Passo na rav4 kilitime mjapan kachemka

Passo na rav4 kilitime mjapan kachemka

Gari nyingine zinazosumbua ni Nisan extril
X-trail watu huwa wanaikosea sana! Hawafanyi service kwa wakati halafu wanalalamika!! Usipoifanyia service kwa wakati hesabu maumivu ya kufa MTU!! Ila ukiifanyia service kwa wakati hutakaa ujuta kuwa na X-trail!
 
Hio kilitime ukinunua yenye engine ya 1ZZ lazma umtukane mjapani tu maana hio injini ina complications sana tofauti na ile ya 2ZZ
 
dah hapo ukute mwamba anakaa mbwinde huko road mbayaa..ila nn gari lake acha alidiss
 
Mm nilikuwa na baskeli aina ya swala ilinusumbua Mara pedal zipinde, Mara uskani ulegee nikaona huu ni ufala nikaamua kumgawia uncle
Kwa sasa nmechukua Phonex new model napeta tu
Hahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] kumbe na wewe umeshtukia aiseee, Uzi huu kila MTU wa jf ana gari.
 
Huu Uzi kila MTU ana gari au magari kabisaa, utasikia nilikuwa na kluger nimeuza nikanunua v8 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utashangaa member karibia wote isipokuwa wewe tu ndiye huna gari[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Wana jf,
Katika magari mabovu passo na kilitime rav4 zinaongoza kuharibika reki End na shock Up za mbele, niliagiza passo kukabiriana na hali ya mafuta, lakini gari hili baada ya miezi mitatu ikaanza kugonga nikapeleka kwa fundi nikaambiwa ninunue full staring system ambayo used ni laki 3, sikutaka used nikaenda Toyota nikaambiwa laki tano. Fundi kaniambia nisisumbuke kwani hii inajazwa na inatulia, kweli ikatulia mwezi, Kwa sasa ni mbovu kuliko mwanzo. Mwenye uzoefu na spare nafuu anisaidie vyuma vimetaiti.
Sasa wewe unanunua kagari halafu unaendesha hovyo, shimo zote unadunda unategemea hiyo gari itadumu? hizo shock up zimepimwa kwa numbers of suspension...nunua heavy duty suspension...
 
Huu Uzi kila MTU ana gari au magari kabisaa, utasikia nilikuwa na kluger nimeuza nikanunua v8 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utashangaa member karibia wote isipokuwa wewe tu ndiye huna gari[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Pambana na hali yako
 
Mm nilikuwa na baskeli aina ya swala ilinusumbua Mara pedal zipinde, Mara uskani ulegee nikaona huu ni ufala nikaamua kumgawia uncle
Kwa sasa nmechukua Phonex new model napeta tu
Jamaa umenikumbusha mbali. jirani yetu alikua na GAZEBO lakini sie tulikua na phoenix na avon. nenda rudi lakini baiskeli ni phoenix old model mchina aliumiza kichwa.
 
Back
Top Bottom