Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Oya siku izi uliacha Kodi ya meza lazima umweke ktk hesabu za kubet usipoacha utafurai mwenyew hakuna kula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oya siku izi uliacha Kodi ya meza lazima umweke ktk hesabu za kubet usipoacha utafurai mwenyew hakuna kula
hahahRaha ya hiyo kausha dam bhn unapokea unaenda kujipongeza kwanza Kisha ndio uanze kuwaza jinsi utaweka mkakati🤣🤣
Drake juzi kati kaweka mkeka $5ml zote zimeenda sio poa🤣🤣🤣Kabla hajanunua nyumba nyingine anatafuta odds zake 3 tu anaweka mkeka 196,000,000×3=600M
Hakuna bodaboda mpya inayouzwa 2m lakini.NI kweli
BIASHARA ya Bodaboda ukiifanya vizuri utapata Hadi milioni 15 KWA MWEZI
Statistics zaonyesha hivi
View attachment 2749912
unamawazo chanya ila hawa wagalatia wapuuzi sana wao watahisi unawataka😄Wahakikishe Wana bodaboda inayozunguka mtaani sio wakaa kwenye a/c
Ngoja kwanza Penny,Anza na 2 Kwanza mwanangu
10 nyingi Sana
Miezi 6 wakikuletea hela Kila siku elfu 10 Kwa miezi 6, hapo uongeze 2 tena
Za trafic mbona ujaweka😂 ajali na Garama za repair baada ya ajali??NI kweli
BIASHARA ya Bodaboda ukiifanya vizuri utapata Hadi milioni 15 KWA MWEZI
Statistics zaonyesha hivi
View attachment 2749912
SawaWeeeeeeh lazima nikose wewe pesa mbele kuliko kingine ntakua napeleka rejesho bhn🤣
Tumia browser usitumie appAlafu mbona sielewi boss kule inbox ile conversion kila nikijaribu kuufungua kwangu inagoma inaandika connecting kwa muda mrefu shida sijajua ni nini? unisamehe tu boss wangu wito niliuona.
Sie tupo field na tunakula helaUtajiri wa kwenye makaratasi,ingia field sasa ndio utajua kuwa hujui...
Swali muhimu sanaDuh, kwa hamasa hii maisha yangekuwa rahisi sana.
Swali langu ni je, hiyo nyumba ya m.100 wangapi wanayo?
Kilimo unasimamia mwenyewe au unalima Kwa ndegeHapo kabla nilidhani wanajf wote ni great thinker, kumbe kuna baadhi ni wagonjwa wa akili na wanahitaji tiba!
Badala ya kujibu hoja unatoa lugha ya dharau! Una shida upstairs!
Sasa ngoja nikupe mchongo wa maana, nunua shamba eka moja tsh m.2, panda miche ya passion 100!
Kwa mwezi utapata tsh 30000 kwa kila mche mara miche 100=3,000,000 kwa mwezi wakati huo unaishi kwako na huitaji stress za marejesho! Kumbuka mavuno yanaanza ndani ya mwaka mmoja na utaendelea kuvuna na kuvuna! Na zao hili halina gharama kubwa za matunzo! Karibu nikuuzie passion for good health! Upate vitamin C upunguze makasiriko! View attachment 2749934View attachment 2749930
Hahahaha, hata unapoishi uzaHio nyumba unayoiuza inakua wapi?
Woyooooooooooooooomi nadhani we mkuu ndio utakuwa na shida ya afya ya akili mtu kaweka mawazo yake na kitu anachodhani kinamlipa wewe umekuja nduki na kushambulia ma kuleta mipango yako, kwani hujui kimfaacho mtu chake akauza nyumba na kununua boda boda na wewe ukaendelea zako na kilimo chako kuna shida?
Kimbia kabisa kwenye maisha yake
Hahahaah, waoga hawawi matajiriKabla hujauza hiyo nyumba nunua bodaboda moja kwanza
HahahaDrake juzi kati kaweka mkeka $5ml zote zimeenda sio poa🤣🤣🤣
Utaelewa TuHuwa sielewi akili Yako inafanyaje KAZI.
Unapata bossHakuna bodaboda mpya inayouzwa 2m lakini.