Pata milioni 15 kwa mwezi kwa biashara ya bodaboda

Pata milioni 15 kwa mwezi kwa biashara ya bodaboda

Kweli matatizo ya akili hayataisha!
Kwahiyo wewe unamiliki nyumba ya millionin100 na hauna bishara ya kukuingizia kipato cha ziada hadi uwaze kuuza nyumba ununue bodaboda?
NI vile hata bando umekopa
Basi nitakujibu ukiwa serious na maisha
Kwa sasa kajipange
 
Raha ya hiyo kausha dam bhn unapokea unaenda kujipongeza kwanza Kisha ndio uanze kuwaza jinsi utaweka mkakati🤣🤣
Jesus ChristšŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
Jumamosi NIko na hadithi ya kausha damu
YouTube na jamii forum
Usikose
 
Tajiri unapenda Sana biashara
Ila nikikuita chemba kwenye madini ya pesa unataka kutolewa
Mungu, anakuoooona
Alafu mbona sielewi boss kule inbox ile conversion kila nikijaribu kuufungua kwangu inagoma inaandika connecting kwa muda mrefu shida sijajua ni nini? unisamehe tu boss wangu wito niliuona.
 
NI vile hata bando umekopa
Basi nitakujibu ukiwa serious na maisha
Kwa sasa kajipange
Hapo kabla nilidhani wanajf wote ni great thinker, kumbe kuna baadhi ni wagonjwa wa akili na wanahitaji tiba!

Badala ya kujibu hoja unatoa lugha ya dharau! Una shida upstairs!

Sasa ngoja nikupe mchongo wa maana, nunua shamba eka moja tsh m.2, panda miche ya passion 100!
Kwa mwezi utapata tsh 30000 kwa kila mche mara miche 100=3,000,000 kwa mwezi wakati huo unaishi kwako na huitaji stress za marejesho! Kumbuka mavuno yanaanza ndani ya mwaka mmoja na utaendelea kuvuna na kuvuna! Na zao hili halina gharama kubwa za matunzo! Karibu nikuuzie passion for good health! Upate vitamin C upunguze makasiriko!
IMG_20221120_113900_620.jpg
IMG_20230722_172857_5.jpg
 
Hapo kabla nilidhani wanajf wote ni great thinker, kumbe kuna baadhi ni wagonjwa wa akili na wanahitaji tiba!

Badala ya kujibu hoja unatoa lugha ya dharau! Una shida upstairs!

Sasa ngoja nikupe mchongo wa maana, nunua shamba eka moja rsh m.2, panda miche ya passion 100!
Kwa mwezi utapata tsh 30000 kwa kila mche mara miche 100=3,000,000 kwa mwezi wakati huo unaishi kwako na huitaji stress za marejesho View attachment 2749930
mi nadhani we mkuu ndio utakuwa na shida ya afya ya akili mtu kaweka mawazo yake na kitu anachodhani kinamlipa wewe umekuja nduki na kushambulia ma kuleta mipango yako, kwani hujui kimfaacho mtu chake akauza nyumba na kununua boda boda na wewe ukaendelea zako na kilimo chako kuna shida?
 
Back
Top Bottom