Pata milioni 15 kwa mwezi kwa biashara ya bodaboda

Pata milioni 15 kwa mwezi kwa biashara ya bodaboda

Anza na 2 Kwanza mwanangu
10 nyingi Sana
Miezi 6 wakikuletea hela Kila siku elfu 10 Kwa miezi 6, hapo uongeze 2 tena
Ngoja kwanza Penny,
Boda kuzinunua; 2 x 2,700,000 = 5,400,000

Marejesho ya siku kwa miezi sita, boda mbili; 10,000 x 30 x 6 x 2 = 3,600,000.

Yaani kwa miezi sita hizo boda mbili hazina ubavu wa kununua zingine mbili, hapo tunaweka consideration kwamba hiyo hela haiguswi, haicheleweshwi wala hakuna dharura.

Biashara ya kuwapa mkataba watu bodaboda ni upotevu wa pesa tu.
 
Alafu mbona sielewi boss kule inbox ile conversion kila nikijaribu kuufungua kwangu inagoma inaandika connecting kwa muda mrefu shida sijajua ni nini? unisamehe tu boss wangu wito niliuona.
Tumia browser usitumie app
 
Hapo kabla nilidhani wanajf wote ni great thinker, kumbe kuna baadhi ni wagonjwa wa akili na wanahitaji tiba!

Badala ya kujibu hoja unatoa lugha ya dharau! Una shida upstairs!

Sasa ngoja nikupe mchongo wa maana, nunua shamba eka moja tsh m.2, panda miche ya passion 100!
Kwa mwezi utapata tsh 30000 kwa kila mche mara miche 100=3,000,000 kwa mwezi wakati huo unaishi kwako na huitaji stress za marejesho! Kumbuka mavuno yanaanza ndani ya mwaka mmoja na utaendelea kuvuna na kuvuna! Na zao hili halina gharama kubwa za matunzo! Karibu nikuuzie passion for good health! Upate vitamin C upunguze makasiriko! View attachment 2749934View attachment 2749930
Kilimo unasimamia mwenyewe au unalima Kwa ndege
Yani unapanda ndege alafu unarudi mjini kuajiriwa?
 
mi nadhani we mkuu ndio utakuwa na shida ya afya ya akili mtu kaweka mawazo yake na kitu anachodhani kinamlipa wewe umekuja nduki na kushambulia ma kuleta mipango yako, kwani hujui kimfaacho mtu chake akauza nyumba na kununua boda boda na wewe ukaendelea zako na kilimo chako kuna shida?
Woyooooooooooooooo
 
Back
Top Bottom