Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

Ila wewe unajifanya mjuaji tu! Kwenye vijiji vingi usukumani kuna nyumba kali tu unaleta maneno au ulishakalilishwa kuwa wasukuma wahawezi kuwa na maisha mazuri!
[emoji23][emoji23][emoji23] utakuwa umerogwa kabisa.

Huko kwa wasukuma Kuna vijiji gan vyenye nyumba Kali Kama Hadi kwa yule mbunge wa sumve Kuna nyumba ya nyasi[emoji23]

Kanda ya ziwa nzima mkoa wenye vijiji vyenye maendeleo ni uhayani peke yake kwingine huko matembe na viota vitupu[emoji23]
 
Hivi wewe unaakili ukitokea mwanza kwenda mpaka katoro ukipita vijiji vyote hivo huwa unaona kuna nyumba ya tembe kweli? Yaani nyinyi wahaya siku hizi hamna kitu mmebakiza sifa za kijinga tu! Hata mabasi ya kwenda huko kwenu mmeletewa na wachaga na wasukuma mpo tu kama mazombi!
 
Naona ma yakhee wa waja leo warudi leo wanakimbiza arachuga na kwa kina mangi
Limbwata linalipa wazeee wa kuvaa misuli tumekuja juu hao jamaa hao tumewapita kutokana na corona ila wanatulimbiza mda wowote
 
Kama na hii ramani imeandaliwa na NBS nina mashaka na takwimu zao hizi kuwa feki.
 
Kubali wasukuma ni maskini na wako local sana, utajiri wa Wahaya ni halisi maana upo kwa wananchi ila huo wa kwenu upo kwa wazungu migodini
 
Kubali wasukuma ni maskini na wako local sana, utajiri wa Wahaya ni halisi maana upo kwa wananchi ila huo wa kwenu upo kwa wazungu migodini
Wahaya utajiri mtoe wapi? Sasa hivi wanyarwanda na waganda ndio wanawalisha na kuwapiga miti. Nilienda bukoba juzinimakuta wanaume wengi bukoba ni mashoga, wanapugwa miti na waganda ili wapate chakula.
 
Kwani Geita imemegwa kutokea wapi...?! na Simiyu je...?! Sema Simiyu sehemu kubwa imemegwa kutokea Shinyanga, Mwanza ni ule upande wa Lamadi...
 
Arusha na Kilimanjaro pamoja na kuwa sehemu ya watalii, madini lakini pato lao wanaburuzwa hivi hata na mwanza kama madini ya mwanza hata melelani ipo
We Mwanza unaichukulia poa? Mkoa una rasilimali nyingi Sana huo Viwanda,Dhahabu,watalii wa ziwani aka Sangara,Pamba na mengine kibao
 
Kanda yakusini ipo juu kimapato,ispokua ges ya kilwa yaani songas inaesabiwa ktk pato la dar na ya mtwara pia.wakati kanda ya ziwa pato la dhahabu nk linawekwa ktk mikoa husika
Yes,nakufaham mbwembwe za dar zinatokana na mapato ya mikoa mwingine.
 
Labda wew unaongelea usukumani ya Norway sio ya Tanzania. Kuna nyumba za tembe na nyasi tupu. Hata hiyo katoro unayosifia ni slums tupu Kama manzese Haina hata hadhi ya mji.

Yaan uko usukumani Kuna umaskini wa kutisha. Hiyo njia naonaga wamama wanaendesha baiskeli na midumu ya maji halafu pakame kweli kweli.

Tena Kama ulikua hujui wahaya wa siku hiz ndo Bora kuliko hata wale wa zamani maana upeo na exposure imeongezeka Sana uhayani
 
Wahaya utajiri mtoe wapi? Sasa hivi wanyarwanda na waganda ndio wanawalisha na kuwapiga miti. Nilienda bukoba juzinimakuta wanaume wengi bukoba ni mashoga, wanapugwa miti na waganda ili wapate chakula.
Duu[emoji23][emoji23]. Wahaya na ushoga wap na wap.

Halafu wanasema ukiwa na interest na mashoga na wew unakuwa na traits za ushoga. Watu tumeishi bukoba miaka kibao hatujawahi ona huo upumbavu wew ndo siku moja uwaone.
 
Acha mbwembwe njoo mjifunze maisha ya kisasa kwa Wahaya sio mnakaa porini na ng'ombe mnapauka, Waganda wapo Bukoba wanafanya biashara maana hao ni ndugu zetu, Kampala ni karibu kuliko Mwanza
 
Jamaa anchekesha huyu [emoji23], pesa za migodi ya wazungu eti ni za wasukuma
 
Kama gdp ikiwa inakokotolewa hivyo basi Lindi utakuwa mkoa wa kwanza kwa mapato miaka yoteee.
 
Usukumani kuna umaskini wa kutisha, nyumba za tembe ziko kwa wingi kama ilivyo kwa Dodoma na sehemu zingine zenye hali duni ya maisha.

Ingekuwa busara hizi tarumbeta mnazopiga hapa mngezipiga kwenye takwimu za pato la mtu mmoja mmoja, hiyo ndio inayoakisi maendeleo halisi ya mahali. Adios
 
Acha mbwembwe njoo mjifunze maisha ya kisasa kwa Wahaya sio mnakaa porini na ng'ombe mnapauka, Waganda wapo Bukoba wanafanya biashara maana hao ni ndugu zetu, Kampala ni karibu kuliko Mwanza
Kwa hiyo waganda ni mhimu kuliko wasukuma? Yaani nyinyi mshabaki utaahiara tu hamna lolote kazi yenu umalaya basi!
 
Mwanza kuna mgodi gani?
Mwanza imebebwa na jiji, ila huko vijijini ni njaa tupu, anzia sengerema, kwimba, ukerewe n.k. Na kama jiji ndo limebeba mkoa usifikir ni wasukuma, wageni ndo wanaendesha jiji wasukuma wamebaki kuwa vibarua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…