To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Wachina wengine wanadai mishahara yao wameona wachome moto kiwanda
View: https://youtu.be/ApF9MQt52FE?si=3JOBXZ8pSH28ZNh3
🤣🤣....na sisi tunaanza Sako to bako wahamiaji haramu wa kichina🤒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachina wengine wanadai mishahara yao wameona wachome moto kiwanda
View: https://youtu.be/ApF9MQt52FE?si=3JOBXZ8pSH28ZNh3
"Pato la China ni dogo sana ndio maana Wachina wanakuja Tanzania kufanya biashara ndogondogo"Hapo hatufanyi comparison kati ya China na Tanzania. Tunafanya comparison kati ya maisha ya raia wa China na raia wa nchi kama UK, US, n.k.
Ndio maana huwezi kuwaona raia wa UK, US, CANADA wanafungua biashara ndogondogo Afrika.
Ni asilimia ngapi ya hao Watanzania wana hicho kipato ?Pato la Tanzania la mtu mmoja mmoja ni USD 1211 kwa mwaka ambayo ni sawa na Tsh 3,104,118.
Pato la mtanzania kwa mwezi ni Tsh 258,676.
Hiyo ina maana ya kwamba asilimia kubwa ya watanzania wanaingiza kipato cha Tsh 258,676 kwa mwezi.
Hiyo inaama gani kwa siku hali ipoje ni Tsh 8622. Hiyo ndio hali ya wastani.
Unaweza ukajifunza maisha ya watanzania walio wengi kupitia hesabu hizo.
Kuongoza kwa kuwa na mabilionea wengi si kigezo cha kuamua hali ya maisha ya wananchi wote, kwani tunachukua wastani wa pato la Wachina wote. Tunazingatia zaidi hali ya maisha ya asilimia kubwa ya Wachina."Pato la China ni dogo sana ndio maana Wachina wanakuja Tanzania kufanya biashara ndogondogo"
PPP ya China unaifahamu ?
Unajua ni nchi gani inaongoza kuwa na mabilionea duniani ?
Unajua ni ncgi gani inaongoza kuwa na millionea duniani ?
Hapa hatulinganishi na Tanzania mkuu. Tunapima uwezo wa mchina mmoja mmoja kuwekeza Tanzania.Ni asilimia ngapi ya hao Watanzania wana hicho kipato ?
According to recent data, China is currently considered the leading country in outbound investment, consistently ranking among the top three globally alongside the United States and Japan, with a significant share of the global total outward direct investment (ODI) stock.Ndio maana wanakuja kuwekeza kwenye biashara ndogondogo. Kinachopima uwezo wa mtu kupata mtaji wa kuwekeza ni pato lake la kila siku. Mtu mwenye pato dogo lazima atawekeza kwenye biashara ndogondogo.
Wewe unaangalia kampuni moja moja. Tunahitaji hesabu za wastani.According to recent data, China is currently considered the leading country in outbound investment, consistently ranking among the top three globally alongside the United States and Japan, with a significant share of the global total outward direct investment (ODI) stock.
🤣🤣🤣 kuna mchina nimeona video yake mtandaoni anadai mshahara wa miezi 6 na mshahara wake ni dola mia tu kwa mwezi ni kama laki mbili na nusu kwa mwezi. Inaonekana kuna sehemu china hali ni ngumu mno. Wakija bongo akiuza vitu vya milioni moja kwa siku anajiona elon musk 🤣🤣🤣🤣....na sisi tunaanza Sako to bako wahamiaji haramu wa kichina🤒
Nimeshapiga hesabu nimemalza nimetumia GDP per capital tu.🤣🤣🤣 kuna mchina nimeona video yake mtandaoni anadai mshahara wa miezi 6 na mshahara wake ni dola mia tu kwa mwezi ni kama laki mbili na nusu kwa mwezi. Inaonekana kuna sehemu china hali ni ngumu mno. Wakija bongo akiuza vitu vya milioni moja kwa siku anajiona elon musk 🤣🤣
Ambayo ipoje ?Kuongoza kwa kuwa na mabilionea wengi si kigezo cha kuamua hali ya maisha ya wananchi wote, kwani tunachukua wastani wa pato la Wachina wote. Tunazingatia zaidi hali ya maisha ya asilimia kubwa ya Wachina.
Kuna activist mmoja yupo mitandaoni anasema gdp ya china ni feki. CCP wanatengeneza data feki ila uhalisia china kuna maeneo ni masikini mno.Nimeshapiga hesabu nimemalza nimetumia GDP per capital tu.
Wewe ni mjinga sana binti una matatizoWewe unaangalia kampuni moja moja. Tunahitaji hesabu za wastani.
Acha kukesha youtube na mitandaoni ukiwa umeuseti ubongo wako kupata tu anti China contents dailyKuna activist mmoja yupo mitandaoni anasema gdp ya china ni feki. CCP wanatengeneza data feki ila uhalisia china kuna maeneo ni masikini mno.
Mimi nitakupinga Kwa mambo yafuatayoPato la China la mtu mmoja mmoja ni USD 12,614 kwa mwaka.
Hiyo ni sawa na Tsh 32,333,075 kwa mwaka. Pato la mchina kwa mwezi ni Tsh 2,694,422.
Tunaweza kusema pato la asilimia kubwa la wachina kwa mtu mmoja mmoja ni Millioni 2.69 ambapo kila siku pato lake ni Tsh 89,814.
Ukipiga hesabu za mtumizi ya kila siku utagundua asilimia kubwa ya wachina wanaishi maisha ya kawaida sana.
Na ndio maana wanakuja huku Tanzania na kuanzisha biashara ndogondogo za kawaida kabisa.
Na mara nyingi pato la mtu mmoja mmoja (GDP per capital) linaweza kueleza maisha ya mtu wa kawaida kabisa katika nchi fulani.
Ngoja tuangalie katika nchi yetu:
Pato la Tanzania la mtu mmoja mmoja ni USD 1211 kwa mwaka ambayo ni sawa na Tsh 3,104,118.
Hiyo inamaana kwamba pato la mtanzania wa kawaida kwa mwezi ni Tsh 258,676.
Hiyo ina maana ya kwamba asilimia kubwa ya watanzania wa kawaida wanaingiza kipato cha Tsh 258,676 kwa mwezi na hayo ndio maisha yao.
Hiyo inaama gani, kwa siku hali ipoje ni Tsh 8622. Hiyo ndio hali ya wastani.
Unaweza ukajifunza maisha ya watanzania walio wengi kupitia hesabu hizo.
SawaAcha kukesha youtube na mitandaoni ukiwa umeuseti ubongo wako kupata tu anti China contents daily
Una upimaje ?Hapa hatulinganishi na Tanzania mkuu. Tunapima uwezo wa mchina mmoja mmoja kuwekeza Tanzania.
Hong Kong ni China?Ambayo ipoje ?
Hong-Kong GDP per capita $53,606 unaweza kuipata wapi hii Tanzania ?
Taiwan GDP per capita $33,234 na hii ?
Macau GDP per capita $78,962 na hii ?
Kima cha chini China sio laki mbili na nusu punguza kutazama videos za hovyo mitandaoni🤣🤣🤣 kuna mchina nimeona video yake mtandaoni anadai mshahara wa miezi 6 na mshahara wake ni dola mia tu kwa mwezi ni kama laki mbili na nusu kwa mwezi. Inaonekana kuna sehemu china hali ni ngumu mno. Wakija bongo akiuza vitu vya milioni moja kwa siku anajiona elon musk 🤣🤣