Johsal
Senior Member
- Oct 23, 2014
- 164
- 145
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MkuuKatika magari mabovu ambayo mjapani ametegeneza ni
Passo model zote
Nissan extrel
Noah vox
Rav 4 kili time
Ukiwa na aina hizi za magari usijitokeze mbele ya wanaume utaibika mkuu,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hebu nisaidie utunzaji wa Nissan xtrailInategemea ulikuwa unaitunza vipi mkuu ila ukweli ni kwamba hizo gari ni mbovu sana kutegemea na barabara zetu za Africa
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwe hata una uliza kwa wanaojua ili usaidiwe taarifa sahihi. Passo ni gari ya kampuni ya Toyota sio daihatsu.passo si ya toyota ni daihatsu ....toyota anauza tu....
Well explainedTukisema sport suspension, hatumaanishi gari za mashindano. A sport-tuned suspension inakuwa ngumu, kwa Kiswahili rahisi ni kwamba haibonyei sana kama normal suspension. Hii inasaidia saana kama unaendesha gari kwenye race track au barabara zenye kona. Inapunguza body roll, handling inakuwa nzuri, hata steering inakuwa ngumu na mara nyingi zinakuwa chini sana. Hivyo ile wheel travel inakuwa ndogo.
Sasa inapokuwa ngumu, huwa haiwezi ku absorb shocks kama suspension ya normal au comfort. Kama umeshaendesha gari kama Altezza, au BMW3 series au Crown Athlete ukaweka sport mode utanielewa vizuri. Ukipita kwenye bonde unalisikia zaidi, hata ya Corolla. Ndio maana most people wanasema sport cars ziko uncomfortable sababu hawaelewi suspension zimekuwa tuned hivyo kwa malengo maalumu. Hizo gari unazosema wewe mfumo wake wa suspension ni tofauti. Maana handling sio lengo lake. Pia ni extremely uncomfortable humo ndani. Japo suspension zake sio sporty, maana zinatakiwa ku absorb bumps za kutosha.
Uwe hata una uliza kwa wanaojua ili usaidiwe taarifa sahihi. Passo ni gari ya kampuni ya Toyota sio daihatsu.
Nenda website ya "be forward" halafu Kacheki list ya gari za toyota passo utaikuta mule
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii gari nikija kuwa na hela nitanunuaga aiseeHapa ndio utatamani uwe na Peugeot 504