Shukran sana mkuuNimejisikia ku share njia hii rahisi yakupata namba zako zote za simu za zamani zilizopotea au zile ulizofuta kwa bahati mbaya. Hii ni kwa watumiaji wa facebook tu.
https://m.facebook.com/mobile/facebook/contacts
Copy hiyo link (URL) nenda i paste kwenye browser ya chrome ama mozila utaona hizo contacts"You don't have any imported contact information"
HATIMAE NIMEIPATA TENAAA MICHEPUKO YANGUUUUUπππππ
ThanksNimejisikia ku share njia hii rahisi yakupata namba zako zote za simu za zamani zilizopotea au zile ulizofuta kwa bahati mbaya. Hii ni kwa watumiaji wa facebook tu.
https://m.facebook.com/mobile/facebook/contacts