Pata milioni 15 kwa mwezi kwa biashara ya bodaboda

Biashara ya bodaboda inalipa ikiwa tu utawapa waendeshaji kwa mkataba kwa maana ya kuwa akimaliza hesabu ya Mwaka kwa kila siku kurejesha 10,000/ inakuwa mali yake, vinginevyo ataendesha rough rough sana kiasi kuwa kwa Mwaka mmoja boda inakuwa skrepa

Sent using Jamii Forums mobile app
all true
 
Ni sawa na biashara za usafirishaji kwenye mabasi; lakini tujiulize kwa nini hizo kampuni huwa zinakufa ingawa huwa zinaingiza hela?
Sababu ziko nyingi sana ila sababu kubwa zaidi ni mbili.
1.Risks ni nyingi sana ikiwemo ajali na uchakavu wa vipuri ni rahisi kukufilisi hata kama uliingiza faida.
2.Ukiwa na biashara ya usafirishaji pesa inayopatikana walaji ni wengi mno mwisho wa siku faida halisi inayobaki kwako ni ndogo sana na hiyo hiyo ndogo mbeleni itahitajika tena kwa dharura.
Walaji ni kama trafiki,Sumatra,TRA,halmashauri,Fundi gereji,Dereva/kondakta na wengineo.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
kweli
 
Back
Top Bottom