Pata milioni 15 kwa mwezi kwa biashara ya bodaboda

Pata milioni 15 kwa mwezi kwa biashara ya bodaboda

Ngoja kwanza Penny,
Boda kuzinunua; 2 x 2,700,000 = 5,400,000

Marejesho ya siku kwa miezi sita, boda mbili; 10,000 x 30 x 6 x 2 = 3,600,000.

Yaani kwa miezi sita hizo boda mbili hazina ubavu wa kununua zingine mbili, hapo tunaweka consideration kwamba hiyo hela haiguswi, haicheleweshwi wala hakuna dharura.

Biashara ya kuwapa mkataba watu bodaboda ni upotevu wa pesa tu.
Minimum unaletewa elfu 10
Unaweza ukaagizi elfu 15 Kwa siku vile vile
Jaman boda msinunue bongo agizeni ipitie zenji
 
Za trafic mbona ujaweka😂 ajali na Garama za repair baada ya ajali??
Wewe tangu umenunua gari umeweka pembeni pesa ngapi za ajali na traffic??
Kwanini ununue kitu uanze kuwaza mabaya mbeleni??
 
Unamjua Bwana Alinacha ? Ali Nacha ; na Ndoto zake ? Tafuta kisa chake;

In short ukitaka kufanya jambo assume the worse ? Yaani badala ya kuorodhesha mazuri orodhesha mabaya; Kama vile kuibiwa, kupata ajali, kudhulumiwa n.k.
 
Nini kusubscribe! hata kuzifungua tu PMs zako sitaki n' I will never do that. 😎

-Kaveli-
Na still bado Unapenda nyuzi zangu haukosi kwenye comment
Makubwa
What a mnafiki
 
Unamjua Bwana Alinacha ? Ali Nacha ; na Ndoto zake ? Tafuta kisa chake;

In short ukitaka kufanya jambo assume the worse ? Yaani badala ya kuorodhesha mazuri orodhesha mabaya; Kama vile kuibiwa, kupata ajali, kudhulumiwa n.k.
Afya ya akili NI nini
Afya ya akili NI watu kusoma title ya uzi na kuja Ku comment bila kurudia kusoma comment
 
Back
Top Bottom