Tuna Ziwa, tunauza zaidi ya 90% ya samaki zinazouzwa nje ya nchi.
Tunauza zaidi ya 90% ya pamba inayozalishwa Tanzania, tunazalisha sisi.
Tunazalisha na kuuza 100% ya dhahabu nje na ndani ya nchi.
Tunazalisha na kuuza 100% ya almasi ndani na nje ya nchi.
Tunazalisha na kuuza zaidi ya 50% ya kahawa nje na ndani ya nchi.
Tuna Serengeti, ambayo inavutia zadi ya 80% ya watalii wanaoitembelea Tanzania kila mwaka. Serengeti ndio utalii wa Tanzania. Bila Serengeti wazungu Tanzania tungeishia kuwaona kwenye tv.
Hivyo kwa kuleta zaidi ya 80% ya watalii Tanzania, tunaingiza zaidi ya 80% ya mapato ya utalii Tanzania.
Mifugo, usisahau tunafuga na kuzalisha zaidi 50% ya mifugo na mazao yake kama ngozi, maziwa, pembe, mapumbu, nk[emoji23]. Tanzania.
Tuna wanaume jasiri kuliko wanaume wa makabila yote Tanzania, wako Mara.
Tuna wanawake warembo, weusi, walioumbika na wenye shape nawanaomwaga maji Tanzania nzima wako Kagera. Wanawake weupe warefu wa kisukuma na wanawake jasiri roho ngumu wa Mara[emoji23].
Wanawake wa mara kwa ujasiri wanazidi wanaume wa mikoa ya pwani na Iringa.
Wife anaona ametoka bafuni na taulo tu hapa ameniita, narudi.