Mkuu factor yoyote ikileta kikwazo kwa passo lazima na speed meter itashukaNdio nasema katika uhalisia passo itabaki nyuma..
Kwa physics za darasani ku ignore uhalisia zitakuwa sawa...
Upepo tu pekee ni fact moja kubwa kwa passo kuzidiwa..
Passo itakuwa outperfomed, nimeeleza vyema uwezo wa LC kukabiliana na air resistance kuliko passo..Mkuu factor yoyote ikileta kikwazo kwa passo lazima na speed meter itashuka
Haiwezekani passo ikumbane na vikwazo na ipunguze speed halafu speed bado isome ilele
Speed ikisoma 180 maana yake hakuna kikwazo
Mkuu hivyo ulivyo vitaja vitakua na mantiki iwapo haya magari yatakua yanashindanaTofaut ipo ktk:- Matairi, Horse power na CC... Haya mambo 3 ndio yanaleta utofauti... Maana yake hata ikiwa zote zipo speed 180 ktk barabara ya tambalale ila bado V8 itaipita Passo kwasababu hizo kuu 3...
Anyways tuwe serious ushawahi kuona Passo inatembea speed hata 100 😂😅 au unataka kujiua..?
Kwanza ondoa mentality ya kwamba haya magari yanashindanaPasso itakuwa outperfomed, nimeeleza vyema uwezo wa LC kukabiliana na air resistance kuliko passo..
Mzee hujanielewa, nimesema ndio zitakuwa sawa, nikasema katika uhalisia ziwekwe Autobahn barabara imenyooka, zote 180 na zitembee kwa umbali, jinsi muda unavyokwenda v8 itaanza kuiacha passo taratibu kwa hio hio speed ya 180, yaani passo mshale ni 180 na v8 ni 180....Kwanza ondoa mentality ya kwamba haya magari yanashindana
Kama yanashindana ipo wazi Passo atapitwa mbali
Swali linailiza je passo ikifanikiwa kufika speed 180 speed itakua sawa na Land Cruiser ikifika speed hiyo?
Jibu ndio
Speed zote dunia ni sawa mbele ya vipimo
Na ndio maana unaweza kupima kwa torch gari yoyote ile bila kujali ina ukubwa gani wa injini wala tairi
Tochi ya trafiki haipimi horse power wala mzunguko wa tairi
Inapima speed
Mkuu unajua maana ya kipimo cha km/h ?Mzee hujanielewa, nimesema ndio zitakuwa sawa, nikasema katika uhalisia ziwekwe Autobahn barabara imenyooka, zote 180 na zitembee kwa umbali, jinsi muda unavyokwenda v8 itaanza kuiacha passo taratibu kwa hio hio speed ya 180, yaani passo mshale ni 180 na v8 ni 180....
Passo itaanza kuzidiwa ku resist air resistance...
180 ya passo ni hio hio ya LC...
Nadhani umenielewa..
Physics nilipata O level hadi A level mzee, secondary huko nilishaongoza wilaya nzima kwenye math and physics...Mkuu unajua maana ya kipimo cha km/h ?
Km/h maana yake distance covered per hour
Speaking of 180km/h maana yake ni kwamba chombo chochote kile duniani ni LAZIMA ndani ya lisaa limoja kiwe kimemaliza hizi km180 net
Sasa kama ndani ya lisaa limoja passo itakua haijamaliza km180 maana yake ni kwamba ilikua haitembei speed hiyo
Itaangaliwa baada ya lisaa limoja ime cover umbali gani na umbali huo ndio itakua speed yake iliokua inatembea, na sio 180/h tena
Yaani iwapo Passo itakutana na resistance yoyote ile basi ni LAZIMA speed pia itashuka na haitakua tena 180/h
Unapaswa kujua maana ya speed kwanza kabla ya kukimbilia speed meter mkuu
Asante sana b..., asante kupita kiasi.My very own, unajua halafu wala huna kelele.
