Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Mimi e-passport niliipata ndani ya siku mbili. Muhimu ni kua na makaratasi wanayohitaji baasi.Pass yangu niliipata ndani ya siku nne, ila ni hizi za zamani sio epassport.
Umesahau kua na sisi tulitakiwa kua na uwezo mkubwa wa kutoa passport kuliko Rwanda.Maombi ya Passport Tanzania ni mengi kuliko Rwanda. Ni Rahisi kujua huyu ni raia wa Rwanda kuliko Raia wa Tanzania
Daaah Tanzania!!!Bado wanaendelea Kuna siku niliona wamemzuia dada mmoja alivaa nguo ya kubana wakamrudisha,na siku nyingine Kuna brother mmoja alivaa suruali nyepesi Kama za kulalia naye walimrudisha.
Hapana, nilivaa Tshrt na jeans wakataka nivae skirt au gauni hapo ndio mtiti ulipoanza.Vipi ulienda na miniskirt?
Safi sana mkuu uko sahihi bongo mambo mengi ya muhimu wanaweka ugumu sana kufanikisha.Passport na Leseni ya udereva inatakiwa vijana wapate ili kuangalia fursa popote pale mkifungiana wote ndani haisaidii kitu...kupata mambo mengi mara barua ya mwaliko wakati kuna Nchi wanatoa Visa ukifika hiyo barua ya nini hapo wapeni raia mikwaju pato la Taifa likue kupitia wao pia...
Kwani kupata pass inagharimu shiling ngapi na inachukua mda gani?Safi sana mkuu uko sahihi bongo mambo mengi ya muhimu wanaweka ugumu sana kufanikisha.
Ulizia uamiaji.Kwani kupata pass inagharimu shiling ngapi na inachukua mda gani?
[emoji4][emoji4][emoji4] Asante jibu lako limenisaidia sana.. Nilikua sijui kabisa uhamiaji ndio wanahusika na hayo mamboUlizia uamiaji.
Wanarudisha aisee, mwaka jana nilienda pale kumsindikiza mtu wakanikazia eti nivae kama mtumishi wa Umma, ilitokea mvutano mpaka mzee mmoja (nadhani ni mkubwa wao) akaingilia ndio nikapita..... mwaka ujao natarajia kwenda kurenew sasa nataka nijipange kabisaaaa.
Yangu ilichukua siku 20....hakuna haja ya kuwa na mtu wa kukusaidia, chakufanya andka details zszo na maswali mengi.....kaz andka mkulima, nchi unayoenda sema kenya, lengo ni matembezi tu...... Viambatanisho hapo ni chet chako cha kuzaliwa, cha mzaz ama affidavit, barua ya mtendaji na copy ya kitambulisho cha taifa kwsha mchezo...ukiandka cjui ni mtumishi mahal..barua ya mwajr hapo...mambo ya shule...vyeti mzee mara admission letter..utasumbuka bure.Mimi nimepata ya kwangu bila ya msaada wa mtu yeyote kwa wiki 1 acha uoga andaa doc zako uende usisikilize maneno ya watu.sasa passport inapatikana kwa week moja tu mtu anaweza akajifanya kakusaidia kumbe imetoka kihalali kabisa
Wengine tulipata ikatolewa ndani ya siku mojaWakubwa hivi eti inawezekanaje Rwanda passport kutolewa ndani ya siku 3,watz tunakwama wapi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuwa na passport ni ANASA.
Ikitangazwa utagarambuka kuwa mtumwa. Unaweza kuanzisha harakati za kudai uhuru wako kama Tunisia,Misri n.k n.kNi afadhari ingetangazwa kuwa imeuzwa
Na ukisema unaenda Kenya, UG, Congo huko unapewa ile temporary wakati watu wanataka zile za kisasa kabisa!Yangu ilichukua siku 20....hakuna haja ya kuwa na mtu wa kukusaidia, chakufanya andka details zszo na maswali mengi.....kaz andka mkulima, nchi unayoenda sema kenya, lengo ni matembezi tu...... Viambatanisho hapo ni chet chako cha kuzaliwa, cha mzaz ama affidavit, barua ya mtendaji na copy ya kitambulisho cha taifa kwsha mchezo...ukiandka cjui ni mtumishi mahal..barua ya mwajr hapo...mambo ya shule...vyeti mzee mara admission letter..utasumbuka bure.
Hata kwetu kama NIDA na Uhamiaji wangekuwa taasisi moja nadhani mtu mwenye NIDA taarifa zake zinajitosheleza kupata passport. Shida ni pale vitu ulivyoombwa wakati wa NIDA, Uhamiaji nao wanavitaka tena na nyongeza juu kama chetu mama cha kuzaliwaWakubwa hivi eti inawezekanaje Rwanda passport kutolewa ndani ya siku 3,watz tunakwama wapi
Hapana cvyo mkuu....huwa wanauliza unataka kubwa ama ndogo...uksema kubwa there u go....yangu inaexpire 2029 na nlitumia njia nlodadavua hapo juu.Na ukisema unaenda Kenya, UG, Congo huko unapewa ile temporary wakati watu wanataka zile za kisasa kabisa!