watasumbua sana!.
5. Hivyo ili kum contains Mbowe ni kumpa a case to answer na hata baada ya kujitetea atapewa a guilty verdict na kumpiga mvua kadhaa, ili kumshikisha adabu!.
6. Baada ya kula mvua, ndipo shujaa, mwokozi na mkombozi wa Mbowe ataibuka na msamaha wa rais, Mbowe ataachiwa akiwa mnyonge na hawezi kugombea post yoyote, he'll be done, finished, finito!.
Asante sana. Hilo la msamha wa Rais sikulifikiri na kwa mwelekeo wa kesi ulivyo mpaka sasa bado unaamini atakula Mbowe atakula mvua?
Kwa mwenendo wa kesi mpaka sasa kwa upande wa haki bin haki, Mbowe anatakiwa ashinde kesi kwa kipengele kinachoitwa "the benefit of doubt", kufuatia mashahidi wa Jamhuri, kujikanyaga kanyaga, hivyo mahakama kushindwa kuestablish kitu kinachoitwa "prima facie" by proving jinai beyond reasonable doubt, hivyo uamuzi wa haki bin haki, ama DPP aiokoe serikali kwa Nolle, au serikali inakwenda kushindwa, uamuzi huu utai embarrass sana serikali, na Mbowe kuibuka shujaa wa karne!, kwa kutoka kifua mbele mabega juu na atasumbua sana, hivyo ili to save government faces, and to contain him, utatolewa uamuzi wa kisiasa kuwa Mbowe ana kesi ya kujibu, na uamuzi ni kwa kumpiga mvua kadhaa, halafu baada ya muda mfupi, Mama atatoa msamaha wa rais, Mbowe ataachiwa kwa msamaha, atatoka amenyon'gonyea, huku ameinamisha kichwa chini, mabega chini, na hawezi kugombea chochote!.
P
 
Mkuu NewPage, asante sana kwa kuniuliza na kwa maoni yako, hili la hii kesi ya Ugaidi ya Mbowe, nimeisha liandikia makala, karibu pande hizi
Humu
1. Nimeshauri Mbowe asamehewe tuu bila masharti yoyote.
2. Mbowe kuomba msamaha hawezi itakuwa ni kama kukiri kosa la ugaidi, kuliko kukiri kosa anaona bora kesi iendelee ili mahakama ndio itamke hana hatia.
3. Hata ikikutikana Mbowe hana hatia, mahakama kumtamka not guilty is an embarrassment for the government hivyo kutamfanya Mbowe shujaa na kiukweli atasumbua sana!.
4. Hivyo kum contains Mbowe ni kumpa guilty verdict na kumpiga mvua kadhaa, ili kumshikisha adabu!.
5. Baada ya kula mvua, shujaa, mwokozi wa Mbowe na mkombozi wa Mbowe ataibuka na msamaha wa rais, Mbowe ataachiwa akiwa mnyonge na hawezi kugombea post yoyote, he'll be done, finished, finito!.

Utabiri wa Mayala unaweza ukawa na ukweli?
 
Kwa mwenendo wa kesi mpaka sasa kwa upande wa haki bin haki, Mbowe anatakiwa ashinde kesi kwa kipengele kinachoitwa "the benefit of doubt", kufuatia mashahidi wa Jamhuri, kujikanyaga kanyaga, hivyo mahakama kushindwa kuestablish kitu kinachoitwa "prima facie" by proving jinai beyond reasonable doubt, hivyo uamuzi wa haki bin haki, ama DPP aiokoe serikali kwa Nolle, au serikali inakwenda kushindwa, uamuzi huu utai embarrass sana serikali, na Mbowe kuibuka shujaa wa karne!, kwa kutoka kifua mbele mabega juu na atasumbua sana, hivyo ili to save government faces, and to contain him, utatolewa uamuzi wa kisiasa kwa kumpiga mvua kadhaa, halafu baada ya muda mfupi, Mama atatoa msamaha wa rais, Mbowe ataachiwa kwa msamaha, atatoka amenyon'gonyea, huku ameinamisha kichwa chini, mabega chini, na hawezi kugombea chochote!.
P
Du! Paskali kwa hii thread ninakufuatilia sana!
 