I’m proud.
Sawa.Ndio nasema katika uhalisia passo itabaki nyuma..
Kwa physics za darasani ku ignore uhalisia zitakuwa sawa...
Upepo tu pekee ni fact moja kubwa kwa passo kuzidiwa..
Kama umesoma hizo kitu nilitegemea uta challenge hoja zangu kwa manti lakini naona unajisifia tuPhysics nilipata O level hadi A level mzee, secondary huko nilishaongoza wilaya nzima kwenye math and physics...
Naamini hujanielewa..
Trecta lina speed ngapi kwa matairi yale?Hapana,kwa sababu radius ya tires zao hazipo sawa
We jamaa ni kilaza aisee watu wote humu tumeelewa kasoro wewe tu.Physics nilipata O level hadi A level mzee, secondary huko nilishaongoza wilaya nzima kwenye math and physics...
Naamini hujanielewa..
Siyo sawa hata kwa toyota alphad inatofautiana alphad G ,aphad VHivi jamani Passo ikiwa kwenye speed ya 80km/h inakuwa sawa na V8 ikiwa kwenye speed hiyo hiyo au kuna tofauti? Cse magari madogo mengi ni 180KMh, sawa na haya magarri yetu SUVs.
Sasa tofauti ni wapi?
Wewe ndiye huna akili timamamu...We jamaa ni kilaza aisee watu wote humu tumeelewa kasoro wewe tu.
Yawezekana huna akili timamu umekazania kusema factors kama upepo zitaathiri ushaambiwa zikiathiri speed haitokuwa hiyo Tena lazima itapungua we bado umekaza fuvu.
Ningekuwa teacher nngekuridisha kwenu ukaite mzazi akuchukue awe anakufundisha
Kama zote zipo speed, 80km/h zinakuwa sawa tu, (kilo moja ya chuma ni sawa na kilo moja ya pamba!), tofauti IPO hapa, V8 Ina accelleration kubwa, mfano zikianza zote kuondoka pamoja, V8 itafika speed 80 ndani ya sekunde mbili, wakati huo Passo bado inajitafuta, wakati Passo inafika 80,V8 IPO mbali, na Passo haitaweza kuifikia V8, mpaka itakapo ongeza speed zaidi ya 80!Hivi jamani Passo ikiwa kwenye speed ya 80km/h inakuwa sawa na V8 ikiwa kwenye speed hiyo hiyo au kuna tofauti? Cse magari madogo mengi ni 180KMh, sawa na haya magarri yetu SUVs.
Sasa tofauti ni wapi?
Uko sahihi kabisa na nimuongezee vipi kama passo hiyo ikiwa na Turbo hiyo factor ya upepo ataizungumzia maana engine ya cc900 ikiwa na turbo ni sawa na engine ya 6cylinderMkuu factor yoyote ikileta kikwazo kwa passo lazima na speed meter itashuka
Haiwezekani passo ikumbane na vikwazo na ipunguze speed halafu speed bado isome ilele
Speed ikisoma 180 maana yake hakuna kikwazo
Air resistance sio factor ya kuzungumzia kabisa maana body za gari zinaunda dinamic system katika body zake umbo dogo sio kikwazo ndo maana risasi ni ndogo ila inakata upepo vibaya sana so huna hoja kabisa ww unachofikilia ni ukubww tu gari ila sio Physics rudini msome physics.Passo itakuwa outperfomed, nimeeleza vyema uwezo wa LC kukabiliana na air resistance kuliko passo..
Physics naielewa kuliko weweAir resistance sio factor ya kuzungumzia kabisa maana body za gari zinaunda dinamic system katika body zake umbo dogo sio kikwazo ndo maana risasi ni ndogo ila inakata upepo vibaya sana so huna hoja kabisa ww unachofikilia ni ukubww tu gari ila sio Physics rudini msome physics.