Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Acheni maigizo bhana!Wakati mwingine kuna mambo yanachekesha!!Hivi kweli TL ni raia wa kawaida wa Tanzania?Je mmesahau ya kuwa alipelekwa uwanja wa ndege kwa mwavuli wa ubalozi wa nje?Ni kweli kuwa balozi za nje zilikuwa haziujui ukweli?
Hivi Lisu si ndio huyu alizunguka nchi nzima kupiga kampeni?
Si ndio huyu alikuwa anatunishiana misuli na polisi alipokuwa anakusanya watu nyakati za usiku?
Si ndio huyu alikuwa anapanda mwendo kasi kwenda kununua nyanya kariakoo?
Sasa watu wangekuwa na nia nae si wangemmaliza kilaini tu?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app