Pata milioni 15 kwa mwezi kwa biashara ya bodaboda

Biashara kichaa hiyo.
Boda wenyewe hawa wanaokufa kama nzi au utaziendesha mwenyewe.
I hope unatania .
Kuna mstaafu alifanya upumbavu huo, najua huko aliko ashachanganyikiwa. Ngoja nimtafute niwape mrejesho
Mimi NIna bodaboda 10 mtaani na ni mstaafu WA Miaka 10 nakula pensheni

Shida nyie mnawapa bodaboda watu hamjaandikishana serikalini, hao mabodaboda hawana ma referee 3 just incase wakikimbia au kuuza

Jipange bro utakula hela kilaini mjini hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…