Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Ndio njia moja wapo nchi inapatia mapato.Chanzo kivipi?
Huku ukitaka hata utaifa ni pesa yako tu hata kama umekuja jana unapewa leo uraia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio njia moja wapo nchi inapatia mapato.Chanzo kivipi?
Nina uhakika na ninacho kisema lazima ulipie visa kuingia ComoroIpo mkuu
Basi hii haijakaa sawaNina uhakika na ninacho kisema lazima ulipie visa kuingia Comoro
Kabisa hiyo orodha sio ya kuaminiBasi hii haijakaa sawa
Hahaha BurundiHatari tupu, Ilibidi Rais wao tumpeleke kwa ndege yetu
Burudi hakuna nchiHahaha Burundi
Mkuu nataka kufika China sijawahi kabisauchina nauli yako tu, hata ukikamata Ethiopian airline ya saa 11 leo jioni, unatinga.
lebanonZitaje hizo nchi tafadhali
Khaa sasa kutafuta nini huko?lebanon
syria
libya
iraq
Iran
afghan stan
somalia
Drc
burundi
sudan
Samia kiboko yaoKhaa sasa kutafuta nini huko?
Safi SamiaTanzania passport imeongezewa nguvu duniani sasa mmiliki anaweza kudhuru Jumla ya nchi 72 duniani toka nchi 67 mwaka wa Jana bila kulipia " VISA " hakika hakuna kama Rais Samia.
Ujio wa Rais Samia Suluhu umevileta karibu karibu kila kitu kuwa rahisi sana kuliko wakati wowote wa Uhai wa Taifa hili,
Rais Samia katika ujenzi wake mpya wa diplomasia ya kimataifa kwa miezi hii michache tumeshuhudia mabadiliko makubwa mbalimbali ya kiuchimi, kidiplomasia,kidemokrasia,Utawala wa sheria,Uhuru wa habari na wanahabari na mengine mbalimbali,
Kitendo hiki kimemfanya Rais wetu haraka akubalike na dunia ndio maana majuzi tumeshuhudia Sweden ikitupatia Tshs 196BL kwaajili ya EPforR ilizosita kutupatia mwanzoni pia tumeshuhudia International monetary Fund ( IMF ) ikitupatia mkopo wa bila riba ( interest free loan ) ya Jumla ya bilioni elfu moja na mia tatu au Tshs 1.3trl,Haya ni matunda ya moja kwa moja ya Rais Samia Suluhu Hassan,
......KAZIIENDELEE......
==============================
The Tanzanian passport has ranked 77 among the world's most powerful passports, according to the latest report which assesses the influence of global travel documents.
According to research conducted by Henley site, the Tanzanian passport grants a holder access to 72 countries globally without the requirement of paying for a visa.
The Henley Passport Index is the original, authoritative ranking of all the world’s passports according to the number of destinations their holders can access without a prior visa. The index is based on exclusive data from the International Air Transport Association (IATA).
On the list, Tanzania is tied with Kenya on the 77 slot, with both countries having a national passport which allows a holder to gain access to 72 countries without a visa on entry.
The two East African nations are ahead of their neighbours, with Uganda coming in third at number 81 with a passport that allows its holder to enter into 67 territories visa-free. Rwanda is 87 with holders of its passport gaining entry into 61 countries without a visa, while Burundi is placed 97 with 51 countries globally accepting holders of its passport to enter without visa payment. Zambia is ranked 78, a slot behind Tanzania with access to 71 countries without a visa. While the DRC is 106 with access to 42 countries.
Taking top spot is Japan, whose passport allows a holder to enter 192 countries around the world without the need for visa payment.
Tanzania's 2021 performance has improved from the last time it was ranked back in 2018 where the national passport could only enter 67 countries worldwide without the need to pay for a visa.
Source : The Citizen
Why tusiiamini?Kabisa hiyo orodha sio ya kuamini
DaaahNchi zisizo eleweka Kama Burundi no😁😁😁😁
Tanzania tuko vizuri Sana aise, Tuendelee tu kumwombea Rais wetuZitajwe hizo nchi tujipange na chanjo kwanza
Tanzania na Samia,Yaani mleta mada hata siku ukipigwa mti utakuja hapa na kupongeza serikali ya mama Samia kuwezesha hilo.