Passport kutolewa ndani ya siku 3

Passport kutolewa ndani ya siku 3

Passport ni hela yako,ukijua kucheza na namba unapeleka document zote na ukubwa wa namba unaioata leo leo.... Hata yule anaetanua njia ktk folen hua anawaacha weng nyuma
 
Muulize siri ya mafanikio
Alienda na mazaga yote alikuwa kavaa mavazi ya wale wenye digrii ine wakawa wanamuuliza unafanya kazi wapi? Akawajibu ni muuza machungwa tu jamaa hakusumbuka sana mzee ni mbishi sana jamaa.
 
Huwezi kukata ticket bisa pass na visa.
Hata uwe navyo uhsmiaji wana uwezo wa kukataa vyote kwani ni waamuzi wa mwisho
No Mimi yangu niliomba nikaisubiria wiki tatu ikawa kimya ikanibidi niende makao makuu nikawaonyesha visa yangu iliyoandaliwa kwa kutumia passport ya zamani,baada ya hapo kesho yake nikaenda kuichukua passport yangu.
Ukisema uombe halafu usubirie tu bila kuwakomalia itachukua miezi hata miwili bila ya kupata.
 
Utaibiwa kijana sasa hivi
Akiwa na nyaraka zote zinazohitajika akifika uhamiaji makao makuu ndani ya diku tatu anapata hiyo passport kwa sasa hakuna ukiiritimba wala rushwa za kizembe nina uhakika kwa 100% mifumo iliyopo na watendaji wanafanya viziri sana, mimi, mke wangu na watoto wawili tumekamilisha na kupatiwa passport ndani ya siku tatu, sikuwa namjua mtu pale wala sikutoa ya brash hata kumi. Nawapongeza sana wale watumishi walionisikia na kunihakikishia kupata kwa haraka tena walisisitiza usitoe rushwa hii ni haki yako
 
Yap
 
Mimi nimepata ya kwangu bila ya msaada wa mtu yeyote kwa wiki 1 acha uoga andaa doc zako uende usisikilize maneno ya watu.sasa passport inapatikana kwa week moja tu mtu anaweza akajifanya kakusaidia kumbe imetoka kihalali kabisa
Vipi kwa watu wa mikoani,

Kuna uwezekano wa kufanyia mchakato mzima na kuipata bila kufika Posta Dar au Kuna hatua ni lazima mtu asafiri kuifuata passport Dar?
 
Back
Top Bottom