Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Haaa haaaa haaaa ukute kaandika huku anabutuliwaYaani mleta mada hata siku ukipigwa mti utakuja hapa na kupongeza serikali ya mama Samia kuwezesha hilo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaa haaaa haaaa ukute kaandika huku anabutuliwaYaani mleta mada hata siku ukipigwa mti utakuja hapa na kupongeza serikali ya mama Samia kuwezesha hilo.
🤔🤔🤔. Siunaona lakini mkuu eti hapo umenijibuUkiambiwa wwe utakataa?
😍😍Tanzania kila Siku inazidi kung'aa tu,
Hongera sana mama Samia
Najivunia kuwa Mtanzania
😍😍
Uko sahihi
Mkuu kwema?Uko sahihi
Mkuu kwema?
GoodRais Samia 2021/22 amepunguza mikopo na misaada kutoka nje
Kwamsiofahamu, Rais wetu katika kuitegemeza bajeti ya Serikali tayari taratibu ameanza kupunguza misaada na mikopo ya wahisani mfano kwenye bajeti yake ya 2021|22 amepunguza kidogo kutoka 8.2% hadi 8.1% || Nikweli Tanzania tunapokea misaada ila hatuitegemei. " Hakuna kama Samia " Sisi...www.jamiiforums.com
Comoro haliwezi kuwemo maana hicho ni chanzo mojawapo cha mapato cha serikaliUnaweza kuta hizo nchi zote zinatuhitaji kuliko tunavyozihitaji...
Bila shaka Somalia ipo, Yemeni ipo, Comoro ipo, Eritrea, Djibout, Burundi..... zote depo ngumu huku vijana wakitamani siku moja "USA baby"..
Tutafuteni hela hakuna hela rahisi duniani..
Chanzo kivipi?Comoro haliwezi kuwemo maana hicho ni chanzo mojawapo cha mapato cha serikali
Comoro imo mkuu wanguComoro haliwezi kuwemo maana hicho ni chanzo mojawapo cha mapato cha serikali
😍😍Comoro imo mkuu wangu
Hahaha Burundi ni shida aiseeNchi zisizo eleweka Kama Burundi no😁😁😁😁
Ndio ipoComoro imo mkuu wangu
Burundi wako kibudu,Hahaha Burundi ni shida aisee
Hatari tupu, Ilibidi Rais wao tumpeleke kwa ndege yetuBurundi wako kibudu,
Hao walishajifiaHatari tupu, Ilibidi Rais wao tumpeleke kwa ndege yetu
Ipo mkuuComoro haliwezi kuwemo maana hicho ni chanzo mojawapo cha mapato cha serikali