Pata faida 30,000 kwa siku kwa mtaji usiozidi laki 1

Pata faida 30,000 kwa siku kwa mtaji usiozidi laki 1

Fuqin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2018
Posts
306
Reaction score
625
Biashara ya kutembeza maandazi. Kilo 1 ya maandazi unapata faida 2000 yanatoka maandazi 40 unauza sh 100 kila andazi. Tafuta vijana 10 kila kijana mpe maandazi 120 yaani kilo 3.

Hapo akiuza yote itapatikana faida ya 6000 utampa 3000 na 3000 yako. Imagine una vijana 10 tayari una 30000 kwa siku unampita hata aliyeajiriwa ofisini na 300k zao kwa mwezi 1

Akili kichwani mwako kama utataka wazo lengine usijali kuja PM
 
Vijana tuchangamkie fursa
Screenshot_20200706-192939_Gallery.jpeg
 
Maandazi unayajua wewe?
Kuna mama hapa mtaani anapika anakandia na Nazi,mazuriiiii na matamuuuuuu na lainiiiiii lakini yanabaki.vyuma vumekaza watu wanakunywa gahawa ya sh 100/ asubuhi wanaenda mihangaikoni,wacha Mambo ndugu.
 
Back
Top Bottom