Mkuu NewPage, asante sana kwa kuniuliza na kwa maoni yako, hili la hii kesi ya Ugaidi ya Mbowe, kwanza sikupenda kuijadili kesi ikiwa mahakamani kwenye commital proceedings ili tusiingilie uhuru wa mahakama kwa kufanya contept of the court.
Ila mimi kama mwandishi, nimeisha andikia makala, nyingi za kusaidia upatikanaji wa haki. Karibu pande hizi
Kwa hii stage kesi ilipofikia, hearing imemalizika sasa ni wakati wa mahakama kuamua kama Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu au la, kwa vile na mimi nilifuta tongotongo za Sheria pale UDSM, hivyo kabatini kwangu kuna LL.B (hons) ya UDSM imelala tuu, hivyo baadhi ya hoja za maoni yangu, zinaweza kusaidia.
1. Nimeshauri Mbowe asamehewe tuu bila masharti yoyote, kwa DPP kufuta hii kesi kwa nolle.
2. Kitendo cha rais Samia alipohojiwa na Salim Kikeke, lile jibu la rais kuhusu kesi hii, lilitosha kuimaliza there and then.
3. Mbowe kuomba msamaha hawezi itakuwa ni kama kukiri kosa la ugaidi, kuliko kukiri kosa anaona bora kesi iendelee ili mahakama ndio itamke ama ana hatia, ama hana hatia.
3. Katika usikilizaji wa upande wa mashitaka, umeonyesha hoja nyingi zenye makosa ya kisheria justify hii kesi kuwa dismissed.
4. Hata ikikutikana Mbowe hana hatia, mahakama kumtamka hawana kesi ya kujibu, au baada ya kusikiliza utetezi wao, mahakama kuwatamka not guilty, ni changamoto!. This is an embarrassment for the government hivyo kutamfanya Mbowe shujaa na kiukweli akiachiwa, sio tuu kutamfanya Mbowe shujaa, bali Mbowe na Chadema watasumbua sana!.
5. Hivyo ili kum contains Mbowe ni kumpa a case to answer na hata baada ya kujitetea atapewa a guilty verdict na kumpiga mvua kadhaa, ili kumshikisha adabu!.
6. Baada ya kula mvua, ndipo shujaa, mwokozi na mkombozi wa Mbowe ataibuka na msamaha wa rais, Mbowe ataachiwa akiwa mnyonge na hawezi kugombea post yoyote, he'll be done, finished, finito!.

Kwa mwenendo wa kesi mpaka sasa kwa upande wa haki bin haki, Mbowe anatakiwa ashinde kesi kwa kipengele kinachoitwa "the benefit of doubt", kufuatia mashahidi wa Jamhuri, kujikanyaga kanyaga, hivyo mahakama kushindwa kuestablish kitu kinachoitwa "prima facie" by proving jinai beyond reasonable doubt, hivyo uamuzi wa haki bin haki, ama DPP aiokoe serikali kwa Nolle, au serikali inakwenda kushindwa, uamuzi huu utai embarrass sana serikali, na Mbowe kuibuka shujaa wa karne!, kwa kutoka kifua mbele mabega juu na atasumbua sana, hivyo ili to save government faces, and to contain him, utatolewa uamuzi wa kisiasa kuwa Mbowe ana kesi ya kujibu, na uamuzi ni kwa kumpiga mvua kadhaa, halafu baada ya muda mfupi, Mama atatoa msamaha wa rais, Mbowe ataachiwa kwa msamaha, atatoka amenyon'gonyea, huku ameinamisha kichwa chini, mabega chini, na hawezi kugombea chochote!.
Mkuu NewPage, asante sana kwa kuniuliza na kwa maoni yako, hili la hii kesi ya Ugaidi ya Mbowe, kwanza sikupenda kuijadili kesi ikiwa mahakamani kwenye commital proceedings ili tusiingilie uhuru wa mahakama kwa kufanya contept of the court.
Ila mimi kama mwandishi, nimeisha andikia makala, nyingi za kusaidia upatikanaji wa haki. Karibu pande hizi
Kwa hii stage kesi ilipofikia, hearing imemalizika sasa ni wakati wa mahakama kuamua kama Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu au la, kwa vile na mimi nilifuta tongotongo za Sheria pale UDSM, hivyo kabatini kwangu kuna LL.B (hons) ya UDSM imelala tuu, hivyo baadhi ya hoja za maoni yangu, zinaweza kusaidia.
1. Nimeshauri Mbowe asamehewe tuu bila masharti yoyote, kwa DPP kufuta hii kesi kwa nolle.
2. Kitendo cha rais Samia alipohojiwa na Salim Kikeke, lile jibu la rais kuhusu kesi hii, lilitosha kuimaliza there and then.
3. Mbowe kuomba msamaha hawezi itakuwa ni kama kukiri kosa la ugaidi, kuliko kukiri kosa anaona bora kesi iendelee ili mahakama ndio itamke ama ana hatia, ama hana hatia.
3. Katika usikilizaji wa upande wa mashitaka, umeonyesha hoja nyingi zenye makosa ya kisheria justify hii kesi kuwa dismissed.
4. Hata ikikutikana Mbowe hana hatia, mahakama kumtamka hawana kesi ya kujibu, au baada ya kusikiliza utetezi wao, mahakama kuwatamka not guilty, ni changamoto!. This is an embarrassment for the government hivyo kutamfanya Mbowe shujaa na kiukweli akiachiwa, sio tuu kutamfanya Mbowe shujaa, bali Mbowe na Chadema watasumbua sana!.
5. Hivyo ili kum contains Mbowe ni kumpa a case to answer na hata baada ya kujitetea atapewa a guilty verdict na kumpiga mvua kadhaa, ili kumshikisha adabu!.
6. Baada ya kula mvua, ndipo shujaa, mwokozi na mkombozi wa Mbowe ataibuka na msamaha wa rais, Mbowe ataachiwa akiwa mnyonge na hawezi kugombea post yoyote, he'll be done, finished, finito!.

