INAUZWA Pata ramani nzuri na za kisasa Mwanza hata ukiwa mikoani tutakufanyia kazi yako

Ungeweka na bei kabisa mkuu
Ni kweli mkuu lakini mara nyingi kwenye maswala ya ujenzi kila mtu huwa ana hitaji nyumba ya ndoto yake anatupa idea then tunamfanyia kazi yake karibu sana mkuu
 
Ni kweli mkuu lakini mara nyingi kwenye maswala ya ujenzi kila mtu huwa ana hitaji nyumba ya ndoto yake anatupa idea then tunamfanyia kazi yake karibu sana mkuu

Hyo contemporary ya kwanza naomba bei ya ramani, na bei ya ujenzi
 
Chora nasi sasa kwa gharama nafuu
Piga 0678195114
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…