Passport ya Tanzania inaweza kukupeleka nchi 72 bila kulipia Visa. Iko nafasi ya 77 duniani kati ya nchi 195

Passport ya Tanzania inaweza kukupeleka nchi 72 bila kulipia Visa. Iko nafasi ya 77 duniani kati ya nchi 195

Unaweza kuta hizo nchi zote zinatuhitaji kuliko tunavyozihitaji...

Bila shaka Somalia ipo, Yemeni ipo, Comoro ipo, Eritrea, Djibout, Burundi..... zote depo ngumu huku vijana wakitamani siku moja "USA baby"..
Tutafuteni hela hakuna hela rahisi duniani..
Comoro haliwezi kuwemo maana hicho ni chanzo mojawapo cha mapato cha serikali
 
Back
Top Bottom