Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NImejaribu kidogo ndani ya mda mfupi sikuona changamoto yoyote, kwanza wakihatamia wanatotoa mayai karibia asilimia 90, kuhusu usafi wa banda ... wao mda wote wanahitaji kuwa kwenye sehemu yenye minyoo wanakula.... kuhusu magonja sijaona wakiugua .... kuhusu soko ndo sijajua likoje?Natumaini watakuja wajuvi watakupa Msaada unaohitaji . kilichonishangaza ni kukimbia ufugaji wa kuku kwa sababu ya changamoto . je kwenye bata hutakimbia tena
Ninachokijua ndo hicho kimenitoa berenge ..Komaa na unachokijua na ambacho una uzoefu nacho.Ufugaji wa bata nao utakutoa resi kama hutakuwa na ujasiri wa kupambana na changamoto.
Kumbuka hakuna biashara isiyo na changamoto !!
Mkuuu pole na majukumu.MImi ni mfugaji wa bata ila nafuga bukini na perkin.Nikushauri hao bata wa kawaida hasa akiwa na watoto hakikisha wanakula chakula kidogo na kisiwe kingi sana wakila sana wanaweza wakafa kkwa ulafi then hakikisha unatenga maji yao vizuri na ubadilishe kila baada ya masaa sita au kila siku.tatu hakikisha banda ni safi ili kuzuia magonjwa.Bata hawahitaji joto la ziada boss maana hawa ni ndege majiNashukuru Kwa majibu hayo, sema sijajua tatizo in nini au Kwa sababu naaoza kufuga,,,!! cha kushangaza hawa bata nilisha watenganisha walikua wanakaa kwenye mabanda maalumu na mama zao!!
Mmoja alikua na vifaranga 16 wote wamekufa, na mungine alikuna na 18 wamebakia 8 tu,,
Vitu ambavyo nahisi vimesababisha, usafi ni banda,
Pili nilikua nalaza kiroba nawawekea pumba then nahis wamekula kinyesi chao,
Tatu nahisi baridi Kwa sababu sikuwaongezea joto lolote usiku kwenye hii winter..
Mfa maji haishi kutapatapa.!!
Waliozoeleka ni hawa ..Mkuu kuna aina nyingi za bata unatala uanze kufuga wa aina gani?
-Ndumilakuwili-
Mfugo wowote wenye asili ya uchafu nyama yake tamu sana. Uliwahi kula nyama ya bata ya kuchomwa au nguruwe wa kuchomwa?Bata wachafu bwana, si bora hata ufuge sungura.
Sent from my HUAWEI Y520-U22 using JamiiForums mobile app
Safi sana! sokoni ana bei gani .. nawe uko wapi unipatie mbegu?mkuu fuga bata bukini mkuu wanalipa sana mkuu
mimi nimewafuga for 11 years now bata mmoja analisha wenzake 20 kwa mwaka mzima
Km inawezekana naomba tutajie changamoto kubwa ulizokutana nazo utakua umetusaidia sisi wenye ndoto za kufuga baadaeWaungwana, kwenye ufugaji wa kuku nimekumbana na changamoto nyingi sana. Sasa nimeamua niuze waliobaki nianze ufugaji wa bata. Kuna mambo sijajua vizuri.
1. Soko lake likoje?
2. Kuna changamoto zipi?
Kuna jamaa mmoja nilikutana naye nanenane last year alikuwa na bata wengi sana, ila hakuwa na mda wa kutoa maelekezo kwa sababu wanunuzi walikuwa wengi hivyo mda mwingi alirudi shambani Ukerewe kufuata mzigo.
Naomba alowahi kufanya biashara hii asaidie maelekezo hapa, kwa faida ya kwangu na wasomaji wengine pia.
niko dar nauza laki na hamsini kwa mmoja na naanza kuuza mwezi wa nane this year.Safi sana! sokoni ana bei gani .. nawe uko wapi unipatie mbegu?