Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #261
bro mbona umekasirika ghafla!Hizo nyumba za kuuza unagawa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bro mbona umekasirika ghafla!Hizo nyumba za kuuza unagawa wapi?
piga na weweHow kwa mwenzi iwe 500k ?
Nna shida na hiyo faida na sitaki fanya kazi, chap kwa haraka toa dira.bro mbona umekasirika ghafla!
dohNna shida na hiyo faida na sitaki fanya kazi, chap kwa haraka toa dira.
🤣🤣🤣Mkuu mimi sitakuchamba watakuja wenzangu hapa wao ndiyo watakao kuchamba😄😄
Hongera Sana mwambaNinazo tatu. Sifanyi kama serious business. Ila mtaa ninaokaa madogo wananikubali.
Mara nyingi wananiomba niwapige tag kuwanunulia boxer. Ya tatu nilinunua last month 2,760,000 wote wanaleta hesabu per day 12,000. Si siku zote wataleta. Ikitokea wakimiss either wata clear the following day ama utawaongezea kwenye muda wa kumaliza mkataba.
All in all ina grease maisha. Yanakua smooth.
Muda mwingine nashawishika niingie full ki business, ninunue za kutosha.
Ila moyo unasita.
NB. Nafanya selection ya hali ya juu mpaka nifikie maamuzi ya kumnunulia mtu.
Sihusiki katika kupokea maokoto. Nimemuachia shemeji yenu na amefurahia. Anatamani ziwe hata kumi ili maokoto yaongezeke.
Sijafunga GPS wala nini, nalindwa tu kwa nguvu za Mungu.
Hata likitokea la kutokea nitaamini ni changamoto za biashara.