pappilon
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 3,192
- 3,559
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakushinda kwa kesi nyingine sio wizi wa kuaminiwa.Kuna mtu ananidai million 4 na mpango wangu ni kumdhulumu kabisa! Na nimemkopa tena mdogo wake yani nampango wa kudhulumu familia nzima je wakinifungulia kesi ya wizi wa uaminifu mahakamani watanishinda?
Mkuu, citation ya hii precedence unaweza tuwekea hapa roundtable.Watakunyanganya vitu ulivyo navyo, jaji mlyambina aliwai kusema "mahakama sio chaka la wakopaji kuja kukimbilia kujificha, dawa ya deni ni kulipa."
Partly admitted, and partly rejected. Soma kesi ya Kahama (1983) TLR 81 kujua legal position ya OMFP.Mimi sio mwanasheria ni 'mpima ardhi 'lakini ngoja nitoe opinion yangu
Opinion
Kwa mujibu wa Maelezo yako hapo juu unasema kwamba 'umepanga kudhulumu ' basi hapo tayari ulishaonesha nia mbaya 'mens rea ' na kitendo unacho kifanya tayari kimezuiwa kisheria 'actus reus ' sasa basi kwa mujibu wa sheria inaitwa 'penal code cap 16' au kwa kiswahili Kanuni ya adhabu hilo kosa linaitwa 'obtaining money by false pretense ' yaani kujipatia pesa kwa udanganyifu.
SawaKikawaida demand letter hua inawapaga wadaiwa siku 14 tu, kwamba ndani ya siku 14 msipo nilipa kiasi ikii na ikii then ntachukua zinazofuata ambazo ni mahakamani.
Naomba unisaidie hili,serikali ya kijiji inatengeneza barabara jee wenye maeneo yatakayo athilika je wanalipwa au haki ikoje kisheria? Hayo maeneo yatakayo athiliwaMara ya mwisho nilifanya hivi ilikua mwaka jana na wengi niliwasaidia bure tu, lakini hawakushukuru au wengine kuleta mrejesho.
Naam wakili nipo likizo toka hapa kijijini nilipo so naimani naweza kutoa msaada walau ata robo tu tokana na maarifa machache ya sheria niliyo bahatika kuya soma.
pro bono ya hapa na pale [emoji3],,, yasiwe yakuumiza kichwa saanaa wala kufikirisha sanaa, ni hivi vya hapa na pale tu.
Hivi kijiji kikitengeneza barabara jee wenye maeneo inahitajika wanalipwa au huaje kisheria? Au lipojee hili?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio inawezekana kabisaa na hua inawekwa wazi baina ya wana ndoa hao kwamba kitu iki na nunua ila kitakua ni mali yangu tu, kumfanya awe anajua tangu siku ya kwanza ya umiliki wa kitu husika na title ya umiliki inakua na jina la mwanandoa husika.Habari ndugu
Je? Inawezekana kwa mmoja wa wanandoa waishio kindoa na wenye watoto kununua ardhi au nyumba na kubakia kwenye umiliki binafsi hata ikitokea wameachana na kuamuliwa kugawana mali zote???
Sasa inakuwa mahakama huamua kugawanya mali kwa wanandoa ikitokea wametengana hata kama mali zile zipo kwa jina la mmoja waoNdio inawezekana kabisaa na hua inawekwa wazi baina ya wana ndoa hao kwamba kitu iki na nunua ila kitakua ni mali yangu tu, kumfanya awe anajua tangu siku ya kwanza ya umiliki wa kitu husika na title ya umiliki inakua na jina la mwanandoa husika.
Ahsante,kwa ufafanuzi.Ndio inawezekana, kila ardhi inayochukuliwa ni haki mwenye nayo kulipwa fidia.
Okei tunasema kwenye ndoa kila kitu kinachonunuliwa kinakua communally, yaan kinanunuliwa na nia ya kutumiwa wote na wote ktk familia walisababisha icho kitu kikanunuliwa kwa namna moja au nyingine either kwa mawazo, urahisishaji wa nafasi au kufarijiana hadi kitu kikapatikana, na hapa ndipo linapokuja swala la mali kugawana bila kujali mnunuzi alikua ni nani.Sasa inakuwa mahakama huamua kugawanya mali kwa wanandoa ikitokea wametengana hata kama mali zile zipo kwa jina la mmoja wao
Mara ya mwisho nilifanya hivi ilikua mwaka jana na wengi niliwasaidia bure tu, lakini hawakushukuru au wengine kuleta mrejesho.
Naam wakili nipo likizo toka hapa kijijini nilipo so naimani naweza kutoa msaada walau ata robo tu tokana na maarifa machache ya sheria niliyo bahatika kuya soma.
pro bono ya hapa na pale [emoji3],,, yasiwe yakuumiza kichwa saanaa wala kufikirisha sanaa, ni hivi vya hapa na pale tu.
Dooh bank gani hio inafanya kazi kitoto ivyo, uamuzi mahakamani mtu yuko hai? Hopefully walimaanisha Affidavit/hati ya kiapo kua ndugu mwenye akaunti amempa mtu power of attorney kama inavyoonesha kwenye power of attorney kua ana hapa kweli yeye ni mgonjwa, hana nguvu wala uwezo tena wa kwenda kuchukua hela izo so anamtuma mtu kwa kutumia power of attorney.... yeah ni ktk kupata uhakika na usalama wa fesha za mteja wao...affidavit mnaweza tengenezewa na wakili yoyote alie karibu yenu.Wakili, kuna mtu yuko mahututi hapo muhimbili na pia anahitaji kulipa, na kutoa hela za matumizi, hivyo aliandika power of attorney kabla Hali yke haijabadilika na kuwa mahututi kwa sasa.
Huyo ndugu yake aliepewa power of attorney akaenda hapo NMB bank na kuambiwa kuwa ni lazima wapate uamuzi toka mahakamani.
Je unawez saidia hapo kuwa ni application gani? Power of attorney imeshasajiriwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri wote uliotolewa hapo juu ulikua ni wakawaida tu just basics abcd basi hakukua na uingiaji mkubwa wa kitaaluma na sanaa mwisho washauriwa niliwashauri wawatafte mawakili walio maeneo yao kwa msaada zaidi, mwisho kabisaa ni jukumu la kila mwana taaluma kuhakikisha kua jamii zinapata haki so njaa njaa zenu pelekeni hukooo.Watu wanaiheshimu na kufanya biashara taaluma ya sheria huku legal opinion zinatolewa bure...acha kuishusha hadhi hii profession
Sent using Jamii Forums mobile app