Pata ushauri, michango na mawazo ya ufugaji wa bata wa kienyeji kibiashara

Pata ushauri, michango na mawazo ya ufugaji wa bata wa kienyeji kibiashara

Poa sana mzee, hetu tupe elimu ya kufuga bata mzinga na ntafurahi san kupata agalau kuon picure ya hao bata mzinga unaofuga
 
Wanajamii ,
Kama kuna mtu anautaalamu wowote wa ufugaji wa bata kibiashara naomba anijuze.Hii ikiwa ni pamoja na soko lake na management yake kwa ujumla.Mimi ni mwajiriwa na nipo hapa Dare salaaam nipo interested sana na ufugaji.Nawasilisha.
fuga bata bukini ni bata wasafi mno pia ni walinzi kwenye banda lako
 
Naskia sifa mingi mno kuusu bukini mara ni walinzi kwenye boma embu nielekezee
 
Hii haihitaji uchunguzi
Kila mkoa, wilaya walipo maaskari hasa hasa wa magereza ....BATA huwakosi.

Napenda kupongeza kwa juhudi hizo .
Vile vile niwape changamoto utakuta wengi wao wanafuga bata/kuku kwa ajili ya chakula.
Siku hizi ufugaji umekuwa dili hebu fanyeni mfuge bata/kuku kwa ajili ya kuuza ili mjiongezee vipato .....
Muache kuomba rushwa wafungwa au wahalifu .

Hii itasaidia sana ukizingatia mishahara yenu ni kiduchu na hamtakiwi kuandamana kuomba muongezewe( utii wa sheria) na makazi mnayoishi ni duni

Itawaongeza kifedha.

Ila sijajua kama wanaruhusiwa kufanya biashara kama hizo..,.
Naomba kufahamisha
 
Hongera kwa kufanya utafiti kwenye magereza yote nchi nzima, bora afugaye bata kuliko ajihusishaye na biashara haramu za bangi, meno ya tembo nk, sina hakika kama kuna sheria inawazuia askari kufuga mifugo katika maeneo yao ya makazi, lakini pia kuna watu wanatumia ofisi za umma kufanya biashara zao binafsi, unaweza kuusaidia umma wa watanzania kuwabaini hao kwa ujumla wao na kuwataja hapa badala ya kuhangaika na askari magereza wanaofuga kwalengo la kuzikimu familia zao kutokana na mishahara duni?

Si umesikia wabunge wanataka Tshs 420,000 kwa siku? Je yupi ni bora? Anaeiba kodi za watanzania kupitia mgongo wa katiba au askari magereza?

Kazi ni kwako.......
 
Wasiliana nasi kwa sim namba 0719891518 tunapatikana mikocheni tajirika kwa ufugaji karibuni
 
Back
Top Bottom