Passo na rav4 kilitime mjapan kachemka

Passo na rav4 kilitime mjapan kachemka

Cha msingi ni kununua gari sahihi kwa matumizi sahihi. Rav4s zimetengenezwa kutumika kwenye barabara nzuri (on-road vehicles). Hata ile AWD yake lengo ni kusaidia kwenye snow tu na wala sio kwenda off-road. Sasa sisi uendeshaji wetu, na barabara zetu mara nyingi ni changamoto kubwa. Ukizingatia suspension set up ya Rav4 ni sporty kidogo, ndoa maana nyingi sio comfortable kivile ukiwa kwenye roughroad, so uwezo wake wa kuabsorb shorks za kwenye rough road ni kidogo. Ila ukijua matumizi yake, kidogo haitasumbua saana. Paso kwa kweli sina uzoefu nazo, ila kwa jinsi kalivyo kadogo, nafikiri hakafai kabisa kuwa molested.
Bila.kusahau rav 4 inabeba watu 8 bado mizigo na. Barabara mbovu unategemwa nn?
 
Mwisho wa siku unabaki kuilaumu kuwa inapata tege kumbe umeibebesha uzito wa Hiace.
Kuna mzee kijijini kwetu mwaka mwaka 1995 aliacha kazi TFA Akanunua trekta aina ya Ford ikawa kila j4 ya mwisho wa mwezi haifanyi kazi kabisa inakua inafanyiwa service! Hata kuwe na demand kiasi gani wakati wa mavuno au kulima hafanyo kazi!
Ana kipimo chake cha mzigo wa kubeba hazidishi.
Masaaa ya kazi yakiisha anafunga kazi trekta inapumzika.
Shmba kama ni baya na lina visiki au lipo bondeni halimi..
Enzi zile alisemwa sana kua anaringa ila miaka 24 trekta bado ina dai na ni nzima kabisa ila wapo walionunua ila kwa tamaa zao matrekta yao yamekufa yake bado nzima kabisa.
MIIKO KAMA HII WENGI HATUNA
 
Kweli kabisa...hatuna miiko ya kutunza vyombo vyetu....unakuta mtu analazimisha kubeba masela zake walevi saba kwenye passo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mzee kijijini kwetu mwaka mwaka 1995 aliacha kazi TFA Akanunua trekta aina ya Ford ikawa kila j4 ya mwisho wa mwezi haifanyi kazi kabisa inakua inafanyiwa service! Hata kuwe na demand kiasi gani wakati wa mavuno au kulima hafanyo kazi!
Ana kipimo chake cha mzigo wa kubeba hazidishi.
Masaaa ya kazi yakiisha anafunga kazi trekta inapumzika.
Shmba kama ni baya na lina visiki au lipo bondeni halimi..
Enzi zile alisemwa sana kua anaringa ila miaka 24 trekta bado ina dai na ni nzima kabisa ila wapo walionunua ila kwa tamaa zao matrekta yao yamekufa yake bado nzima kabisa.
MIIKO KAMA HII WENGI HATUNA
Safi saana. Huyo mzee anafaa kuigwa. Wazee wetu walikuwa hivyo. Sijui walijifunza kwa nani. Pia walikuwa wananunua vitu vikiwa kwenye hali nzuri saana, japo kwa bei kubwa. Na hawakuwa na tabia ya kwenda na fasheni kama sasa. Siku hizi magari yanashuka bei kisa tu hayako kwenye fashen. Na kingine kuna magari yameshuka thamani kisa tu wamiliki wake hawako makini. Utasikia watu wakisema hizo gari sio ngumu. Kisa tu kila wanaloliona linamikwaruzo au limebonyea bonyea kila kona. Utasikia hizo bodi ni karatasi, wakati gari limekaa Japan for 10 yrs bila kovu.
 
Kweli mkuu unayoyaswma ila kingine ni kua magari ya siku hizi yapo kibiashara sana hayana ugumu kama zamani yanahitaji service zaidi kuliko za zamani yanahitaji barabara nzuri kuliko za zamani inachotakiwa ujue gari inataka nini na kwa muda gani! Kuna gari zimetengeneza maximum itembee kilometa kadhaa hivyo baada ya hapo itakusumbua sana!!
Ndo. Mana ni ngumu sana kukuta gari mpya 0km zikipigiwa kelele kua zinasumbua
 
Kama ni hivyo basi, hata mimi najipanga kununua Scania mwezi ujao.

Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake na kila kitu kinawezekana.
Hahahah mie pia najipanga kununua kubota ili kukabiliana na hali ya barabara zetu. Sipangiwi!!!
 
