Sio vyema kulizungumzia hadharani jambo ambalo bado liko mahakamani, na kwa faida yako nitafute inbox nikujibu hili kwa ufasaha na ujue cha kufanya.Yupo bwana alikamatwa na gari ya wizi, huyo bwana nina ugomvi nae wa kibiashara, sasa jamaa alipoulizwa gari kaitoa wapi akasema mimi ndio nimempa. Polisi wakatukamata sote wakatuweka ndani then tukafikishwa mahakamani.
Kule mahakamani jamaa akakiri kosa ile siku ya kwanza tuliyopelekwa na akahukumiwa miaka 9 gerezani, mimi nilikataa. Mwaka mmoja baadae jamaa akakata rufaa, mahakama kuu ikaamua ashitakiwe upya. Aliposhitakiwa upya akakataa mashitaka na akakana kuwa si mimi niliyempa hiyo gari. PP hakumuuliza alipewa na nani. Wote tupo nje kwa dhamana.
Swali. Kesi ikiisha naweza kumfungulia kesi ya kumdai fidia huyu bwana kwa kunizalilisha, gharama za kesi na kunipotezea muda?
Mimi sio mwanasheria ni 'mpima ardhi 'lakini ngoja nitoe opinion yanguKuna mtu ananidai million 4 na mpango wangu ni kumdhulumu kabisa! Na nimemkopa tena mdogo wake yani nampango wa kudhulumu familia nzima je wakinifungulia kesi ya wizi wa uaminifu mahakamani watanishinda?
Mimi sio mwanasheria lakini ngoja nikwambie kitu, madai yana ukomo nenda kadanlodi sheria inaitwa The law of limitation Act hiyo inaitwa sheria ya ukomo, wakili hapo juu kakupa mifano ya kesi na muda wake i. e mikataba, ardhi nk, sasa je nini madhara ya kutokuitii sheria hii?Habari wakili.
He ninaweza kuishitaki vodacom badala ya wakala aliyeingia mitini na fedha zangu?
Ahsante sana wakili msomi.Kikawaida ukimuwekea mtu dhamana na akatoroka basi wewe mdhamini hua unapaswa kufika mahakamani na kutoa taarifa mara moja juu ya tukio ilo, mahakama itakupa order ya wewe kumtafuta hadi kumpata ila ukishirikiana na jeshi la polisi, endapo itaonekana kabisaa jamaa hajapatikanika basi mahakama hua inachukua bond uliyoiweka kwa muda mpaka siku atakapo patikanika au inakutozesha fine ulipe na wewe ufanye maombi ya kujitoa kama mdhamini kwa mtu huyo, kwa busara muda mwingine mahakama hua zinawaacha tu huru wadhamini hao na inaendelea na utaratibu wa usikilizwaji in absentia angali mtuhumiwa hayupo, hakuna mtu anaeweza kufungwa kwa kosa la mtu mwingine kisa alimdhamini.
Ni madai, utataozwa fidiaHivi ugoni ni jinai au madai? Adhabu ya ugoni ikoje kwa sheria zetu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni saveya aka mpima ardhi , ngoja nitoe opinion yangu akija 'Wakili Msomi ' atasahihisha vizuri Kama nimekoseaMigogoro ya vyama vya ushirika yaani mwanachama na chama chake unaeweza kwenda mahakamani? Nilisikia sheria ya vyama vya ushirika hairuhusu kwenda mahakama,je nini kifanyike?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni madai, hata adhabu yake ni ulipwaji wa fidia kwa mchukuliwa mwenza.Hivi ugoni ni jinai au madai? Adhabu ya ugoni ikoje kwa sheria zetu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu safi sanaaa sanaaa, your a man of honor,,, umefanya kazi ziwe nyepesi thanks.Mimi ni saveya aka mpima ardhi , ngoja nitoe opinion yangu akija 'Wakili Msomi ' atasahihisha vizuri Kama nimekosea
ISSUES
.i je migogoro baina ya chama cha ushirika na wanachama inatatuliwaje?
OPINION
kwa mujibu wa sheria ya Vyama vya ushirika ya 2013 (na marekebisho yake) kifungu cha 8 kinasema moja ya kazi ya Tume ya Maendeleo ya Ushirika ni kutatua migogoro na malalamiko yanayotokana na Vyama vya ushirika Soma kifungu 8(2)(a) (v) hivyo basi migogoro itapelekwa kwenye 'Tume ya maendeleo ya ushirika ' ambayo imeanzishwa na sheria hiyo ya ushirika kifungu cha 6 cha ' The Cooperative societies Act of 2013 as amended '
Kwa hiyo mkinihukumu nitumikie adhabu labda miezi sita na nigome kulipa ili tu adhma yangu ya kudhulumu familia nzima na ikibidi ukoo itimie sheria inasema nini?πMimi sio mwanasheria ni 'mpima ardhi 'lakini ngoja nitoe opinion yangu
Opinion
Kwa mujibu wa Maelezo yako hapo juu unasema kwamba 'umepanga kudhulumu ' basi hapo tayari ulishaonesha nia mbaya 'mens rea ' na kitendo unacho kifanya tayari kimezuiwa kisheria 'actus reus ' sasa basi kwa mujibu wa sheria inaitwa 'penal code cap 16' au kwa kiswahili Kanuni ya adhabu hilo kosa linaitwa 'obtaining money by false pretense ' yaani kujipatia pesa kwa udanganyifu.
