love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Sio mimi mkuu data ndio zinaleta porojo hatuwaon kwenye data!Ungejua kahawa 60% inatoka kagera ,30% ya Sukari, 65% ya ndizi,20% ya maharage,80% ya vanilla nk vinatoka kagera usingeleta porojo hapa
Kanda ya ziwa wanawezaHii report inaonekana imewauma kinoma noma lakini ukweli ndo huo ata iweje kanda ya ziwa ndo blessed land.
Kanda ya ziwa inaweza kuwa na GDP (pato)kubwa, lakini hiyo GDP inamilikiwa na watu wangapi? Hapo ndiyo inakuja GDP pa capita. Hii inaangalia hilo pato na kugawanya kwa idadi ya watu. Ukifanya hivyo utakuta mikoa ifuatayo ndiyo tajiri.Hii report inaonekana imewauma kinoma noma lakini ukweli ndo huo ata iweje kanda ya ziwa ndo blessed land.
Wasukuma 19 wenye mizigo mizito wakienda soko la madini pale kahama kuuza madini yao within a week ni mabilioni. Uje kulinganisha na biashara za kusubiri watu waje kuvinjari maisha ndio upate pesa? Wasipo kuja ndio mnaanza kunywa viroba na chang'aa sio? Kua na adabu mkuuHii namna ya kufikiri ni JANGA LA TAIFA - a vivid portrayal of inferiority complex! Hivi unajua utalii unachangia asilimia ngapi ya pato la Taifa? Au umekalia kuwaza tu kwamba wafaidika ni Wameru & Wachagga ambao wanakutisha?
Hao jamaa kitu wanajua ni kujisifia ujinga.Ata huo utalii unaoupigia debe we fala unatokana na mbuga gani kama sio serengeti inayopatikana wilaya ya serengeti mkoani Mara kanda ya ziwa , kakojolewe ukalale.
Ni afadhali angeamini mazingaombwe ya lile lafa linaloshikishwa ukuta kule mamtoni, siyo?Yale mazingombwe ya tapeli la Chato ulikuwa ukiyaamini?
Na sisi huku kusini Mchuchuma na Liganga zikianza uzalishaji tutawapiku Arusha na kilimanjaroTunazalisha na kuuza 100% ya dhahabu nje na ndani ya nchi.
Tunazalisha na kuuza 100% ya almasi ndani na nje ya nchi.
Mimi nimeamua nikae kimya tu.
Hiv mtu unaweza linganisha uhayani na usukumani kweli[emoji23][emoji848]
Ni mbingu na Ardhi kabisa.
Kwanza hizo takwimu zinapikwa Sana juzi tu 2019 kagera ilikuwa na 4.9 tillion Sasa imeshuka na kuwa 3.5 2020 hiv kagera kumetokea kitu gan ndan ya mwaka mmoja GDP ipungue kiasi hicho.
Hlafu hiyo ramani ina walakini sijaelewa katavi na Rukwa [emoji848][emoji23][emoji23]
Yaan takwimu za bongo bwana[emoji23][emoji23]
Hivi wewe kumbe ni mpuuzi hakuna sehemu isiyo kuwa na masikini hata marekani wapo! Ila kubali tu kanda ya ziwa sio level yenu!Una matatizo inakusaidia,kama unabisha subiria taarifa za Hali ya umaskini utaona mlivyo na maisha ya nguruwe huko
Hujaelewa nilichoandia nimespesifai sehemu ya mwanza ilienda simiyu! Tena ni sehemu muhimu sana ina mji mdogo wa Lamadi!Simiyu haijatokana na Mwanza na inajitegemea. Mwanza wakati wa kuundwa mkoa wa Simiyu ilichangia wilaya moja tu ya Busega huku wilaya zingine Maswa, Bariadi, Meatu na Itilima zilimegwa toka Shinyanga. Kwa hiyo usipotoshe hapa kwamba eti Mwanza iko pamoja na Simiyu. Pole sana.
Kwa hiyo uhayaji kuna nini? Nenda hata mwanza ,kahama au katoro niambie kuna vijana gani wa kihaya wanachakarika ukilinganisha hata na wasukuma, waha au wakurya? Kanda ya ziwa wanaume ni wasukuma na wakurya!Lazima ukae kimya huna namna. Maeneo mengi ya uhayani yametekwa na wasukuma kama kyamuyorwa, Buligi na Karagwe ardhi inazidi kununuliwa na wasukuma ! Inabidi ukubali msukuma ni habari nyingine.
Yaani weee hizi picha zako ni sawa na Ilemela tu!
Wewe jamaa ningekuwa nakufahamu sura,siku nikikukuta Njombe,nakumaliza.Kahama ni 'Mziki' mwingine ule,Njombe ifananishwe na Liwale na sio Kahama.
Kaka nenda hata Airport ukaulizewa safiri wengi wa ndani wanaenda wapi utaniambia! Ni mwanza iko na wasafiri wengi wa ndani!Tuonyeshe ilipoandikwa kwamba Mwanza haitakuja kuzidiwa na mkoa wowote wa Tzn as days goes on
Acha ujinga, Kwani Kahama kuna Nini Cha ziada zaidi ya kale kamgodi??.Muda si mrefu Mtakuja kung'aza pua zenu huku.Maana baada ya miaka mitano Kilimo Cha Parachichi kitakuwa kime shine Sana na ngoma inaruka hadi Ulaya,Tuna chai,tuna miti ya mbao ndo tunahudumia sehemu kubwa ya TZ na nyingine tunauza nchi jirani,Sasa hivi kuna ishu ya Vanilla, Kiazi sisemi.Njombe tuna green gold,Time Will tell.Kahama uilinganishe na Njombe? Hayo yatakua matusi. Kahama ni habari nyingine. Kahama sasa labda ujumlishe njombe na Songwe ndio wataifikia.
Utalii ulishuka! Usinge shuka ingekuwa inakimbizana na mwanza!Ni kipi kinafanya Mbeya kuwa na pato kubwa kupita Arusha?
Na wewe mwenyewe utaenda huko soon.Hiyo ni njia yetu sote kwa hiyo usiongee kana kwamba wewe hauhusiki nako huko.Halafu Yule Ibilisi aliifuta DSM hadhi ya Jiji. Soon nalo litarudi. Aibu yake kuzimu huko.
Hivi hujui Kigamboni inawasukuma wengi sana na wanamageto ya maana sana hawana kelele kama wahaya!Ngoja niwashtue, wasukuma wenzangu njooni kigamboni tufukuze waswahili kuna ardhi huku miliioni chache tu.
Kaka uhayani mliwahi kupata elimu ila wahaya sio wapambanaji watu wa mashauzi angalia katoro ilikuwa kwenu asilimia kubwa wameitawala wasukuma na waha!Mimi nimeamua nikae kimya tu.
Hiv mtu unaweza linganisha uhayani na usukumani kweli[emoji23][emoji848]
Ni mbingu na Ardhi kabisa.
Kwanza hizo takwimu zinapikwa Sana juzi tu 2019 kagera ilikuwa na 4.9 tillion Sasa imeshuka na kuwa 3.5 2020 hiv kagera kumetokea kitu gan ndan ya mwaka mmoja GDP ipungue kiasi hicho.
Hlafu hiyo ramani ina walakini sijaelewa katavi na Rukwa [emoji848][emoji23][emoji23]
Yaan takwimu za bongo bwana[emoji23][emoji23]