Passo ikiwa kwenye speed ya 80km/h inakuwa sawa na V8 ikiwa kwenye speed hiyo hiyo?

Passo ikiwa kwenye speed ya 80km/h inakuwa sawa na V8 ikiwa kwenye speed hiyo hiyo?

Hivi jamani Passo ikiwa kwenye speed ya 80km/h inakuwa sawa na V8 ikiwa kwenye speed hiyo hiyo au kuna tofauti? Cse magari madogo mengi ni 180KMh, sawa na haya magarri yetu SUVs.

Sasa tofauti ni wapi?
Kilo moja ya mawe na kilo moja ya pamba ipi nzito kubeba?

Sent from my SM-A325N using JamiiForums mobile app
 
Hivi jamani Passo ikiwa kwenye speed ya 80km/h inakuwa sawa na V8 ikiwa kwenye speed hiyo hiyo au kuna tofauti? Cse magari madogo mengi ni 180KMh, sawa na haya magarri yetu SUVs.

Sasa tofauti ni wapi?
Tofauti kubwa iko katika jinsi magari hayo yanavyohisi na kufanya kazi kwenye mwendo huo wa 80km/h. Gari dogo kama Passo linaweza kuhisi kasi zaidi, huku V8 inaweza kuonekana kuwa na utulivu zaidi kwenye kasi hiyo.
 
Hivi jamani Passo ikiwa kwenye speed ya 80km/h inakuwa sawa na V8 ikiwa kwenye speed hiyo hiyo au kuna tofauti? Cse magari madogo mengi ni 180KMh, sawa na haya magarri yetu SUVs.

Sasa tofauti ni wapi?
Ngoja boieng aje kutujibu
 
Wakati magari yote mawili yanaweza kwenda 80km/h, V8 ina nguvu zaidi, imara zaidi, na kwa ujumla ina uwezo mkubwa zaidi. Ukiangalia Horsepower ya v8 na passo kuna utofauti mno. Tofauti hizi zinaonekana zaidi unapoongeza spidi. Passo inaweza kufikia 180km/h, lakini haitakuwa na utulivu au ufanisi kama V8 katika spidi hiyo.
 
Back
Top Bottom