Acheni maigizo bhana!Wakati mwingine kuna mambo yanachekesha!!Hivi kweli TL ni raia wa kawaida wa Tanzania?Je mmesahau ya kuwa alipelekwa uwanja wa ndege kwa mwavuli wa ubalozi wa nje?Ni kweli kuwa balozi za nje zilikuwa haziujui ukweli?
passport yake iliibwaje huko Ujerumani ukizingatia wajerumani na wenzao ndiyo walimtorosha 'Antipasu' nchini?
Tupe maelezo yaliyonyooka namna passport ilvyoibwa.
Ha ha ha ahaaaaa! We jamaa yangu umenichekesha kweli. Hata hivyo, mpigie simu aliyepoteza pasipoti, kisha utaja tujuza hapa jamvini.Mie nikupe maelezo ndyo niliopoteza we vp???
Ha ha ha ahaaaaa! We jamaa yangu umenichekesha kweli. Hata hivyo, mpigie simu aliyepoteza pasipoti, kisha utaja tujuza hapa jamvini.
Alikwambia lini kuwa anakupenda wewe?LISSU SIMPENDI KABISA
We nawe, Kama Mange amesaidiwa passport na Rais ndio isiwe Lissu ambaye ni zaidi???? Unakuwaje?Hiyo shida ni nani sasa aliyekuwa anaileta? Na alikuwa anaileta kwa maagizo kutoka wapi? Juu? Katikati? Chini?
Kuna watu wapumbavu sana, mtu anauliza swali la kijinga (satire) ingali anafahamu Kuna watu wanaomba Rais awasaidie mgogoro wa shamba wakati serikali za vijiji zipo.Kitu pekee nilichogundua kwenye comments ni kuwa wana CCM hawapendi amani, hawapendi usawa wa kisiasa na ni watu wa chuki sana.
Mnaulizana maswali ya kitoto, ni kwanini watu humuomba Rais kuwasaidia kupata haki zao za ardhi, hamjiulizi huwa wanakutana na changamoto gani katika kufuatilia kwa mchakato wa kawaida?
Ninachokiona hapo ni kuwa Tundu Lissu hakutegemea kama mama atakutana nae, alipoomba kukutana nae alikuwa katupa turufu na alishakuwa na jibu la kukataliwa kuonana nae kwa 100%, ili apayuke kisiasa. Mama kamziba mdomo na akawa hana la kusema hajui amwambie nini, akaanza kubwabwaja.
Ulimsikiliza jana kipindi cha MEDANI ZA SIASA cha Startv?passport yake iliibwaje huko Ujerumani ukizingatia wajerumani na wenzao ndiyo walimtorosha 'Antipasu' nchini?
Tupe maelezo yaliyonyooka namna passport ilvyoibwa.
Hivi watanzania wangapi serikali inawapa pesa za matibabu ama kuna watanzania na wasindikizajiNdugai alimkatalia wazi wazi kutomlipa hela za matibabu alimkatalia kwa misingi gani na wakati huo huo anaona Watanzania wanajichangisha mia mia atibiwe nani alihoji kuhusu hili...
Haya maswali wangeuliza Wabunge wetu huko Bungeni mimi sina majibu maana naona wanapeana wenyewe tuu hiyo keki ya Taifa..Hivi watanzania wangapi serikali inawapa pesa za matibabu ama kuna watanzania na wasindikizaji
Umeandika ukweli mtupu ndugu binti kiziwi .Kitu pekee nilichogundua kwenye comments ni kuwa wana CCM hawapendi amani, hawapendi usawa wa kisiasa na ni watu wa chuki sana.
Mnaulizana maswali ya kitoto, ni kwanini watu humuomba Rais kuwasaidia kupata haki zao za ardhi, hamjiulizi huwa wanakutana na changamoto gani katika kufuatilia kwa mchakato wa kawaida?
Sio kusafiri sana kujua vitu inatakiwa pia mtu mwenyewe awe na uwezo wa kung'amua mambo mimi nina bwana mdogo yupo USA alitoka moja kwa moja Tanzania exposure yake mambo ya safari ni sifuri ila yupo mwingine yeye alipapambana mwenyewe kufika Hong Kong na Uraia wamempa huko huyo ni kichwa anajua mambo mengi kuhusu safari...watoto wengi wanaoondoka moja kwa moja kutokea daslm wanakua zero hata wakae wapi utabaki kubishana nao tu humu ndio maana mimi muda mwingine nabaki kusoma bila hata ku comment chochote yaani msafiri hajui kuwa Passpprt ni mali yake...Umeelewa hata nilichoandika
Umeelezea vizuri kuna watu wamesafiri sana ila nashangaa hawajui vitu exposure bado zero licha ya kusafiri.
Hakuibiwa huyu zwazwa, passport kaichana mwenyewe kwa hasira zake. Anataka tu aonewe huruma.Sijaelewa kabisa!
Tundu Lissu kasema kuwa amemuomba Rais Samia amsaidie kupata passport mpya kwa sababu aliyokuwa nayo iliibwa mwezi uliopita huko Ujerumani.
Aliyeiiba hiyo passport ni nani? Na iliibwa au yeye aliipoteza na anachanganya kupoteza na kuibwa?
Na kama iliibwa, kwa nini hilo liwe suala la Rais kumsaidia yeye aipate tena passport yake?
Kwani hakuna taratibu za kufuata pale passport yako inapoibwa au inapopotea mpaka yeye amtumie Rais kuipata mpya?
Kwa kweli kwenye hili sijamuelewa!