Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Pato la China la mtu mmoja mmoja ni USD 12,614 kwa mwaka.
Hiyo ni sawa na Tsh 32,333,075 kwa mwaka. Pato la mchina kwa mwezi ni Tsh 2,694,422.
Tunaweza kusema pato la asilimia kubwa la wachina kwa mtu mmoja mmoja ni Millioni 2.69 ambapo kila siku pato lake ni Tsh 89,814.
Ukipiga hesabu za mtumizi ya kila siku utagundua asilimia kubwa ya wachina wanaishi maisha ya kawaida sana.
Na ndio maana wanakuja huku Tanzania na kuanzisha biashara ndogondogo za kawaida kabisa.
Na mara nyingi pato la mtu mmoja mmoja (GDP per capital) linaweza kueleza maisha ya mtu wa kawaida kabisa katika nchi fulani.
Ngoja tuangalie katika nchi yetu:
Pato la Tanzania la mtu mmoja mmoja ni USD 1211 kwa mwaka ambayo ni sawa na Tsh 3,104,118.
Hiyo inamaana kwamba pato la mtanzania wa kawaida kwa mwezi ni Tsh 258,676.
Hiyo ina maana ya kwamba asilimia kubwa ya watanzania wa kawaida wanaingiza kipato cha Tsh 258,676 kwa mwezi na hayo ndio maisha yao.
Hiyo inaama gani, kwa siku hali ipoje ni Tsh 8622. Hiyo ndio hali ya wastani.
Unaweza ukajifunza maisha ya watanzania walio wengi kupitia hesabu hizo.