Kwa mwenendo wa kesi mpaka sasa kwa upande wa haki bin haki, Mbowe anatakiwa ashinde kesi kwa kipengele kinachoitwa "the benefit of doubt", kufuatia mashahidi wa Jamhuri, kujikanyaga kanyaga, hivyo mahakama kushindwa kuestablish kitu kinachoitwa "prima facie" by proving jinai beyond reasonable doubt, hivyo uamuzi wa haki bin haki, ama DPP aiokoe serikali kwa Nolle, au serikali inakwenda kushindwa, uamuzi huu utai embarrass sana serikali, na Mbowe kuibuka shujaa wa karne!, kwa kutoka kifua mbele mabega juu na atasumbua sana, hivyo ili to save government faces, and to contain him, utatolewa uamuzi wa kisiasa kuwa Mbowe ana kesi ya kujibu, na uamuzi ni kwa kumpiga mvua kadhaa, halafu baada ya muda mfupi, Mama atatoa msamaha wa rais, Mbowe ataachiwa kwa msamaha, atatoka amenyon'gonyea, huku ameinamisha kichwa chini, mabega chini, na hawezi kugombea chochote!.
P
Pascal Mayalla ulikaa kimya sana kipindi chote MBOWE yuko ndani, hukuwahi kabisa kuliongelea swala lake wala mtiririko wa kesi yake.
Kuna uzi uliombwa useme neno, ukala mawe
Mkuu Bujibuji Simba Nyanaume , karibu mitaa hii.
P
P
 
Kwa hiyo kakangu Paskali athari mojawapo kwa uamuzi wa kesi ya Mbowe ni kukufanya uwe mwanaCCM?
 
Kwa kweli kaka yangu ninakuaminia sana kwa kufanya uchambuzi. Hata hivyo ukimya wako kuhusu kufanya uchambuzi na utabiri wa nini itakuwa athari kisiasa kuhusu uamuzi wowote utakaohusisha kesi ya Mbowe.

Kwa mfano kwa sasa tunasubiri iwapo Mahakama itaamua Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu na ikafikia hadi hatua ya utetezi athari zake zitakuwa ni zipi?

Baadaye wanajitetea na mwishowe utetezi wao unakuwa hauna mashiko then wanafungwa, hapo athari za kisiasa katika nchi hii na Mbowe mwenyewe zinakuwaje kwa uamzui huo?

Au inatokea wanajitetea na Mahakama inaona hawana hatia hapo pia kisiasa Mbowe na siasa za nchi kwa ujumla inakuwaje?

Au inawezekana pia DPP akaingia "nolle" ya ghafla ghafla ghafla tu hapo athari kisiasa kwa Mbowe na nchi kwa ujumla inakuwaje?

Kwangu mimi hakuna ubishi kabisa kuwa kesi hii ni ya kisiasa! Kila MTanzania anayefuatilia siasa zetu kwa umakini analijua hilo - na utabiri wangu iwapo Mbowe na wenzake watafungwa basi ninaamini siasa za nchi hii zitakuwa zimenoga zaidi kwani kwa muda wote Mbowe atakaokuwa gerezani watu wanakuwa wakiongelea yeye tu.

Watazidi kuchambua uamuzi uliomfunga na proceedings hizi zinazoendelea na pia watazidi kuilaumu Serikali inayoongoza kwa unyanyasaji, uonevu na mtazamo hasi kwa upinzani. Serikali haitakuwa na Amani na watoa maamuzi hayo pia hawatakuwa na Amani maisha yao yote.

Watu wataondoa hofu watajihisi kuwa Mtawala akiamua kukufunga hata kama huna makosa anakufunga tu! Akifungwa Mbowe itakuwa ni chachu ya kuimarisha zaidi upinzani wa nchi hii.

Iktokea Mbowe kaachiwa katika hatua ya "nolle" kabla ya kufikia hatua ya wao kuwa na kesi ya kujibu basi Jamhuri itakuwa imepunguza aibu ambazo itaenda kupata kwani inaonesha hatua ya utetezi inaweza ikaibua mauzo mengi kwa upande wa washtaki katika kesi hii.

Kwangu mimi kwa Jamhuri ni bora wasivuke hatua ya kuwa hawa mabwana wana kesi ya kujibu kwani aibu haitakuwa kubwa sana na hata kisiasa awamu ya sita itaonekana kama yenyewe ndiyo imeamua kufikia muafaka na upinzani.

Hayo ni mawazo yangu - Je, ndugu yangu Paskali Mayala wewe unalichambuaje suala hili?
Pascal Mayalla ameishia kumsifia mamake tu eti kafanya maamuzi magumu anasahau NGUVU YA UMMA ndio imeifikisha sirikale ya mamake iliyopambana kutengeneza KESI YA MICHONGO na ikabuma na hatimae kukubali matokeo ya NGUVU YA UMMA
kikwetu MAYALA manake ni NJAAKALI😎😉
 
Back
Top Bottom