shonkoso
JF-Expert Member
- Mar 13, 2015
- 724
- 1,527
Wengi wetu hatuamini kama kweli kura huwa zinaibwa. Ukweli ni kwamba kura huwa zinaibwa haswa maeneo yenye upinzani mkali.
Nitashare nanyi baadhi ya mbinu nilizo fanya utafiti wangu binafsi
1 .Mbinu ya kwanza kabisaaa huwa ni kuwa na wapiga WAPIGA KURA HEWA Kuna watu huandaliwa kujiandikisha maeneo tofauti tofauti, mfumo wa sasa unaruhusu mtu kujiandikisha hata mara 10 katika vituo tofauti.
2. KUWAENGUA WATIA NIA WA UPINZANI.
Hapa ni kwamba baada ya watia nia upande wa upinzani kujaza form,kuna watu haswa watumishi huandaliwa kwenda kuzicopy zile form na kuzijaza upya zikiwa na makosa mengi ili waenguliwe kwa kudai kuwa wagombea walikosea kujaza form kitu ambacho si kweli
3. KUWAFUKUZA MAWAKALA YA UPINZANI ILI WAINGIZE KURA FAKE
Njia hii hutumika sana.Hapa kunakuwa na nyaraka mbili tofauti za kuwatambulisha mawakala ya chama x na y,mfano mmoja anakuwa na barua yenye mhuri wa moto mwingine wa kawaida so wasimamizi wanakuwa walishapewa maelekezo kuwa,msiruhusu wakala asie na barua ya aina hii,so wakala wa upinzani anaambiwa atoke nje ili awasiliane na viongozi wake muda huo huo gari huwa ziko stand by na kura zilizopigwa tayari mara nyingi huwekwa kwenye begi, zinaingizwa na kuwekwa kwenye box.