Mkuu safi sanaaa sanaaa, your a man of honor,,, umefanya kazi ziwe nyepesi thanks.
Labda kwa kukazia tu mashirika mengi hua yana sheria zake ambazo hua zinatoa mapendekezo ya wapi migogoro ikatatuliwe na mara nyingi hua ni mabodi ya usuluhishi utatua kero na matatizo mbali mbali,,, lakini baada ya haya mabodi kuonekana kushindwa labda kutatua mgogoro kwa ufasaha hua kuna nafasi kwa wasio ridhika kwenda ngazi ya mahakama kuu kwa ajili ya marejeo tu ya maamuzi yaliotolewa na mabodi.
Ahsante ubarikiwe sana.Mimi ni saveya aka mpima ardhi , ngoja nitoe opinion yangu akija 'Wakili Msomi ' atasahihisha vizuri Kama nimekosea
ISSUES
.i je migogoro baina ya chama cha ushirika na wanachama inatatuliwaje?
OPINION
kwa mujibu wa sheria ya Vyama vya ushirika ya 2013 (na marekebisho yake) kifungu cha 8 kinasema moja ya kazi ya Tume ya Maendeleo ya Ushirika ni kutatua migogoro na malalamiko yanayotokana na Vyama vya ushirika Soma kifungu 8(2)(a) (v) hivyo basi migogoro itapelekwa kwenye 'Tume ya maendeleo ya ushirika ' ambayo imeanzishwa na sheria hiyo ya ushirika kifungu cha 6 cha ' The Cooperative societies Act of 2013 as amended '
Tort ya negligence haiwezi kuwa liability kwa vodacom?Hapana, ungeweza kuishtaki voda kama ungekua umeingia nayo mkataba, au yenyewe ndio iliyokuletea huyo wakala.
Mpatie na exceptions zake basi.Mimi sio mwanasheria lakini ngoja nikwambie kitu, madai yana ukomo nenda kadanlodi sheria inaitwa The law of limitation Act hiyo inaitwa sheria ya ukomo, wakili hapo juu kakupa mifano ya kesi na muda wake i. e mikataba, ardhi nk, sasa je nini madhara ya kutokuitii sheria hii? Jibu ni kwamba endapo utafungua madai yako mahakamani Mfano madai ya ardhi wakati muda ushapita uliowekwa kisheria kwenye baraza la ardhi na nyumba la wilaya matokeo yake ni kwamba utawekewa pingamizi la awali that is notice of preliminary objection, kwamba 'The matter is time barred 'yaani hii kesi muda wake ushapita na hivyo bas kesi yako itatupiliwa mbali
Hivi ugoni ni jinai au madai? Adhabu ya ugoni ikoje kwa sheria zetu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru kwa maelezo haya...nimepata elimu[emoji120]Kikawaida ukimuwekea mtu dhamana na akatoroka basi wewe mdhamini hua unapaswa kufika mahakamani na kutoa taarifa mara moja juu ya tukio ilo, mahakama itakupa order ya wewe kumtafuta hadi kumpata ila ukishirikiana na jeshi la polisi, endapo itaonekana kabisaa jamaa hajapatikanika basi mahakama hua inachukua bond uliyoiweka kwa muda mpaka siku atakapo patikanika au inakutozesha fine ulipe na wewe ufanye maombi ya kujitoa kama mdhamini kwa mtu huyo, kwa busara muda mwingine mahakama hua zinawaacha tu huru wadhamini hao na inaendelea na utaratibu wa usikilizwaji in absentia angali mtuhumiwa hayupo, hakuna mtu anaeweza kufungwa kwa kosa la mtu mwingine kisa alimdhamini.
Ndio unaweza ukawashtaki hao mabwana mahakamani, kisheria mkataba unaweza kua wa maandishi au wa maneno, nyie mliingia mkataba wa maneno juu ya kufanyika biashara flani ambayo haikufanyika kwa sababu za jamaa kuila hela yote ya mtaji, so wamevunja mkataba kwa kula hela ambayo imepelekea mkataba kuto tekelezeka,Me naomba kusaidiwa swala hili kisheria.
Kuna ndugu yangu akiwa na rafiki yake tulikubaliane bila maandishi wafanye kazi na nikawapa mtaji wa tsh. 1M, wamefanya kazi kwa Muda Mfupi na fedha yote wakaitafuna bila kufikia makubaliano yetu. Je jambo hili linataturika kisheria kwa maana ya kuwashtaki mahakamani?
Sent using Jamii Forums mobile app