Makonsigwa
Senior Member
- Mar 19, 2011
- 177
- 76
Duh, kweli bata hana washabiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo uharooDuh, kweli bata hana washabiki
Sema hata mimi sijamuelewa kikubwa alichotaka kufahamu!Mmh sijawahi kusikia hii kitu..! Bata wa kienyeji(pengine hawaharishi)
Ujanja ni kuwawekea uzio utawapenda mwenyewe.Bata wapo vizuri sana sema usafi ndio ishu
Ujanja ni kuwawekea uzio utawapenda mwenyewe.
Bata unamjua au unamsikia mkuu?Mkuu utapata hasara tuu kwani hakuna mtu anapenda bata siku hizi labda wachina tu. Nyama ya bata si tamu
Jamii ya aina yako ndio inasumbua kule mikoani kwa kuachia ng'ombe kula kwenye mashamba ya wakulima. Mimi nikiwa jirani yako, bata wako saa hizi ni marehemuBinafsi nina bata 76 ila sifahamu kama kama ninawafuga au wanajifuga kwani kazi yangu ni kuwafungulia asubuhi wanaenda kujichunga wenyewe na jioni kuwafungia.nadhani hata mimi hapa nitanufaika ngoja tusubiri wataalamu.
Uongo. Mbona hawauzwi kwa Edo ChipsBata unamjua au unamsikia mkuu?
Kuku hasogei kwa bata,
Nyama ya Bata ni tamu mnoo
Ni nyama nzuri na ukiwafuga kwa usafi unaweza kuwapika kama kuku na wana test ya ndege zaidiHata mimi niko na interest na hili, reason being, bata sio wasumbufu kwenye ufugaji wake, ishu ni namna gani unaweza kuwafuga wengi kibiashara?
hahaha wanajifuga hao.Binafsi nina bata 76 ila sifahamu kama kama ninawafuga au wanajifuga kwani kazi yangu ni kuwafungulia asubuhi wanaenda kujichunga wenyewe na jioni kuwafungia.nadhani hata mimi hapa nitanufaika ngoja tusubiri wataalamu.