Ahmed Saleh
Member
- Jun 2, 2014
- 24
- 6
Wadau anyone mwenye any different breed other than muscovy anichek am interested !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
fuga bata bukini ni bata wasafi mno pia ni walinzi kwenye banda lako
Naombwa kujuzwa wana jamvi na kupewa darasa kuhusu elimu ya ufugaji bata
1. Wapo aina ngapi?
2. Wanazaa kwa mwaka mara ngapi?
3. Soko halisi likoje kwa mfano kama naishi DSM
4. Vyakula wanavyokula kama nikitaka kuwafuga kibiashara
5. Je naweza kutotoleshea mayai yao kwa kutumia incubator?
Kama kuna mtu anawafuga naomba anipe mawasiliano yake niweze kupata ujuzi kwa vitendo kwake. Nashukuruni na nawatakia mwisho mwema wa mwaka.
Wenu katika ujenzi wa taifa.
Kifuniko
Shukrani mkuu nimekupata nimerekebisha , naomba maoni yako sasaBata anazaa?
Naombwa kujuzwa wana jamvi na kupewa darasa kuhusu elimu ya ufugaji bata
1. Wapo aina ngapi?
2. Wanalalia mayai kwa mwaka mara ngapi?
3. Soko halisi likoje kwa mfano kama naishi DSM
4. Vyakula wanavyokula kama nikitaka kuwafuga kibiashara
5. Je naweza kutotoleshea mayai yao kwa kutumia incubator?
Kama kuna mtu anawafuga naomba anipe mawasiliano yake niweze kupata ujuzi kwa vitendo kwake. Nashukuruni na nawatakia mwisho mwema wa mwaka.
Wenu katika ujenzi wa taifa.
Kifuniko
kuna tofauti ndogo sana kati ya bata na kuku so mazingila ya kutaga ya kuku yanafanana na ya bata, weka viota ndani ya banda wanalolala na wakiona tu wataanza kuingia na wataanza kutaga humo , na jitahidi kuwawekea maji safi ya kuoga(kuogelea) ili wasiende kwenye mafimbwi ya maji machafu