Wana jf,
Katika magari mabovu passo na kilitime rav4 zinaongoza kuharibika reki End na shock Up za mbele, niliagiza passo kukabiriana na hali ya mafuta, lakini gari hili baada ya miezi mitatu ikaanza kugonga nikapeleka kwa fundi nikaambiwa ninunue full staring system ambayo used ni laki 3, sikutaka used nikaenda Toyota nikaambiwa laki tano. Fundi kaniambia nisisumbuke kwani hii inajazwa na inatulia, kweli ikatulia mwezi, Kwa sasa ni mbovu kuliko mwanzo. Mwenye uzoefu na spare nafuu anisaidie vyuma vimetaiti.
Inategemea unaponunua hizo gari zako zinakuwa zimetembea umbali gani.Wakati wa kununua gari wengi wanaangalia unafuu wa gari kuliko mileage,mwisho wa siku gari inapoingia badala ya kulikagua na kufanya marekebisho kabla ya kutumia unaliingiza barabarani,likikuletea shida unalaumu gari ni bovu,kumbe unasahau kuwa ulinunua gari lililotumika.Cha muhimu unachopaswa kujua ni kuwa wanaotengeneza gari (manufacturers) kabla ya kuliingiza barabarani kwa mtumiaji ni lazima likaguliwe kama linafaa kwa matumizi,ndio maana unakuta baadhi ya gari huwa zinarudishwa kiwandani au zinakuwa discontinued.Na biashara ya magari sio ya kubahatisha ni lazima gari litengenezwe kufikia viwango vinavyokubalika kimataifa kinyume cha hapo mtengenezaji anaweza kujiharibia reputation yake kwenye soko...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mzee kijijini kwetu mwaka mwaka 1995 aliacha kazi TFA Akanunua trekta aina ya Ford ikawa kila j4 ya mwisho wa mwezi haifanyi kazi kabisa inakua inafanyiwa service! Hata kuwe na demand kiasi gani wakati wa mavuno au kulima hafanyo kazi!
Ana kipimo chake cha mzigo wa kubeba hazidishi.
Masaaa ya kazi yakiisha anafunga kazi trekta inapumzika.
Shmba kama ni baya na lina visiki au lipo bondeni halimi..
Enzi zile alisemwa sana kua anaringa ila miaka 24 trekta bado ina dai na ni nzima kabisa ila wapo walionunua ila kwa tamaa zao matrekta yao yamekufa yake bado nzima kabisa.
MIIKO KAMA HII WENGI HATUNA
Uko sahihi mkuu,magari yanahitaji matunzo ya hali ya juu sana,lakini wengi hatuna huu utamaduni.Kuna watu ukitembea barabarani wana magari yenye namba A ni mazuri kuliko hata wengine ambao magari yao kwa sasa yameshafika D..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea ulikuwa unaitunza vipi mkuu ila ukweli ni kwamba hizo gari ni mbovu sana kutegemea na barabara zetu za Africa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe unajua ni matunzo eeeh! Gari zimetumika ulaya 10 years hazijasumbua zinakuja kusumbua kwetu kwa sababu Imetembea km nyingi hivyo zimeanza kuchoka, zinahitaji service flan kwa muda flan hivyo zikikosa ni tatizo!
 
Okay, unajua sport cars, lengo lake kubwa ni kufurahia kuendesha. Ndio maana zinaitwa drivers cars, kuliko kutoa comfortability. So, ili kupata that feeling ya kuwa connected na barabara, kuna vitu huwa vinafanyika kwenye tuning ya gari. Kwanza kabisa, lazima urefu au height ya gari iwe lowered. Ndo maana unaona gari kama BMW 3 Series ziko chini. Kina Ferrari, Lamborghini hizo siongelei kabisa, maana ni kama zinagusa barabara kabisa.

Sasa ukishafanya hivyo, lengo ni kuhakikisha gari halilalii upande mmoja wakati unakata kona. So unaweza kata kona ya kulia then ukarudi kushoto na gari bado limetulia njiani. Vile ni fupi, na suspension hazinesi saana. Hii ndio tunaita handling. Sasa suspsion kuwa comfortable, inamaana ile coil spring yake, ni ndefu, ili iweze kunepa saana. So inapokata kona za ghafla, gari likinepa kushoto na kurudi kulia linakosa balance, so inakuwa rahisi kupinduka. Sawa na mtu mrefu na mfupi kwenye kupiga kona za ghafla.

Suspension ikiwa comfortable, gari inakuwa na grip kubwa, meaning inashika barabara saana. Sasa hii sio nzuri kwa sport cars, maana ikishika barabara inamaanisha gari linakuwa halikimbii saana au linatumia nguvu kubwa kukimbia.
Naomba ufafanuzi hapa
 
Naomba ufafanuzi hapa

Hiyo ni rally car, inayotomika kwenye rally racing. Kwa kifupi, magari mengi yanayotumika kwenye rally racing, huwa sio road regal. Meaning hayaruhusiwi kutumika barabarani, na kikubwa ni hiyo suspensio set up yake. Japo ni mashindano, au michezo (sport), hizo gari haziitwi sports car, zinaitwa rally cars, na suspension system yake haiitwi sport suspension, bali rally suspension. Lengo lake sio ku handle kwenye kona kali za ghafla kwa high speed, bali kwenda off road.

Angalia hii video hapo chini, wamejaribu kuelezea kidogo maana na faida ya sport suspension.
 
Back
Top Bottom