Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuache kudanganyana.. Hizi data huwa mnazitoa wapi?. . Hakuna reference. Tuwe tunaenda kisomi angalau.Tanzania passport imeongezewa nguvu duniani sasa mmiliki anaweza kudhuru Jumla ya nchi 72 duniani toka nchi 67 mwaka wa Jana bila kulipia " VISA " hakika hakuna kama Rais Samia...
Mbona kuna attachmentTuache kudanganyana.. Hizi data huwa mnazitoa wapi?. . Hakuna reference. Tuwe tunaenda kisomi angalau.
View attachment 2072559
Uwasalimie wote wa Kyetema,Bujugo,Kanyangereko,Kemondo,Burila,Kanazi,Barabarampya na Katerero yenyewe.Tunataka Uchumi bora unaogusa hadi raia wa kijijini kule Katerero,mkulima wa migomba naye aone kweli Uchumi umeboreka,sio ishu za Passport;Bila Uchumi bora passport hazina maana,tutaenda nje kufanya nini sasa?
Sawa Mkuu, zimefika.Uwasalimie wote wa Kyetema,Bujugo,Kanyangereko,Kemondo,Burila,Kanazi,Barabarampya na Katerero yenyewe.
😃😃Maugiriki kote unatimba
Ova
Tunataka Uchumi bora unaogusa hadi raia wa kijijini kule Katerero,mkulima wa migomba naye aone kweli Uchumi umeboreka,sio ishu za Passport;Bila Uchumi bora passport hazina maana,tutaenda nje kufanya nini sasa?